Rufaa Igunga: Kafumu atofautiana na CCM

CHemba inapiga kampeni, lakini polisi wanaona sawa.............. utahsngaa cdm wakienda igunga wanapigwa stop

dawa ni kuvuruga mikutano yao tu
Tena nasisitiza mkapinge ujenzi wa lile daraja la Mbutu ili msionekane wanafiki mbele za umma!
 
mkuu, pointi hii ya kugawa mahindi ndio anayotamba yano mwigulu nchemba kulalamikia cdm eti hawana utu sababu watu wenye njaa wamesaidiwa, wao wametumia msaada huo kupokonya mtu ubunge. anatamba majukwaa ya Igunga now akihubiri kuwa chadema hawana utu kwa kutaka watu wafe na njaa
Wananchi kwa sasa wanaelimika kwa kasi nzuri, sidhani kwamba watashindwa kujiuliza kua njaa inawapata kipindi cha uchaguzi tuu? Huyo anayehutubia huo upuuzi ataumbuka muda si mrefu.
 
Nilishasema mwanzo, na sisiti kurudia. Dr Kafumu ni mtu msafi.

Yeye ni mhanga tu wa Siasa za majitaka. Kama mtu binafsi, yeye ni bora kuliko magamba au magwanda wengi tu ninaowajua.
Kwahiyo umemsaidia je kwa kusema hivyo?
Mtu safi ukijiunga na kundi la majambazi na ukawafanya kuwa wapiga debe wako ..... jamii inatakiwa ifanye nini?
Niliwahi pia kuandika hapa kuwa wasomi wengi wamedanganywa kwenda kuipendezesha ccm, kama mtu anayetafuta secretary mzuri kupamba ofisi yake binafsi. Matokeo yake ndiyo hayo.
Kafumu wala hajapata matatizo makubwa maana si muda mrefu tangu adanganywe. Wapo waliohoi, mbele hakuendeki nyuma hakuwezekani maana ni kifo. Inanikumbusha enzi za mlinzi wa kimakonde kumkamata mwizi akila sukari kwenye duka la tajiri yake na kumuelekezea nchale na kumuonya, ukimumunya nchale, ukimeza nchale, ukitema nchale, subiri mpaka tajiri afike.
 
Hata mimi ningekuwa Dr.Kafumu ningekataa. Kwanini CCM hawakumlazimisha Mh.Magufuli afike mahakamani wakati alipohitajika? Pia walimuharibia sana kwa kugawa mahindi ya njaa, kuwatishia wananchi kwa bastola, kuwababmbikizia wananchi kuchoma kibanda cha kuku na karatasi kusalimika, kuahidi uongo daraja la Mbutu, kuwachukulia makada wake zao nk. Hata mimi nisingependa uchonganishi kama huu utokee tena. Nampongeza sana Dr. Kafumu.

Wewe sasa huwatakii mema CCM. Nadhani kuna kitu huelewi, ilibidi wafanye hivyo ili kushinda
 
Chezea sisiem wewe!!!!!!!!!!!!!sisiem nikama mtoto wa mbuzi,ananyonya nabado anamtwanga mama yake vichwa,nakama kazaliwa dume ndio balaa tupu,akimaliza kunyonya anambashia mama yake.sisiem noma!!!!!!!!!!!!kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
hahahahahahahah mbavu zangu mie duh
 
Anahitaji baki safi,hivyo si busara kwake kukata rufaa.Hadi hapo lawama ni kwa chama na wapiga debe wa chama na si yeye.Si busara kisiasa kutaka watu wajue kuwa ulikuwa sehemu ya hizo kampeni chafu,kwa kukata rufaa.Mbaya kwa jinsi ilivyokaa watashindwa tena.
 
Pale ambapo mpuuzi anachanganya shughuli za kawaida za maendeleo (serikali) na kampeni

Ukiitwa mboga unawahi kwa mods
Alaa!!
Leo serikali ya ccm imekuwa poa au vipi?
Halafu mtu aliyezoea kuliwa kama mboga utamtambua tu kwa mawazo yake!
 
Mnakumbuka Tendwa amesema huu si wakati wa kampeni............ sasa mikutano inayoendelea huko Iginga ni ya nini au ndiyo double standard zenyewe hizo.
 
Alaa!!
Leo serikali ya ccm imekuwa poa au vipi?
Halafu mtu aliyezoea kuliwa kama mboga utamtambua tu kwa mawazo yake!
tatizo kubwa

kufanya kazi kwa kutimiza wajibu iwe poa kivipi.... kuhusu mboga, you did it once, uliguswa hapa mbio kwenda kuripoti,

hivi chumba cha mtihani si wanfanya mtihani wote?? wanaofeli na wanaofaulu au kuna wakati tunaambiwa usipigie kelele wanaofaulu tu??
 
