Russia wapeleka meli ya kivita Syria

na quran hiyo hiyo ilioandika kwamba israel ni taifa lilolaaniwa.coz wamepelekewa mitume kuwaongoza katika njia ya kwel wao wakaishia kuwaua.
............... na ushahidi wanao wanauning'iniza kwenye shingo zao :tongue:!!
 
mimi ninakujibu IRAN ınaweza kuleta fyoko fyoko na kumuondolea mbali Israil katika ramani ya dunia, IRAN ina Silaha ya Nyuklia inaweza kuimaliza Israil kwa dakika 10 tu .
unaota ndoto za mchana!! kwa taaria yako kuna satelite maalumu ya israel inafuatilia mpango wa ki nuclear wa Iran na Israel imeapa siku Iran ikifikia hatua ya kuunda bomu Israel itakilipua hicho kiwanda cha nuclear bila hata kuuliza idhini ya security council ya UN, waarabu wanapigana vita ya mdomo hawana lolote saddam alitisha wamarekni wataogolea kwenye damu zao, mbona walimtoa kwenye shimo kama fuko?? Gaddafi kasema atapigana na NATO na akasema Inshaalaah atashinda katolewa kwenye kalavati sasa huyu Ahmednijad siku zako zina hesabika, stay tuned!!
 
Wewe kasome quran tena utagundua kuwa ni taifa teule, watume wooote kwenye quran yenu ni watu gani kama sio waisrael ? Na hili nalo mpaka ufundishwe! Au nikutajie majina Daud, Suleiman, Musa, Isackah, eliyah nk na nk wooote hawa ni mitume akiwemo na mfalme wa waisrael jina ni Daud naye pia ni mtume leo hii mnajipiga upofu mksema mayaudi sijui nnn nn at the same time mnawaita mitume, loh!
.............. mbona Yesu mnakataa kuwa sio Issah ? katika hao uliowataja "Wayahudi waliwauwa wangapi na waliwakanusha wangapi?

" Na hakika walikanushwa Mitume kabla yako (na Waisraeli) . Nao wakavumilia kule kukanusha na kuudhiwa mpaka ilipowafikia nusura yetu. Na hapana wa kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu. Na bila shaka zimekujia baadhi ya habari za Mitume hao"
Quran; Al An a'am 34.
 
Mimi huwa siwaelewi hawa wakina Ally! Hivi huwa wanapata muda wa ku Think japo dk 3, maana kama wangepata wangejua mitume woooooooote wanao waita wa mwenyezi mungu wao ni waislael kasoro mmoja aliepewa quran. Sasa ila mpaka ufundishwe darasani au madrasa mpaka mfalme wao Daud wa waislael mwamwita mtume lkn waislael mwawachukia kwa nini ? Ukiwa muongo usiwe msahaulifu kama una akili kiduchu utanielewa japo kidogo.

.............. hebu jiulize ndugu yangu ya kuwa hao "Waisraeli wanafuate dini ile ile aliyofundisha Musa, Yakobo, Ayubu, Suleiman, Daud, Issah (au Yesu) Yahaya (John Baptist) Nuhu (Noah) Lut, Ibrahim, Is'hak, Ismael ??
Ukipata hilo jibu ndio utajua "kwa nini !!"

Israel atatetewa kwenye hii vita akisimama yeye kama yeye hawezi,israel siku zote wanahitaji mtu wa kuwatetea ndo maana alipkuja masiha jesus wakadhani ndio atakae watetea na maadui zake ila hakufanya hivyo ndo maana atakapokuja anti-christ akiwa kwenye mwamvuli wa EU na NATO wataona ndio mkombozi wao
.................khaah ! porojo nyingine hazina hata macho !
 
US deploys aircraft carrier off Syria

The US has deployed its newest aircraft carrier off the Syrian coast amid mounting speculations of a Washington-led military invasion against the Arab nation.

A US naval task force, led by the USS George H.W. Bush, parked off just outside Syria's territorial waters, just after the US embassy in Damascus urged Americans to “immediately” leave the country, the Daily Caller news website reported on Wednesday.

Media reports also indicated that US ambassador to Damascus Robert Ford, recalled from Syria in October due the mounting anti-US sentiment in the country, will not return later this month as planned.

The developments come amid Western attempts, spearheaded by the United States, to pressure Syrian President Bashar al-Assad to step down.

PressTV - US deploys aircraft carrier off Syria
 
Israel naona ndo Taifa pekee ukiacha wazee wa VETO ambalo laweza fanya maamuzi regardless of UNO stand as well as VETO POWERED COUNTRIES
 
Hii vita ya 3 nini? maana naona wachina nao wanafanya mazoezi baharini, wa irani nao wanapasha baharini , warusi nao ndo hivyo. Mhhh
 
nato hawana ubavu wakunzisha vota ya tatu uchumi wao una legalega
 
HII NI MOJA YA MELI ILIYO PELEKWA SIRIA ILI KUPAMBANA NA NATO, NA NIMELI INAYO OGOPWA NA NATO VIBAYA MNO.
IMG_1424.JPG
 
mimi ninakujibu IRAN ınaweza kuleta fyoko fyoko na kumuondolea mbali Israil katika ramani ya dunia, IRAN ina Silaha ya Nyuklia inaweza kuimaliza Israil kwa dakika 10 tu .

Israeli inaongoza duniani kwa kuwa jeshi la anga na vifaa vya anga vyenye uwezo mkubwa kuliko jeshi la nchi yoyote duniani. Kama unataka kujua hebu soma kidogo historia ya vita ya mwaka 1967 wakati nchi zooote za kiarabu zilikusanya nguvu including Misri ili waitokomeze Israel. Israel iliwashinda woote na hawakuthubutu hadi leo kujaribu kuleta tena chokochoko
 
HII NI MOJA YA MELI ILIYO PELEKWA SIRIA ILI KUPAMBANA NA NATO, NA NIMELI INAYO OGOPWA NA NATO VIBAYA MNO.
IMG_1424.JPG

Inaogopwa kwa sababu zipi? Kwa sasa anayetaka kushughulikiwa ni Iran na wala Marekani na Israel hawana mpango na Syria maadam siyo threat kwa sasa.
 
US deploys aircraft carrier off Syria

The US has deployed its newest aircraft carrier off the Syrian coast amid mounting speculations of a Washington-led military invasion against the Arab nation.

A US naval task force, led by the USS George H.W. Bush, parked off just outside Syria's territorial waters, just after the US embassy in Damascus urged Americans to “immediately” leave the country, the Daily Caller news website reported on Wednesday.

The developments come amid Western attempts, spearheaded by the United States, to pressure Syrian President Bashar al-Assad to step down.

PressTV - US deploys aircraft carrier off Syria

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom