MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
Kabla hatujazungumzia China,ambapo kuna mgogoro wao na Japan kuhusiana na visiwa walivyovinunuwa,ebu cheki hii...Russians submarine sailed incognito along the cost of US!
http://english.pravda.ru/russia/politics/21-08-2012/121931-russian_sub-0.Haya kaka jmushi u see that?warusi walikuwa hawana stealth submarine technology mwanzoni walikuwa tu na stealth missile technology,hii technology ilianza mareka during the carter administration where by they manufactured stealth bomber or B2 baada ya kufanya uchunguzi kwa miaka mingi mara teknolojia ikaibiwa mara iko Urusi mwaka jana hadi mchina anayo,..kiburi si maungwana dharau hizi hizi zitamwangamiza...