IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,672
Hivi utakwepa vipi kuwa raia kama una cheti halali kinachoonyesha umezaliwa sehemu husika?Kwa maelezo ya MB Mwigulu nathibitisha kuwa madai ya CHADEMA ni halali kabisa!
Mwigulu hivi ukiwa na cheti cha kuzaliwa TZ si ndiyo uraia wa TZ ina maana unao au?
Kuna aina tatu za urai wa Tanzania. Kama Sioi atakuwa amezaliwa Kenya na wazazi wake ni raia wa Tanzania, uraia wake wa Tanzania utakuwa CitiZENSHIP BY DECENT, kuzaliwa nje ya nchi na kuwa na cheti cha kuzaliwa cha nje hakukupotezei hadhi ya uraia wa Tanzania. Kama mmoja wa wazazi wake ni mkenya basi akiwa chini ya miaka 18 anakuwa na Dual Citizenship, na akifika 18 anatakiwa kuukana kwa kiapo cha mahakamani uraia wa mzazi wake ambaye siyo Mtanzania ili atambulike kisheria kuwa ni raia wa Tanzania. Akifikisha miaka 22 hajakana basi ana-cease kuwa Mtanzania moja kwa moja. Nijuzeni stataz ya wazazi wake nidiklee Uraia wa Siyoi