Rushwa [corruption]

chris n

Member
Apr 1, 2012
59
19
Wana JF naomba kufahamu, ni nani anaekuLa rushwa zaidi kati ya makundi haya; Polisi, TANROAD, Mahakama, Kamati za zabuni, Wasimamizi wa miradi ya; na Barabara za halimashauri, na Tanesco na Maliasili. Je taarifa ya TLHR ya 2012 imetenda haki?
 
Back
Top Bottom