Si kila kitu cha CCM kinapingwa na CDM , it is are on record CDM kudai daraja ni la rushwa hilo!
Leo ni kutimiza wajibu!! my foot.

Kuhusu maswala ya umboga and other sinister anti social behaviours that you are trying to portray katika mada hii, lazima ziwe reported kwa MODS, huu si uwanda wa maswahala hayo ambayo basically ni ya kijinga.
Wewe unajua unakoweza kuyapata vizuri zaidi-you started it.
 
sasa umeongea nini na una maana ipi........ukisoma posts zako mwenye utaona umejichanganya

ushauri tu mzee wa maswahala............... read my signature
 
Wakati aliyekuwa mbunge wa Igunga Bw Dalaly Peter Kafumu amesema hata kata rufaa kupinga hukumu iliyotengua "ushindi" wake wa ubunge, chama chake kupitia kwa Mwigulu Nchema kimesema kitakata rufaa hiyo. Mwigulu amesema hivyo kwenye mikutano ya chama hicho inayoendelea jimboni Igunga wakati Kafumu ametoa tamko hilo alipohojiwa na Star Tv.

Source: Star Tv Habari.

My take: Mambo si shwari ndani ya ccm maana tangu Mwigulu aanze mikutano yake Igunga, Kafumu hajawahi kuonekana.
Am in love with your take. Actually its not your take but the truth's take.
 
Wakati aliyekuwa mbunge wa Igunga Bw Dalaly Peter Kafumu amesema hata kata rufaa kupinga hukumu iliyotengua "ushindi" wake wa ubunge, chama chake kupitia kwa Mwigulu Nchema kimesema kitakata rufaa hiyo. Mwigulu amesema hivyo kwenye mikutano ya chama hicho inayoendelea jimboni Igunga wakati Kafumu ametoa tamko hilo alipohojiwa na Star Tv.

Source: Star Tv Habari.

My take: Mambo si shwari ndani ya ccm maana tangu Mwigulu aanze mikutano yake Igunga, Kafumu hajawahi kuonekana.

Huyu Bwana alikuwa hataki ubunge Nyinyiemu walimlazimisha kwa kitisho cha kumfikisha mahakamani kwa kashfa zilizotokea akiwa wizarani nafikiri hapo alipo kimoyomoyo anashangilia
 
Wakati aliyekuwa mbunge wa Igunga Bw Dalaly Peter Kafumu amesema hata kata rufaa kupinga hukumu iliyotengua "ushindi" wake wa ubunge, chama chake kupitia kwa Mwigulu Nchema kimesema kitakata rufaa hiyo. Mwigulu amesema hivyo kwenye mikutano ya chama hicho inayoendelea jimboni Igunga wakati Kafumu ametoa tamko hilo alipohojiwa na Star Tv.

Source: Star Tv Habari.

My take: Mambo si shwari ndani ya ccm maana tangu Mwigulu aanze mikutano yake Igunga, Kafumu hajawahi kuonekana.
Hapo tatizo liko wapi? chama ndiyo chenye maamuzi ya mwisho juu ya kukata au kutokata rufaa. Mwigulu kaongea hilo kwa niaba ya chama.
 
sasa umeongea nini na una maana ipi........ukisoma posts zako mwenye utaona umejichanganya

ushauri tu mzee wa maswahala............... read my signature
Mkuu , msomi yeyote ataona hiyo ni typo.
Kuhusu signature yako, I always go the full distance katika mdahalo, debate, warsha au mada yoyte or otherwise, iliyoenda shule.
Stupidity and insinuations put me off.
 
Hata mimi ningekuwa Dr.Kafumu ningekataa. Kwanini CCM hawakumlazimisha Mh.Magufuli afike mahakamani wakati alipohitajika? Pia walimuharibia sana kwa kugawa mahindi ya njaa, kuwatishia wananchi kwa bastola, kuwababmbikizia wananchi kuchoma kibanda cha kuku na karatasi kusalimika, kuahidi uongo daraja la Mbutu, kuwachukulia makada wake zao nk. Hata mimi nisingependa uchonganishi kama huu utokee tena. Nampongeza sana Dr. Kafumu.

Hv hili daraja limejengwa?

Lkn huu haukuwa uongo wa Maghufuli peke yake, ulikuwa uongo wa CCM yote maana walimwambia akaseme hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom