Russia moves to secure Tanzanian uranium reserves!

Ndugu zangu mi sitaki kuongea sana kwa hili ila WANANCHI TUNA HAKI YA KUANDAMANA NA KUKATAA UUZAJI WA MADINI YETU HASA HII URANIUM AMBAYO ITATUSAIDIA SANA BADAE KWA UMEME.
Hapa namaanisha kwamba wananchi wakiingia bara barani na mabango yao siku 2 tu serikali itaamka na hata kama kuna mkataba wowote feki itajitahidi kuuweka sawa. Pia wabunge wa upinzani wasaidie kuhoji serikali maana najua akina ndio mzee wa sisiemu hamna kitu watakacho hoji.
 
Uganda invites uranium investors, but precludes uranium export

President Yoweri Museveni has called on investors to undertake uranium mining in the country, as an alternative energy source. He said the NRM [National Resistance Movement] Government was committed to co-investing with the private sector to optimally utilise the available uranium resources. Museveni stressed that Government would not tolerate the idea of exporting the mineral, but would work to have it utilised fully to serve wananchi [people] with the energy generated from the mineral. (New Vision Feb. 1, 2009)
Uganda halts granting of uranium concessions

President Yoweri Museveni has ordered the ministry of energy to halt giving out concessions for the exploitation of the newly found uranium deposits in the country. He further directed the energy ministry to establish a nuclear unit in the ministry.
Uranium was first discovered in Uganda in 2004. A recent report by the ministry of energy estimates the uranium-rich areas to be 18,000 km2 in Buganda-Toro region, 12,000 km2 in Karagwe-Ankole area, 5,000 km2 between Lake Albert and Lake Kyoga, 5,000 km2 around Lake Edward, 900 km2 on the Buhwezu plateau and 12,000 km2 in Lake Albert. According to the energy ministry, only a minority of these sites have been given out as concessions so far to local and foreign companies. (The New Vision July 18, 2007)
New Uranium Mining Projects - Africa

My Take: Serikali ihakikishe.
1) Inakuwa na majority ya share katika hayo madini si chini ya asilimia 65
2) Serikali ihakikishe miongoni mwa makubaliano ni kutuachia tekinolojia ya uchimbaji na kuhandle hiyo uranium.
3)Serikali ihakikishe kiasi kinachochimbwa ndani ya miaka 20 ni asilimia 10 mpaka 15 tu ya reserve iliyoko ardhini, na kiasi kinachobaki kitunzwe kwa ajili ya vizazi vijavyo.
4)serikali itoe incentive na priority kwa kampuni zinazotaka kuwekeza humu humu chini kama vile kuzalisha umeme.
5)Serikali iwe na benki ya uranium ambayo ishasafishwa, na iko tayari kwa matumizi.
6)Kama Serikali haijajiandaa vya kutosha kuhusiana na suaka zima la Uranium yetu bora iiache ardhini, isichimbwe, tungoje tutakapokuwa na uwezo tutaichimba wenyewe.

Mkuu mawazo yako ni mazuri, lakini nakuhakikishia, kwa viongozi tulionao haya ni ndoto. Haiwezekani makampuni hayo ya nje tayari yaongelea kuanza kuchimba bila ya serikali kufahamu; lakini ni kama kawaida, USIRI!!!

Haya tutayasikia yakianza ndo tutaanza kuamka!!!

This government SUCKS!!!! &****###@@...????!!!||----aaagh....
 
TRA should examine this deal very closely and ensure that the companies pay capital gains tax as the main assets are in Tanzania. Uganda was able to get over $400 million from Tullow/Heritage Petroleum when they changed ownership of the oil fields in Western Uganda in a simlar manner. URA was quite diligent and insisted on the parties paying the capital gains tax. The same should apply to the Mkuju property which is changing hands in this transactions. We should now see how diligent are the TRA/TAKUKURU/TISS in protecting national interests.
 
Tanzania should take adequate steps to ensure that all project carried out in the country are registered within and these companies should also list in our local stock exchange

Further to that, there is a need to ensure any transactions involving selling, transfer or disposal of projects executed in Tanzania are done in the country involving local banks, local authorities and in the case of sell 20% should be sold to local investors (eg; Pesion funds) or 100% locally owned & locally registered companies.

in the case that an arguement emerges on grounds that there is lack of technically qualified local individuals capable of executing such highly structured deals then we will allow expertise to come and team up with local companies on a 50-50 JV and execute these transaction.

Its till then that our local economy will benefit from these so called investments.

Wakuu,

Hapa ndipo always tunapopigwa bao!! Huwa tumelala sana, na katika negotiations tunaishia kupeleka waziri; ambaye technically anakuwa hana cha ku-discuss!!! Tunaishia kulalamika tu tunapopigwa mabao!!!

Hatujiandai na haya mambo mapema; hatuandai watu wetu wawe competent kwenye hizi shughuli; inakuwa kama tumepata taarifa last minute!! Watu wanakalia ubinafsi tu!!!

Ukija kwa mkulu, anakalia kuuza sura tu, shati nzuri, tai maridadi, suti kali na kucheza muziki, bila kusahau nyumba ndogo.

Wakija kwa wananchi ambao the majority hawajui, wanaambiwa "sasa tatizo la umeme kwisha, tunaanzisha matumizi ya nuclear"
 
TRA should examine this deal very closely and ensure that the companies pay capital gains tax as the main assets are in Tanzania. Uganda was able to get over $400 million from Tullow/Heritage Petroleum when they changed ownership of the oil fields in Western Uganda in a simlar manner. URA was quite diligent and insisted on the parties paying the capital gains tax. The same should apply to the Mkuju property which is changing hands in this transactions. We should now see how diligent are the TRA/TAKUKURU/TISS in protecting national interests.

Mkuu hizo nilizoziwekea red hua sijuagi kazi zake hata siku moja....Hasa TISS sijui kama wanaelewa maana na dhana ya usalama wa taifa.
Sielewi ni ukosefu wa watalaamu au uzalendo....may GODBLESS Tanzania
 
Kwa manufaa ya wasiofahamu na kuondoa ushabiki ............ mnamo mwaka 2009. Kutokana na teknoloji na uwekezaji katika uchimbani kuwa ni shughuli yenye gharama kubwa na inahitaji uwekezaji mkubwa ikilinganishwa na uwezo wa mantra ambayo ni watafiti na sio wachimbaji.

Imeonekana ni busara kuuza hii project wakati huu ambapo bei za uranium zimepanda na soko limechangamka.

.


Inaonekan una habari za kutosha kuhusu huu mradi.
Suala la muhimu kwetu ni, Je SERIKALI YA tANZANIA INA HISA ZOZOTE KWENYE KAMPUNI ILIYOPEWA KIBALI CHA UCHIMBAJI??

Are we shareholders in this venture? au ndio tulishawaachia wanazidi kutajirika huku tukisubiria kodi ya mapato mradi ukianza miaka 20 ijayo??
 
NDG WANA JAMII FORUM,ninawasiwasi na jina la hiyo kitu inayoitwa ROSATOM,KAMA INAENDANA NA RA,YULE MFILISI WA NCHI YETU,HII IMEKAAJE?/????
 
Hiyo deal ni ya kule Namtumbo, bado kuna proven reserves/deposits kubwa zaidi maeneo ya Bahi/Manyoni ambayo nayo itaanza kuchimbwa mwakani na kampuni ya Uranex..

