Ruge Kubali Yaishe - Rudisha Ule Mradi wa Malaria Haikubaliki Kwa Sugu

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Hakika ile shoo iliyopigwa na muheshimiwa Sugu akishirikiana na Vinega kweli nimemkubali huyu muheshiwa mbunge aliturusha mpaka nimeburudika vya kutosha! Sasa namtaka kijana Ruge akubali yaishe na akiri kua ule mradi wa Malaria haikubaliki sio Idea yake bali ni Idea ya muheshimwa Sugu, Ruge itisha press na uwatangazie umma wa watanzania kua haikua Idea yako tutakusamehe! Huu ni mtazamo wangu kwako Ruge.
 
clouds bado wanaweweseka wanatoa matangazo ya kujifari kuwashukuru eti wale wote waliohudhuria katika show yao iliyododa pale leaders (badala ya kuwaomba msamaha kwa kuwaibia kingiilio kwa kuwatapeli kuwa dmx angekuwapo), kipigo alichowapa sugu pale ustawi lilikua ni bao la kisigino.
 
Nia ni waache unyonyaji kwa wasanii! Hilo la malaria weka pembeni.

Mafanikio yameanza kuonekana, Gangwe Mobb, Afande Sele sasa hivi nyimbo zao zinapigwa clouds!
 
leo nimecheka sana yaan clouds wanatoa tangazo et kuwashukuru watanzania waliokuja?? Kweli nimeamini walibanwa hadi kwenye koda
tangazo la clouds lilikuwa linasema eti watanzania wawapuuze wale wanaopandikiza chuki
 
Ustawi wa jamii tuliscan virus wote!

Virus detected: 23456789876543
Scan Progress: 315%
 
leo nimecheka sana yaan clouds wanatoa tangazo et kuwashukuru watanzania waliokuja?? Kweli nimeamini walibanwa hadi kwenye koda
tangazo la clouds lilikuwa linasema eti watanzania wawapuuze wale wanaopandikiza chuki
Kumbe out of politics huwa unaongea ukweli! nakupa tano yako kwa mara ya kwanza, mimi sikuamini kile nilichokiona pale ustawi wa Jamii, kwa mara ya kwanza naona msanii wa kibongo (sugu) akiimba nyimbo zote alizopanga kuimba na hakukuwa na back vocal, nimeshangazwa sana binafsi na uwezo wa Sugu kutoishiwa pumzi.

Pili inabidi waendelee na discpline hii walionza nayo maana wasanii wote walizuiwa kutumia pombe mpaka baada ya show ndio wakaenda maisha club kujipongeza.
Kuhusu mahudhurio bado nashindwa kujuwa ni mungu aliamuwa kuonesha uweza wake kwamba yeye ndio mtoa riziki au lah! clouds wasipojinza kitu hapa basi watakuwa wana zaidi ya tatizo.
 
That is it!!!
 
Nia ni waache unyonyaji kwa wasanii! Hilo la malaria weka pembeni.

Mafanikio yameanza kuonekana, Gangwe Mobb, Afande Sele sasa hivi nyimbo zao zinapigwa clouds!

Aisee huyu afande selel, huyu nakumbuka kwa lile shindano la mfalme wa rhymes alishasemaga na kwenye wimbo wake pia kwamba bila sugu asingetoka. Imekuwaje ametekwa kirahisi hvi na huyo mhaya!
 
leo nimecheka sana yaan clouds wanatoa tangazo et kuwashukuru watanzania waliokuja?? Kweli nimeamini walibanwa hadi kwenye koda
tangazo la clouds lilikuwa linasema eti watanzania wawapuuze wale wanaopandikiza chuki

Mkuu kumbe umelisikia nawe pia? Mi nilikua kwenye daladala nikalisikia aiseee nimecheka sana. Wazee wa nyodo clouds kuwashukuru watanzania kwa kuingia katika show haijawahi kutokea aiseee
 
Aisee huyu afande selel, huyu nakumbuka kwa lile shindano la mfalme wa rhymes alishasemaga na kwenye wimbo wake pia kwamba bila sugu asingetoka. Imekuwaje ametekwa kirahisi hvi na huyo mhaya!

Hiyo puzzle hata mimi imeniacha hoi sana. Kwa historia ninayoijua kati ya Sugu na Afande nilitarajia Afande angekuwa pale kwenye onesho la Sugu, lakini nikashangaa ako Leaders kwenye virusi. Sijajua kama ishu ilikuwa ni kuwalamba miguu wanyonyaji ama ana bifu na Sugu.

Mkuu kumbe umelisikia nawe pia? Mi nilikua kwenye daladala nikalisikia aiseee nimecheka sana. Wazee wa nyodo clouds kuwashukuru watanzania kwa kuingia katika show haijawahi kutokea aiseee

Ni kweli haijawahi kutokea, ishu ilikuwa ni kuzima soo la kutotokea kwa DMX katika show yao, full stop! Ilitarajiwa kwamba DMX angekuwepo pamoja na Fabolous, lakini ninavyojua, DMX anakabiliwa na kesi, haruhusiwi kutoka nje ya US, so clouds walitangaza uongo kwamba angekuja, ilhali hali halisi sio hiyo. Ni kujikosha tu, wamewatapeli mashabiki wao, wawarejeshee chao. Imekula kwao
 
Hakika ile shoo iliyopigwa na muheshimiwa Sugu akishirikiana na Vinega kweli nimemkubali huyu muheshiwa mbunge aliturusha mpaka nimeburudika vya kutosha! Sasa namtaka kijana Ruge akubali yaishe na akiri kua ule mradi wa Malaria haikubaliki sio Idea yake bali ni Idea ya muheshimwa Sugu, Ruge itisha press na uwatangazie umma wa watanzania kua haikua Idea yako tutakusamehe! Huu ni mtazamo wangu kwako Ruge.

unayajua ma dharau ya bepari wa kihaya wewe?
Hawezi kuomba msamaha, anakufa na kupe kwapani
 
aisee huyu afande selel, huyu nakumbuka kwa lile shindano la mfalme wa rhymes alishasemaga na kwenye wimbo wake pia kwamba bila sugu asingetoka. Imekuwaje ametekwa kirahisi hvi na huyo mhaya!

njaa...
 
Hando wa Power breakfast kajaribu kumumunya maneno eti shoo ya Ustawi ilikuwa ya matusi lakini wapi, wenye kujua mchele na chuya hawadanganyiki!

Kwa jinsi show ya ustawi ilivyojaa nyomi na hata mlimani tv walivyoionyesha jana kwenye kipindi chao cha jarida la habari, kwa wale wasiobahatika kufika na kushuhudia live watakuwa wameona kilichojiri. Anayebisha kwamba show ya vinega haikufanikiwa sana atakuwa na matatizo makubwa sana na anastahili kuachwa jinsi alivyo, hakuna namna ya kumsaidia.
 
Makamuzi ya haja yalikua ustawi bana.. na hapo sugu hakua na redio ya kutangaza show hiyo 24/7!!! uwezo wa mungu ulionekana ustawi
 
Ebwanaa dah aibu ye2 aibu yao?clouds mmefulia mjipange tena na ruge kumbuka haki ya m2 aipotei mludishie mradi wake sugu vinginevyo mtaendelea kuumbuka na mcpende kuwa kumbatia wasanii wakati wa mafanikio wakichuja wanakua hawana maana kwenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom