Russia has made progress on materials for hypersonic planes to launch nuclear attacks from space

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,496
398E202100000578-3852520-Russia_has_already_revealed_its_plans_for_a_stealth_bomber_capab-m-24_1476975121173.jpg


Kwa mujibu wa vyanzo, Russia wako katika utafiti wa kutengeneza ndege zenye uwezo wa kuvumilia joto hadi 1500C na kuwa na uwezo wa kuishambulia dunia kutoka katika SPACE kwa nuclear.

Hizi ni miongoni mwa sababu kwa nini vita vya tatu haviwezi kutokea maana silaha zilizopo pande zote hasimu itabidi dunia ianze upya.
===========================
Russia is readying itself to become a leader in the construction of hypersonic aircraft, a new report reveals.

Kremlin-backed media claim engineers in the Federation are among the first in the world to work towards new materials for planes capable of reaching hypersonic speeds.

The move could help Russia produce a new fleet of aerial war machines that could launch nuclear attacks from space.

Aviation researchers are reportedly working to develop the materials which can withstand the stress and high temperatures of travelling many times the speed of sound.

The findings come from a state-backed research fund, which claims to Russia is a leader in the development of such resistant materials, reports Sputnik.

Breaking the sound barrier and reaching speeds of close to 4,000 miles per hour puts the structure under immense stress.

Russia has already revealed its plans for a stealth bomber capable of hypersonic speeds, with an engine which could be ready as early as 2020.

The PAK-DA craft, which would travel far higher than existing planes, would be able to reach any target on earth within two hours and could deliver a nuclear warhead.

But in order to achieve hypersonic capabilities, engineers have to overcome a number of design hurdles.


Source: Daily Mail
 
Hata US walikua wanahangaika na hyo teknology sijui ss hv itakua imefikia wapi
 
Ila US kwa sasa hv nahis atakua mbali sana kwenye hii teknolojia ya hypersonic kuiapply kwny ndege, tukianza na FALCON DARPA AIRCRAFT (Hii prpject ilikua ni ya mwaka 2003),HYPERSOAR (Hii project ilifanyika 2002 na aircraft yake ilkua na speed ya Mach 12(9200mph,14700kmh),kuna ROCKWELL X-30,SR72(Hii wamesema mpk 2025-30 itkua tayar), kuna X-51(hii waliifanyia tena test 2013 japo haikuleta matokeo mazuri sana)...Hizo ni za US na sijui mpk sasa atakua kafikia wap ukizingatia sasa hv hypersonic technology kwenye bdege nd teknolojia itakayokua habar ya mjin kutokana na kuongezeka kwa tishio la SAMs.
 
Sina shaka wataomba wauziwe injini za mfumo wa ki roketi kutoka Urusi:)
Sio kwamba US anashindwa kutengeneza hizo roket nchin mwake tatzo ni kwamba gharama ya kuzitengeneza kwake ni kubwa sana kitu kinachomfanya aendelee kutegemea kununua kutoka nje(Russia)... Kumbuka mwaka 2014 km sikosei kwenye ule mgogoro wa Crimea bunge la arekan lilipiga kura kutaka kuzuia uingizwaji wa Rocket kutoka Russia na baadh ya maafisa wa Russia walisikika wakilalamika(km tunavyojua uuzwaj wa hzo rocket kwa US inawaingizia fedha nying sana)... Na pia kabla ya hpo tumeona NASA wakifanya tests mbalimbal za engine zao mpya japo ni gharama sana na sidhan km zitaanza kutumika hv karibun ukizingatia wanaweza kupata hicho kitu kwa bei nafuu zaid.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-10-24-06-24-44.png
    Screenshot_2016-10-24-06-24-44.png
    100.6 KB · Views: 34
  • Screenshot_2016-10-24-06-25-31.png
    Screenshot_2016-10-24-06-25-31.png
    91.3 KB · Views: 36
  • Screenshot_2016-10-24-06-28-46.png
    Screenshot_2016-10-24-06-28-46.png
    103.8 KB · Views: 40
  • Screenshot_2016-10-24-06-28-58.png
    Screenshot_2016-10-24-06-28-58.png
    57.1 KB · Views: 36
Silaha ambazo watu walisha fanya research na kuzitengeneza miaka 10 iliyopita russia ndo anaanza research sasa hivi....Kikubwa ni kwambaa hakuna silahah yoyote ambayo Russia ataitengeneza sasa ivi US hawana...Huo ndio ukweli whether you like it on not...Anachofanya russia ni kujaribu ku balalance fire power but nothing new to US.
 
Sio kwamba US anashindwa kutengeneza hizo roket nchin mwake tatzo ni kwamba gharama ya kuzitengeneza kwake ni kubwa sana kitu kinachomfanya aendelee kutegemea kununua kutoka nje(Russia)... Kumbuka mwaka 2014 km sikosei kwenye ule mgogoro wa Crimea bunge la arekan lilipiga kura kutaka kuzuia uingizwaji wa Rocket kutoka Russia na baadh ya maafisa wa Russia walisikika wakilalamika(km tunavyojua uuzwaj wa hzo rocket kwa US inawaingizia fedha nying sana)... Na pia kabla ya hpo tumeona NASA wakifanya tests mbalimbal za engine zao mpya japo ni gharama sana na sidhan km zitaanza kutumika hv karibun ukizingatia wanaweza kupata hicho kitu kwa bei nafuu zaid.

Mkuu hapa tunazungumzia kuhusu sayasi ya rocketi, tuwe wakweli hapa hakuna sababu ya kutoa lame excuses ku justify upungufu wa taaluma ya kuhunda a realible and a mega foot pound thrust first stage booster!

Wenzatu hao Taaluma hiyo bado inawapiga chenga kidogo - we sema Wamerika wamekubuhu sana kwenye propaganda ya kujifanya kila kitu wao zaidi!! Lakini wana sayansi weledi wa Merikani ambao hawajali mambo ya geopolitics/cold war wanaendelea kununua rocket boosters kutoka Urusi bila ya kujali kelele za wana saisa, makampuni shindani ya kuhunda rocketi nchini Merikani bila ya kusahau Senator McCain - wote hao ni wapuuzi tu. Warusi kwa mfano wanajua sana kwamba engine zao nyingine zitatumiwa na Wamerikani kurusha satellite za kijasusi za kuwapeleleza wa Urusi, lakini kwa kuwa Warusi wanaji amini hilo awajali - swali ni je Wamerika wangukuwa wamehunda rocket booster nzuri kama za Warusi wangekubali kuwauzia Warusi? Jibu ni hapana - senator McCain na ma neocon wenzake wangekuja na pingamizi kwamba Warusi watatumia booster hizo kijeshi! Ndiyo baadhi ya Viongozi wa Merikani walivyo, always selfish na roho mbaya.

Mkuu labda nikumbushe kitu, wanasayansi wa Merikani wame
jaribu sana ku reverse engineer rocket booster za Warusi kwa miaka mingi bila mafanikio wanashindwa kuelewa ni machine tools za type gani zinatumika kuzihunda - wana sayansi ni wakweli i.e hawasemi uongo.

Jaribu kuangalia mfumo wa rocket booster ya spaceX, wana wanaiga configuration za Warusi type ya SOYUZ - hata waseme vipi they gotta lot 2 learn from them Russians Rocketwise, that is - and they know it.

Tangu Merikani impoteze bingwa mahili wa asili ya kijerumani one Dr. Werner Von Braun huyo ndiye alikuwa rocket designer waliyo kuwa wanamtegemea sana, tangu afariki mambo mengi kigodo yanapwaya. Ni vizuri watu kuelewa historia ya mambo haya kutoka kwa wana sayansi wenyewe ambao awajali itikada za vita baridi, ukisoma au kusikiliza MSM utapoteza mwelekeo na hilo ndilo lengo lao kuu - watakuletea vitu ambavyo wamevi photoshop na ku animate basi, ni mara chache kusema ukweli.
 
Back
Top Bottom