Rushwa Tanzania Imehalalishwa? JF Naomba maoni yenu!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
Jamani, ni nani anaweza kunitajia taasisi moja tu ambayo haijakithiri rushwa? Nimeudhika sana na hawa askari wa Tigo maana wanapihga rushwa hadharani kama vile hakuna serikali. Ni afadhali serikali ya mkoloni haikuwa na rushwa kama sasa. Wana JF, hivi tufanyeje kama jamii tupambane na hili tatizo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom