rushwa yawa ugojwa sugu

Mpaligogo

Member
Apr 22, 2012
27
1
Watanzania wenzagu tunapo zungumzia mishahara midogo hali ya maisha ni ngumu. Ndio tunatoa mwanya wa maeneo kama afya.usalama.huduma mbalimba za kijamii kupokea rushwa kama njugu? Au huu umekuwa ni utamaduni wa kuigwa na kila anae ingia? Wana jf nisaidieni
 
Back
Top Bottom