Rushwa bungeni ni zaidi ya uhaini.......

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
541
175
ndugu zangu wa huku jamvini kumekuwepo na tabia ya rushwa iliyo kithiri katika chombo chetu muhimu sana hapa tanzania,,ambacho ni bunge letu tukufu ambapo vitendo vya rushwa imekuwa kama ni jadi(kawaida)...tukumbuke tukio la kuteuliwa wawakilishi wa jumuiya ya africa mashariki rushwa ilitawala huku kukiwa hakuna hata dalili ya kukemea hali hii na viongozi wa bunge.....hata kwenye chaguzi zetu ukifatilia karibu asilimia 70% wameingia bungeni kifisadi na muda mfupi hugeuka kuitwa waheshimiwa.....
wenzangu ebu nipeni mawazo yenu kuhusiana na hali hii ambayo kwa kweli sijui mwisho wake utakuwa lini kwani inaonekana kuzoeleka sasa.......
 
Back
Top Bottom