Ruge atimuliwa Clouds

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,949
5,980
Wadau japo leo ni siku ya wajinga.kuna tetesi kuwa Ruge ametimuliwa clouds.mwenye habari zaidi atujuze
 
ni kweli amefukuzwa na sasa ivi amejiunga na magenge vinega katika harakati za anti virus kwa habari zaidi nenda jukwaa la matangazo madogo madogo
 
hata m nasikia atatoa single na D & K wa mapacha baada ya muafaka na sugu sasa ruge ni full kinega with no apology
 
nimekutana naye pela mlalakuwa akilia eti kaonewa.
 
lets gel serious, its half an hour toka saa nne imefika so, tuwe vizuri ktk kutoa updates, tuhakikishieni wakuu juu ya hili
 
Back
Top Bottom