Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,406
- 92,746
Sasa mkuu mimi nina wazo tutafute platform kubwa yenye sauti au tuitumie JF iandaliwe Petition kupinga ruzuku kwa vyama vyote.haujabadilika mkuu
upuuzi wa akina Lipumba tusingekuwa tunauona, siasa watu wanafanya ajira
siji kubadili huu msimamo
Tutakuwa tumeitendea nchi yetu makubwa kuliko kugombea ubunge wa kudanganya vijana utawapa ajira wakati wewe mwenyewe huna kazi umekimbilia ubunge ili uponee hapo.
Mbuyu ulianza kama mchicha.