rvp imekuweje tena!!!!!!!!!

Beso

JF-Expert Member
May 6, 2011
216
59
vanpersie_man-utd1.jpg
what!!! you cost us enough cash!
 
nenda mwalimu nenda..! ILI UTATUKUMBAKA ARSENALI.

2006-2007 Season: Arsenal 4th.
2007-2008 Season: Arsenal 3rd.

Arsenal sold Henry for Barcelona at the end of the 2006-2007 season.

2010-2011 Season: Arsenal 4th.
2011-2012 Season: Arsenal 3rd.

Arsenal sold both Fabregas and Nasri at the end of the 2010-2011 season. What I am trying to say here is Arsenal always manages to find a solution to losing big names from the club.
 
the true injury prone man.............umetu kost sana kukutibu... nenda kamalizie soka huko... cc tuna damu changa...podolski, giroud mtakatifu cazora duh... ni noma hatutaki wazee gunnerz maana hawawezi shika mtutu ki ufasaha
 
utasikia oooo hatumtaki ooooh kwanza majeruhi oooo tulishapanga kumuuza sababu ni galasa na mengine meeeengi wellcome old trafford van.
 
Arsenal wameniudhi sana!Kwanini wasingemuuza hata Juve au Newcastle mpaka wampeleke kwa mashetani?Ona sasa hatulali tangu jana mitaani mashetani vifua mbele.
 
Wewe nenda kawape msosi wale buibui kwenye makabati yenu ya kuhifadhia vikombe wazidi kukua...
Mkuu Salito umenifurahisha sana kwakweri, maana najaribu kupata picha jinsi buibui walivyonenepa bila kusumbuliwa na kufunguliwa kabati kwa takribani miaka saba sasa.
Bila shaka amefuata watu wanaojua kufungua makabati na kuweka vikombe kama mwenzake Fabrigas na Nasri.
 
the true injury prone man.............umetu kost sana kukutibu... nenda kamalizie soka huko... cc tuna damu changa...podolski, giroud mtakatifu cazora duh... ni noma hatutaki wazee gunnerz maana hawawezi shika mtutu ki ufasaha
Leo mnasema mna damu changa wakati ndiye aliyekuwa anawasaidia kupata kombe la mshindi wa tatu na wanne kwa miaka yote aliyokuwepo. Huyo podolski aliyejichokea ndiyo damu changa ama kweli ukikosa nyama hata nyasi utakula.
 
Back
Top Bottom