Rushwa,kukosa uzalendo,uvivu wa kufikiri na uzembe unavyo itafuna tanzania..

bigboss

New Member
Oct 16, 2011
3
0
Watanzania wenzangu,ni lazima tuludi nyuma na kuangalia ni wapi tulipokosea.Hata leo hii tukisema tubadili katiba,tukipe chama kingine dola,inawezekana tukaongeza tatizo na tukawa hatujapata suruhisho tunalolitaka kama sio kulitegemea.

Ni bahati mbaya hayo yote hapo juu hayapo kwa Viongozi wa kitaifa pekee, ni mbegu iliyoshamiri kwa Watanzania takribani wote.Wanaharakati wenzangu,ni mbinu zipi hasa zinazoweza kuleta tija tukaondoa mbegu mbaya hizi zinazoshamiri kila kukicha tukabaki na Tanzania yetu tunayoitaka?...

Tanzania inayopendwa na kupendeza??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom