Rushwa na wateuzi wa makarani wa sensa

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,083
5,066
Rushwa imekithiri na itaharibu zoezi zima la sensa.
Kijana aliyemaliza chuo kikuu kaomba ukarani wa sensa na majina yaliporudi katika kata yake jina likawa halipo.
Msamaria mwema mmoja akamtonya ya kuwa mbona jina lilionekana wilayani.
Kijana katika kufuatilia akaambiwa ya kuwa mtendaji kata alikuja kueleza uwa muombaji na mbovu na hawezi kutembea umbali.Kijana aliyeomba kazi ni mchezaji wa mpira wa miguu.
Rushwa imetumika sana katika zoezi hili .
 
Back
Top Bottom