Steven Sambali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2008
- 352
- 170
Ukiangalia ki-asilimia niko sawa. Hebu angalia tu dude linaitwa GASPROM na nduguye LUKOIL ni nini na jinsi alivyowashika pabaya nchi nyingi za Ulaya na hasa Ulaya ya kati ukiunganisha hapo na German. Ukishajua basi jiulize maduka makubwa ya vitu vya bei mbaya hasa Nguo, Magari, Saa, Mikufu nk kwa Europe yote, soko kubwa lipo wapi.
Una ndoto za mchana wewe!!
Last edited by a moderator: