Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London

umejitahidi na pro chadema kama kawaida wakakumwagia like ! lakini mwandishi wa thread kasema huyu dada anaitwa Rukia Kilemela sasa aliyekurupuka sijui weye au mleta thread ..

Wewe ndio kiazi kabisa.....yani hata msomage vipi nyie watu mnabaki mambumbumbu.....hebu angalia jina la mwandishi katika makala yake kabla hujatoa mashuzi yako hapa.... kaandika mwenyewe RUKIA KILEMILE angalia hata na email yake kiazi wewe!!!! Halafu toka 2005 anarudia mitihani ndio 2007 kapata credit moja...
 
Alright tough guy! :A S 39:

It's funny that you and other mugs here making a judgment on other peoples life decisions based on their education levels.. . Considering that she is in the UK and you ended up somewhere in Tanzania and u seem to be very unhappy with your life there.. Your post sure screams deep desperation on your part. Trying to divert attention from the topic at hand by bringing "Education Level " well lets assume that`s her scores do you have any problem with that ..?

Baba unajua niko wapi???? Unajua nafanya nini???Umenifurahisha mkuu....ati namuonea wivu Rukia kwasababu yuko mamtoni sio!!!Kama kiazi wewe umeoza!!!Sibishani na waliopata ZERO
 
Baba unajua niko wapi???? Unajua nafanya nini???Umenifurahisha mkuu....ati namuonea wivu Rukia kwasababu yuko mamtoni sio!!!Kama kiazi wewe umeoza!!!Sibishani na waliopata ZERO

Don't be so silly, ungekuwa humuonei wivu ungeingia nakuanza ku m discuss ... Mate just worry about ur sad life before u stick ur nose to others lives and start judging them .. sawa mi kiazi but u La Cosa Mia your comments

a ) screams how desperate you are ...

b ) you have got no brains " umekurupuka"

so don't make yourself look stupid & stop discussing others education levels kama huna cha kuchangaia walicholeta bora upotezee na kukaa kimya! you will do ur self a big favor trust me!
 
Ndugu we ndo walewale nini wakupata zero (0) 4m 4! Elimu inahusika sana kwenye uchambuzi wa habari, na hasa huyu ayejiita mchambuzi wa jinsia na uchumi, zero ya form4 inaonyesho IQ yake ilivyokuwa low, sasa yeye kapata 0 halafu anakuja kutuletea uchambuzi. uchambuzi wa habari siyo kipaji, kama wa mcheza mpira cos we cnt judge a competenc of a player by his o her eductn bt just a tarent, sasa huyo kilaza wa 0 akili ya kuchambua mambo kaitoa wapi?
 
Acha ulimbukeni wewe njiwa! kwani kuwa uk ndo kitu gani? tutaamini vipi kama uwepo wake huko haujatokana na ukahaba au ushoga au pengine kuflash vyoo vya wazungu?

Usitake kumfanya kila mtu amini aliyeko uk basi kwake mambo safi.Na kama ndivyo,basi wale vijana wazawa ktk kipindi kisichozidi mwaka mmoja wasingeandamana kwa kupinga utofauti wa kimaisha kiuchumi.

Sasa huyo ni mwenyeji analia sembuse wewe mtu wa kuja? Usitudanganye na kutufanya tuamini kuwa uwepo wake uk basi mambo safi na utambue kuwa hao jamaa ukibahatika kufanya kazi kwao wanakuchulia kuwa ni low class level in terms of wage payments. Ana ganga njaa tu. Cha msingi hapa inajadiliwa hoja dhaifu ya huyo jamaa na si maisha yake.

Angalia na wewe unayetetea kwa hoja dhaifu kama hizo usiwe ni mmoja kati ya wahanga wa hali hiyo aliyonayo gamba mwenzako!!!
 
Yaani Watanzania wanao ishi nje hasa UK wanaishi maisha ya dhiki sana, nimekuwa mara nyingi nakwenda UK kwa shughuli za kikazi, yaani maisha ni mabovu sana,sasa huwa sielewi kwanini wanalazimisha kuishi kule?, huku Bongo kila siku watu wanapiga hatua- baada ya miaka mitano yule uliye muacha bongo unamkuta ana familia, nyumba,biashara na mambo mengine ya maendeleo, je wewe wa UK baada ya miaka mitano una nini? Tanzania huku tuko wengi ndiyo tunaojua chama gani makini na kipi ni legelege,
 
acha ulimbukeni wewe njiwa! kwani kuwa uk ndo kitu gani? tutaamini vipi kama uwepo wake huko haujatokana na ukahaba au ushoga au pengine kuflash vyoo vya wazungu?Usitake kumfanya kila mtu amini aliyeko uk basi kwake mambo safi.Na kama ndivyo,basi wale vijana wazawa ktk kipindi kisichozidi mwaka mmoja wasingeandamana kwa kupinga utofauti wa kimaisha kiuchumi.Sasa huyo ni mwenyeji analia sembuse wewe mtu wa kuja? usitudanganye na kutufanya tuamini kuwa uwepo wake uk basi mambo safi na utambue kuwa hao jamaa ukibahatika kufanya kazi kwao wanakuchulia kuwa ni low class level in terms of wage payments.ana ganga njaa tu.cha msingi hapa inajadiliwa hoja dhaifu ya huyo jamaa na si maisha yake.angalia na wewe unayetetea kwa hoja dhaifu kama hizo usiwe ni mmoja kati ya wahanga wa hali hiyo aliyonayo gamba mwenzako!!!
 
hao wanafiki na wapuuz lazima wakubali sera za magamba coz wamezamia nchi za watu wakizingua si watarudishwa nyumbani!
 
Njiwa
I feel you boy! you can`t win over them, some of them are so desperate with life yet they have a guts to talk about others lives, you don`t need to proves anything to them; use your common sense if you are better with your life will you be bitter of other people success?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Alright tough guy! :A S 39:

It's funny that you and other mugs here making a judgment on other peoples life decisions based on their education levels.. . Considering that she is in the UK and you ended up somewhere in Tanzania and u seem to be very unhappy with your life there.. Your post sure screams deep desperation on your part. Trying to divert attention from the topic at hand by bringing "Education Level " well lets assume that`s her scores do you have any problem with that ..?

Hapo pekundu mkuu, she has saved us a hell lot of nuisance being out there,coz 'they' would have forged her certificates so that she either joins the army or goes to teaching college! And that would be a mess!!

Kuhusu kuongelea elimu yake; Kwa kweli kwa mwandishi kujiita mchambuzi wa sera za jinsia na uchumi huwezi kukwepa kuhoji juu ya elimu yake kwa kuwa inaweza kusaidia kuelewa juu ya wepesi wake katika kuelewa jambo na hivyo kuweza kuchambua jambo hilo kwa umakini.

Sasa kwa haya matokeo yenye F zote,ni signature ya mkuu Invisible tu ndo inayoweza kutoa ushauri kwake juu ya alichokiandika kwa maneno muafaka kabisa, ninaomba kunukuu, "Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!

0040 F RUKIA S KILEMILE 35 FLD CIV-F HIS-F GEO-F ELI-F KIS-F ENG-F BIO-F BAS-F

Hivi unajua unatakiwa kuwa na akili nzito kiasi gani kupata F zote hizi?!!
Kitabibu hapa tungeenda mbali zaidi na kuhoji kama kweli alilia mara tu baada ya kuzaliwa, kwa kuwa ingeweza kutufanya tujua kama ni yeye pekee wa kulaumu ama la!
 
No comment.. Mzee Mwanakijiji jibu barua ingine hiyo mkuu chama mambo yameiva Uingereza, mkuu wangu Mkandara tunaomba mawazo yako.
Iam very troubled with Ritz and the one posted the thread above. Wanataka nini katika maisha ya Watanzania hivi do they enjoy the way the Tanzanians suffer under the leadership of CCM, Do they enjoy the way our resources are being stolen or these people are among those embezzle our funds. I am real troubled.
 
Aiseeeee baba yanyu unayeishi uk..usiringe hata kidogo kwanza naamini haumiliki hata nusu eka la kulima ndizi alafu ukifa utaoza 2 kama sisi
ngoja niagize mbege nyingine naona umenichefua
 
nadhani hizi ni propaganda za ccm, labda alete ushahidi ndio tutamuelewa, lakn watu walishaleta ushahidi wa cdm kufanikiwa nchini Uingereza, akanushe na hizo.
 
