Rwanda 03; Tanzania 02 - Jumamosi

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Sorry kwa julio na watanzania wapenda michezo ingawa bado tunauwezo wa kuibadilisha
mechi hii na matokeo yanaonyesha vijana wa rwanda watatupiga 3 kwa mbili na hili litabadilika
tu kati ya viongozi wa timu yetu wataacha kushirikisha ushikirkina kwenye hizi mechi

nawatakia kila la kheri
 
Na mimi natabiri Tanzania 2 Rwanda 0...
 
Huyu mwenye hii thread alikimbia vita Rwanda kwa hyo msishangae,ni mkimbizi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom