rufaa ya yanga yapigwa chini!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
kwa tetesi nilizozipata hivi punde,ile rufaa ya yanga ya kupinga kupokwa point3 imepigwa chini leo na kamati ya rufaa ya tff chini ya kamanda Tibaigana,ikiwa na maana kwamba yale maamuzi ya kupokwa point3 yanabaki palepale.
 
Hujakosea mkuu yanga waache ukilaza wao mwaka huu swala la ubingwa wasahau
 
Back
Top Bottom