Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 835
Hahahaha...aisee so fun indeed
Yaani wewe huoni wanachokifanya NATO huko East Europe...!Mbona Russia anaji equip sana, kuna vita kubwa inakuja ama?
Wala sifurahii na wala sitaki mfarakano wa 'wwiii' lakini kwa mambo yanavyokwenda nguvu za kijeshi kati ya magharibi na mashariki lazima sawa...kuondoa ubabe wa kijinga. Hapo Saud Aabia ni mbeba mizigo tu...kama kapewa silaha zote lakini kashindwa na Shabibi wa Yemen (Houthi) hamna kitu hapo...... haya ni maandalizi ya WWIII na source ni Syria time will tell cz military alliances already formed china,iran,russia on one hand na upande wapili ni USA Britain na NAto usimuache Saudi Arabia.
Napenda kufahamishwa hivi huko Syria nani anampiga nani? Na nani anapigana na nani? Marekani na wenzake wanampiga nani ama Urusi na wenzake wanampiga nani ?Pentagon waevaluate F35 na washaanza kutumia tena B52s in Syria pia F16s na F22 ziko ktk evaluation yaan some thing big is coming ss hivi wanaanza kujiimarisha utaona reforms za personell mpaka weapons.....some is really coming
Tufafanulie kidogo mkuu sarakasi gani hizooTena juzi mrusi kacheza sarakasi feet 10 juu na chini ya ndege ya mmarekani,wamerekani wamelalamika sana
Wakifika S1000 mniambie. Manake nina shida nayo sana hayo makombora.