Taarifa zaidi juu ya Uranium yetu zinapatikana hapa chini:
New Uranium Mining Projects - Africa
Africa ni shopping center ya uranium,wajinga ndio waliwao.Elimu duni,Tekinologia hafifu,Watawala wasiombirika,tutaachiwa mashimo.
 
is our President alive?


avatar22112_5.gif




The our President????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kutokana na kuwa nchi yetu imesaini mikataba ya shanga na kampuni hizi uchwara za uchimbaji madini kwa mara nyingine tena nchi yetu itatoka patupu. Sheria zetu zinatoa uhuru kwa kampuni yoyote ile ya madini kuuza "haki" leseni yake kwa kampuni nyingine. Serikali inatakiwa kutozuia suala hilo labda kama kuna sababu za msingi. Uuzaji wa leseni ni wa bure na hivyo TRA hawatakiwi kutoza chochote kile. Ndivyo ilivyofanyika kwa migodi yote ya madini na nchi yetu iliula wa chuya. Lakini ajabu yake Ngeleja anasimama na kuuambia umma wa Watanzania kuwa tunanufaika na madini hayo. Siku hizi amekuwa mpiga-debe mzuri wa kampuni hizi za madini. Hivyo ndugu zangu ni lazima tupige kelele kupinga Sheria mpya ya madini kwani bado ni kiini macho kwani inatufanya tuchekelee kama mazuzu wakati tunaibiwa. Ni vizuri kama watu katika Jamii Forum tunaweza kuandaa kongamano kuzungumzia masuala haya mwanzoni mwa mwezi wa kwanza nami nitakuwa tayari kutoa mada kuhusu masuala haya.
 
rassia.JPG russia 2.JPG mh!!! Huyu balozi mpya wa Rassia aliyetumwa Tanzania ana medali nyingi hivi za uzoefu wa kazi wamemtuma tz kwenye nchi maskini kama hii wanataka kufanya dili gani?
Hapa nina wasi wasi sana maana najua si ni vilaza huyu kaja rasmi kupitisha mikataba feki.

AU nyie wana JF Mwaonaje??
 
Before we know, we would become another frontier for new cold war between East and West. Americans have beenpouring money in ther MCC projects and Russians are at the door knocking. What about Chinese and other poweful countries think about what move to make?
Lakini kwa bahati mbaya hata aje nani. ili tuendelee na kuondokana na umaskini ni lazima tujipange wenyewe na kujiamulia wenyewe na kuamua kuwa wazalendo wa dhati badala ya kugawa hizi rasilimali kama sio zetu.
 
Wakuu,

Hapa ndipo always tunapopigwa bao!! Huwa tumelala sana, na katika negotiations tunaishia kupeleka waziri; ambaye technically anakuwa hana cha ku-discuss!!! Tunaishia kulalamika tu tunapopigwa mabao!!!

Hatujiandai na haya mambo mapema; hatuandai watu wetu wawe competent kwenye hizi shughuli; inakuwa kama tumepata taarifa last minute!! Watu wanakalia ubinafsi tu!!!

Ukija kwa mkulu, anakalia kuuza sura tu, shati nzuri, tai maridadi, suti kali na kucheza muziki, bila kusahau nyumba ndogo.

Wakija kwa wananchi ambao the majority hawajui, wanaambiwa "sasa tatizo la umeme kwisha, tunaanzisha matumizi ya nuclear"

Mkuu haya mabao mimi nasema huwa tunajipiga wenyewe, aidha kwa kutojua au makusudi maranyingi it is the later that is alwayz in play. Masuala ya mikataba na negotiations si lazima tuwe na wataalamu eti ndiyo yafanyike vizuri. Still as a country tunaweza kukodi watu wa kutufanyia hii kazi na kuweka guidelines as to what we want, hivi ndivyo hata baadhi ya nch zilizoendelea zinafanya. Lakini tukiendelea kutegemea eti sijui mwanasheria mkuu, sijui Mkono mabao yataendelea kama kawa. Maaana kuna aina nyingi za mikataba na negotiations mfano ya hii ishu hawana uzoefu nayo!
 
Back
Top Bottom