Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Wana JF, swala lilikatiwa rufaa ni kihoro cha uchaguzi tu. Mkata rufaa anametishika tu. Ni kwamba Sioi hana uraia wa kenya bali ana cheti cha kuzaliwa na kwa mjibu wa sheria hakuwa na uraia wa kuukana. Unapokuwa umezaliwa nje ya nchi pia hukani kuzaliwa nje ya nchi. Sioi hangeweza kukana kuzaliwa kenya. Lakini kuna nchi kama America ambayo ukizaliwa tu huko tayari ni raia hivyo ukirudi TZ ni lazima uukane uraia huo ulioupata kwa kuzaliwa nchi za aina. Chadema na mgombea wao ningewashauri wahangaike kutafuta kura badala ya kutafuta ushindi wa mezani ambao ni zaidi ya viti maluum maana hata viti maalum watu wanashindania.
Chadema haina shida ya kutafuta kura kwani tayari ushindi uko upande wetu.
Tunachohangaikia ni kukabiliana na mbinu chafu za polisisiemu, neccm, tissisiemu, takukuru na uhamiajiccm.
Hatujawahi kuhitaji ushauri toka ccm, tena watu wenyewe waliochoka kifikra, wanaowaza rushwa 24/7!