Ruling Kuhusu Electronic Evidence (Video Conference)!!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Wakuu WanaJukwaa,
Naomba mtu mwenye Ruling ya Electronic (Video Conference) Evidence iliyotolewa wakati wa Kesi ya Prof Ricky Costa Mahalu kabla ya Shahidi toka Italia kuja kutoa ushahidi wake aibandike hapa tafadhali!
Natanguliza shukrani!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom