Rugby World Cup 2011.. LIVE

South Africa and Wales was a tight match

was a tough tough tough game..

na usema ukweli Wales walishinda hii game
lakini refa alifanya makosa hakuwapa "penalty goal"
walilopata.. yenye 3 points.ilikwa kesi babu kubwa anyway wasiposhinda game
inayokuja wako matatani....
 
This time South Africa team is not strong the way they used to be back in 2007 wanaweza wasifike mbali
 
This time South Africa team is not strong the way they used to be back in 2007 wanaweza wasifike mbali

mi Namibia bana
nimewapenda bure.
game walilocheza , forward walikuwa wana bomea hiyo defense ya Fiji loohh
lakini wa Fiji kama kawa waliwashinda nguvu ila Namibia waliwapeleka ile mbaya..

kitu kilichonishangaza kuhusu team ya Namibia .. kabla ya second half kulikuwa
na mwafrica mmoja tu uwanjani.. lakini ukiangalia team ya Fiji ndo wanaonekana
kama wametoka Africa..
 
Naona kwa ALL BLACKS watamfunga Japan bila wasiwasi pia watamfunga France lakini watawapa a tough game

yeah France na AB ... hilo game litakuwa tamu kuangalia...
lakini hao wajapan wanakimbia hao, halafu wanajua kuponyoka
kwente tackle.. lakini hata hivyo AB watawatandika tu bila wasi..
 
mi Namibia bana
nimewapenda bure.
game walilocheza , forward walikuwa wana bomea hiyo defense ya Fiji loohh
lakini wa Fiji kama kawa waliwashinda nguvu ila Namibia waliwapeleka ile mbaya..

kitu kilichonishangaza kuhusu team ya Namibia .. kabla ya second half kulikuwa
na mwafrica mmoja tu uwanjani.. lakini ukiangalia team ya Fiji ndo wanaonekana
kama wametoka Africa..
Namibia, Botswana, Swaziland, Zimbabwe, South Africa hizi nchi wala huwa sishangai sana kuona kwenye timu zao za taifa kuwa na watu weupe
 
yeah France na AB ... hilo game litakuwa tamu kuangalia...
lakini hao wajapan wanakimbia hao, halafu wanajua kuponyoka
kwente tackle.. lakini hata hivyo AB watawatandika tu bila wasi..
The team to be careful with ni Australia naona walimtandika Italy 32
 
Namibia, Botswana, Swaziland, Zimbabwe, South Africa hizi nchi wala huwa sishangai sana kuona kwenye timu zao za taifa kuwa na watu weupe

inashangaza sana ...
Anyhow mi naondoka ntarudi baadaye..
Ngoja nkashughulikie ulichonitumia..
Chaoooo:) mwahhhhh
 
Namibia wame improve sana tangu last time. Fiji nao wakicheza hivyo watashindwa na Samoa.

Jumatano
Samoa VS Namibia ...

hili game linaanza ndani ya masaa mawili..
Namibia wakicheza kama walivyocheza game lililopita..
watapata scores nzuri.. wakiongeza juhudi kidogo kwenye
"defense" na backs wao wakicheaza vema wanachansi ya kushinda hili game...
sina shida na forwards wa Namibia wanafanya kazi nzuri sana....

ila bado Samoa tishio kidogo..
kwa ujumla wana team nzuri..
nta waletea updates game likianza ....

time table ya leo Jumatano..
Samoa VS Namibia
Tonga VS Canada
Scotland VS Georgia..
 
Back
Top Bottom