Russia's project in 2012

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
vfb-arena-moscow.jpg In Moscow’s Petrovsky Park, one of Russia’s largest development projects is set to begin construction early in 2012 on a possible 2018 World Cup venue, known as VTB Stadium and Arena.
Why the odd-looking shape? Well, the plan for the development includes a football stadium that will become Dynamo Moscow’s new home and an indoor arena that will both be slotted inside the historic facade of Dynamo Stadium, opened in 1928. The new stadium rotates the football pitch’s orientation from east-west to north-south.

vtb-arena-cutout.jpg
vtb-arena-stadium.jpg
 
tumeshindwa kuwalipa madaktari sembuse kiwanja

madakitari sio kipaumbele kwa wenye inji.
Ngoja kwanza tumalize upembuzi yakinifu wa Kigoma-Dubai Project, kisha tukamilishe paperworks na mkandarasi wa zile Machinga Complex nchi nzima. Nadhani mwenyewe umeshuhudia kuzindulia kwa Kigamboni Bridge Project...
Uwanja kama huo hapo unakuja Mwanza mahala pa CCM Kirumba.
Sawasawa
 
tungekua na uongozi imara tungekua na huo wanja hapa nyumbani.tanzanite ya miaka 6 inaweza kuujenga.
 
tungekua na uongozi imara tungekua na huo wanja hapa nyumbani.tanzanite ya miaka 6 inaweza kuujenga.
naona miaka sita kama ni mingi sana mkuu...
Michache ingeweza kujeng since hatujui ni kiasi gani kinachimbwa kika siku.
Si unajua kama viwanja vya ndege vipo mumo humo?
 
tungekua na uongozi imara tungekua na huo wanja hapa nyumbani.tanzanite ya miaka 6 inaweza kuujenga.

Mpaka pale tutakapoweza kuchimba wenyewe dhahabu yetu, almasi, tanzanite, uranium na madini mengine labda tutaweza lakini hii ya sasa ya migodi yenye small airports kila siku "wenye mikataba" wanasomba tani kadhaa kupeleka kwao tutasubiri sana...
 
noted.
Ndicho nimeeleza hapo juu...
Sasa hivi nimesikia kuwa The Guardian la UK limemwandika vibaya mkuu wa kaya. Kama vipi awashitaki kwa uchochezi.
 
Back
Top Bottom