Rutashubanyuma - J.F Celeb

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Join Date : 24th September 2010
Posts : 15,170
Thanks 1,517 Thanked 2,374 Times in 1,520 PostsRep Power : 53

Huyu jamaa anastahili pongezi na sifa kubwa, kwa kipindi cha miezi mitano (5) ameweza kubandika mabandiko 15,170, siyo kitu kidogo akiendelea na speed hii by end of this year anakuwa kinara wa mabandiko JF.

Pongezi kaka kwa kutupa habari za magazetini na michango yako mingine.

BNN
 
Hongera kaka Ruta...huwa navutiwa kusoma nyingi ya 'post' zako!
 
PHP:
Pongezi kaka kwa kutupa habari za magazetini na michango yako mingine.

My concerted focus is in dissecting reported news
 
Huyu mkuu nilisha mnyooshea mikono manake ni balaa dunia nzima. Anatoa mada na lazima aweke his intake. To me he is my celeb!
 
Huyu mtu kiboko,sijui anafanya kazi gani..nahisi atakua bosi mkubwa wa kampuni ambayo inajiendesha vizuri,so hana kazi ngumu siku nzima
 
Back
Top Bottom