Chama cha waendekeza ulabu tuu na kupombeka safi sana walivyokichomolea chama hakina mtandao hadi wanalazimisha kuingia baa watu wako na starehe zao wanashangaa kuletewa mahubiri sijui jiunge na CDM miujiza itatokea aliyekuwa anahubiri yuko bwii
 
Ndugu we ndo walewale nini wakupata zero (0) 4m 4! Elimu inahusika sana kwenye uchambuzi wa habari, na hasa huyu ayejiita mchambuzi wa jinsia na uchumi, zero ya form4 inaonyesho IQ yake ilivyokuwa low, sasa yeye kapata 0 halafu anakuja kutuletea uchambuzi. uchambuzi wa habari siyo kipaji, kama wa mcheza mpira cos we cnt judge a competenc of a player by his o her eductn bt just a tarent, sasa huyo kilaza wa 0 akili ya kuchambua mambo kaitoa wapi?

Bob Lee Swagger & kipenga

wangapi wamefeli hapo tanzania na kwenda mbele kuanza upya kupiga kitabu na wakatoka... NOTE kwamba wenzetu hawakutungii mtihani ili ufeli... unakwenda chuo kuwa mchambuzi wa habari they will train you kuwa mchambuzi wa habari! they dont even care huko bongo matokeo yako yalikuwaje , i know lots of people walifeli huko bongo wakatoka huko na kuja kuanza upya na certificate sasa hivi wana bachelors ... nyie bakini na ulimbukeni wenu mtu akifeli form four ndio Baasi!

nakuashauri tafuta passport ondoka bongo hapo kaoshe tongotongo tembelea vyuo vya wenzetu angalia wanavyofunzwa na angalia mitihani wanayopewa

P.S - Discuss alichokileta sio unam discuss mtu ..

acha ulimbukeni wewe njiwa! kwani kuwa uk ndo kitu gani? tutaamini vipi kama uwepo wake huko haujatokana na ukahaba au ushoga au pengine kuflash vyoo vya wazungu?usitake kumfanya kila mtu amini aliyeko uk basi kwake mambo safi.na kama ndivyo,basi wale vijana wazawa ktk kipindi kisichozidi mwaka mmoja wasingeandamana kwa kupinga utofauti wa kimaisha kiuchumi.sasa huyo ni mwenyeji analia sembuse wewe mtu wa kuja? usitudanganye na kutufanya tuamini kuwa uwepo wake uk basi mambo safi na utambue kuwa hao jamaa ukibahatika kufanya kazi kwao wanakuchulia kuwa ni low class level in terms of wage payments.ana ganga njaa tu.cha msingi hapa inajadiliwa hoja dhaifu ya huyo jamaa na si maisha yake.angalia na wewe unayetetea kwa hoja dhaifu kama hizo usiwe ni mmoja kati ya wahanga wa hali hiyo aliyonayo gamba mwenzako!!!

firstly no one on here likes to read essay's

secondly, all i can see from your comment is jealous , hate , desperation ...

I can feel ya mate! Probably you are in your late 30`s jobless or you dont like your job bcz it isnt what you went uni for ...........................................

ndio bongo hiyo naona umepata mahala pa ku release tension yako but in reality you wish upate passport ukimbilie mtoni ....

"well njiwa wish u luck bro/sis " But let me remind you "jealous is a horrible trait"

aliyetoka katoka >> "fact"

just worry about your sad life!
 
We Rukia nani hajui kwamba wewe ni kada wa magamba baba yako aliyekuwa mmoja wa wamiliki wa shule ya Taqafa Tandika si alikuwa kada wa CCM sasa unataka kudanganyawatu gani labda ambao hawawajuhi.nyie ni magamba hamna lolote.pili nafikiri wewe na hao wenzio mliokuwepo kwenye hiyo Bar wewe ni MSAGAJI na hao wengine ni Mashoga hivyo hamna jipya juu ya CHADEMA.PEOPLES POWER.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom