Russian S-500 on service 2016

People dont underestimate THE USA..why they keep silent kwani wao hawapendi show off za ugunduzi wa silaha zao?. haya ni maandalizi ya WWIII na source ni Syria time will tell cz military alliances already formed china,iran,russia on one hand na upande wapili ni USA Britain na NAto usimuache Saudi Arabia.
Hakuna WWIII. Maana hakuna atakayepona. Wote wanajua madhara ya vita. Hapo wanatafuta kuheshimiana tu
 
Hakuna WWIII. Maana hakuna atakayepona. Wote wanajua madhara ya vita. Hapo wanatafuta kuheshimiana tu
NATO na Russia hawawezi pigana ata siku moja sababu hakuna nchi ya Ulaya iliyo tayari kurudi kuwa masikini sababu ya vita kumbuka baada ya ww2 nchi zote za Ulaya zilifilisika hadi U.S alipozisaidia tena kuinuka hivyo this time USA akiyachokoza nchi zote zitajitoa na kumuachia ulingo
 
Hakuna airspace impenetrable,
Lakini sema kuingia kwenye anga kama hilo na Air Bomber ni risky sana and almost impossible.
Nasema hivyo kutokana na ukweli kwamba sio tu hizo Air defence systems bado wana fighter jets bora kabisa ambazo pia hutumika kulinda Airspace sasa hapo utaingiaje kwenye hiyo anga
 
Hii inakuja baada ya usa kutoa ile video ya kuonesha jinsi way aka cup penetrate s400 ingia you tube uisachi yaani ni balaa lile ndomana Russia kajitasmini tena

Hao wanajifariji na video games/animation - Kama wangekuwa na uwezo wa defeat S-400 wangekaa kimya, woga ndio unawafanya kuprogram michezo ya video kijifariji tu, halafu wakumbuke kila battery/site ya S-400 kuna backup system za kujilinda ambazo in tofauti kabisa na S-400.
 
Mbona Russia anaji equip sana, kuna vita kubwa inakuja ama?

Anaji-equip kwa kuwa USA and her/its partners wameisogelea Russia mipakani kwa kutumia nchi kama Lithuania, Estonia na Latvia zilizokuwa kwenye Soviet Union na pia huko Poland iliyokuwa kwenye Warsaw Pact. Western Powers wanaiogopa mno Russia kwani imeamka na kuchukua nafasi ya Soviet Union iliyosambaratika. Wakati Western Powers walikuwa wanashangilia kusambaratika kwa Soviet union na hivyo kuwa mwisho wa vita baridi kumbe Russia chini ya PUTIN ilikuwa inajiimarisha kijeshi kimya kimya, Western Powers wameshtuka but it is almost too late.
 
Pia USA wapo Romania ktk joint exercise yaan Russia ashakuwa conned na subiri nione Obama akiondoka akiingia republican tu kazi inaanza
 
Pentagon waevaluate F35 na washaanza kutumia tena B52s in Syria pia F16s na F22 ziko ktk evaluation yaan some thing big is coming ss hivi wanaanza kujiimarisha utaona reforms za personell mpaka weapons.....some is really coming
 
Pia USA wapo Romania ktk joint exercise yaan Russia ashakuwa conned na subiri nione Obama akiondoka akiingia republican tu kazi inaanza

conned>>>>>>>>>>>>>>>>>>>cornered?

Ni kweli USA yupo Romania na pia Hungary na nchi nyingine kadhaa. Russia amezungukwa, na ndiyo maana anajiimarisha. Lakini wataalamu wa masuala ya kijeshi wanabashiri kuwa kama Russia ataamua kuzishambulia nchi za Baltic (kwa maana ya Lithuania, Estonia na Latvia) nchi hizi zitaanguka na kuwa mikononi mwa Russia in less than four days na kwamba NATO haitaweza kuzuia kuanguka kwa nchi hizo katika kipindi hicho.. Ndiyo maana USA inajitahidi kupeleka vikosi na silaha zaidi ili kuzuia hilo. Lakini all in all vita vikitokea itakuwa ni balaa kwani Russia ana advantage kuliko NATO katika eneo la nchi za Ulaya Mashariki. Kitakachotokea ni mojawapo kati ya Russia na NATo kutumia Nuclear weapons na ambapo hapatakuwa na mshindi.
 
Anaji-equip kwa kuwa USA and her/its partners wameisogelea Russia mipakani kwa kutumia nchi kama Lithuania, Estonia na Latvia zilizokuwa kwenye Soviet Union na pia huko Poland iliyokuwa kwenye Warsaw Pact. Western Powers wanaiogopa mno Russia kwani imeamka na kuchukua nafasi ya Soviet Union iliyosambaratika. Wakati Western Powers walikuwa wanashangilia kusambaratika kwa Soviet union na hivyo kuwa mwisho wa vita baridi kumbe Russia chini ya PUTIN ilikuwa inajiimarisha kijeshi kimya kimya, Western Powers wameshtuka but it is almost too late.
Kuna General mmoja wa NATO alitoa "warning" kuwa Europe sasa hivi haiwezi tena kupiga kupigana na Russians

Lakini naona kama US anaisukuma sana Europe kuhusu Russia.
 
kutekw kw crimea imewatia san wasiwas nchi nying za jumuiya ya Nato maan crimea ilikuw na wanajesh 20,000 wa ukraine lakin awakueez kufany kitu.wanajiuliza nani anafata baada ya ukraine
 
na pia wanafikilia kama ikitokea urusi wakamvamia mwanacham wao mmoja je nani atakuwa wa kwanz ktk nchi za Nato kuanzish mashambuliz kw urusi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom