Rushwa ya ngono kwa walimu vyuoni

Kuna mwalimu alitaka kumlala demu fulani demu si akakomaa bwana wee akampa supplementary alafu uyo mwalimu full HIV na huwa anawalala wanafunzi bila kinga!
Ni unyama wa hali ya juu sana wapo wanawake wanaoendekeza huo ushenzi but wengine hawana hayo mambo!
Na mlaaniwe mnaowaomba wadada nyuchi ili wapasi kinyume cha apo mnawafelisha!
 
Duh! college gani huko watu wachukue tahadhari?
 
Kuna mwalimu alitaka kumlala demu fulani demu si akakomaa bwana wee akampa supplementary alafu uyo mwalimu full HIV na huwa anawalala wanafunzi bila kinga!
Ni unyama wa hali ya juu sana wapo wanawake wanaoendekeza huo ushenzi but wengine hawana hayo mambo!
Na mlaaniwe mnaowaomba wadada nyuchi ili wapasi kinyume cha apo mnawafelisha!
mwalimu atakufelishaje wakati umefaulu? huyo dada alikubalije kufanya sup wakati anajua kabisa aliandika mtihani vizuri ila amefelishwa?
 
Kalikuwa kama kamtego kuna demu yeye alishalalwa so akatumika akamwambie na mwenzie alalwe.Uyo shoga akaufikisha ujumbe ambao alipewa majibu kuwa ilo haliwezekani.Kuhadi akatumwa na mwalimu kuwa kamwambie kuwa basi ategemee SUP.It is some 13 years toka iyo issue itokee baadae huyo mwalimu walimfix na kupewa warning na demotion as alimparamia demu wa mkubwa bila kujua
 
Kwani nini sababu ya kuwepo Academic Appeals Boards vyuoni? Au Chuo chenu Mwl. ndiye final, akikupa A sawa na uki-sup nowhere to go?

Je kuna kesi yoyote ya mwanafunzi kuombwa uroda ambayo iliwahi kufikishwa katika appeal board na haki ikatendeka? Ikizingatiwa mazingira ya kuombana rushwa ya ngono na ugumu wa ushahidi endapo mlalamikaji atalazimika kumshitaki mhadhiri?
 
Back
Top Bottom