Rufaa Majimboni

wakuu kesi jimboni rungwe imeendelea leo ambapo fomu namba 21B zimetumika kama ushahidi mahakamani mbele ya mawakili wa pande zote kwa kujiridhisha na kutoa tofauti ya kura 475 zikionyesha Mwambigija yuko mbele dhidi ya mbunge alieapisha ndugu S H Amon,kesi itaendelea jumatatu tena
 
Back
Top Bottom