Rubani wa US Airways afunga break ghafla - abiria matumbo moto

US airways wapo poa, sema midege yao inayofanya local trips ndiyo ipo mibovu. Locally piga JetBlue!
Hiyo ndege imetokea wapi?.. Zurich?

Yes ndege hiyo ilitokea Zurich Airport kwenda Dulls Washington DC airport. Imekuwa mara yangu ya kwanza kuunganisha ndege Zurich, mara nyingi nimeunganisha Getwich - Heathrow (UK) na Amsterdam (Uholanzi - udachini).
 
Kaka hii ilibidi uwaambie ndugu zako waliokusindikiza, au unataka kusema kuna wa JF walijipanga na kukusindikiza airport? Kama ni ndugu na watu wako wa karibu, hauoni ingkuwa rahisi kuwajulisha tu hao kwa sms or email? au ni ulimbukeni wa kupanda ndege kwenda Washington, mbona hii ni kawaida tu jamani? hemu tuacheni ushamba na ulimbukeni bwana .... najua utapiga picha nyingi sana huko ... haya piga moja na fridge and ingine na video utuwekee hapa JF picha of the century .....

Pole sana usijefikiria unaojadili na mpita njia bila kumjua mwenyewe, nadhani ungemfahamu vizuri ungeshtukia kwamba ulimi wako umeteleza. Bora tujenge hoja kwa lugha za kimantiki, aka diplomatic language.
 
JF bwana kuna vituko..si ungesema tu ulitaka tujue ulikuja na sasa umerudi huko amerika!! Yote haya mara breki ya ghafla mara sisi wa east africa,mara dull airport ya nini unajijazisha maparagraph wakati issue iko simple tu...

Ndo nilitaka mmongee hayo, kwa wenye mapenzi mema habari ni ya kawaida tu, si vema kuandika kitu kisicho na kicha na miguu kibaki kubimbirika kama jiwe.
 
Hapa ndipo utaona tofauti kati ya wabongo na wa huko majuu. Sasa ili rubani la Dash 8 ya ATC kwa nini alikuamua kutokuruka baada ya kuona matatizo ambayo abiria waliya-notice? Home

Asante kwa kuona hilo. Lengo la kuanzisha uzi huu ni wengi tupate kujua wenzetu katika uzoefu wa fanii hii ya urubani wanavyokuwa waangalifu wa kutunza vyombo vya usafiri na usalama wa abiria. Bongo angefuata tu amri ya mwongoza ndege na kuirusha angani ambayo ingeishia kwenye majengo na kusababisha maafa.
 
Pole sana usijefikiria unaojadili na mpita njia bila kumjua mwenyewe, nadhani ungemfahamu vizuri ungeshtukia kwamba ulimi wako umeteleza. Bora tujenge hoja kwa lugha za kimantiki, aka diplomatic language.
kuna hoja gani ya msingi ya kujadiliwa hapa??
 
Hongera umepanda ndege

Ushirikiswaji wadau wenzangu imekuwa nongwa? Ningewashirikisha uzoefu wa ndege nilizopanda kipindi cha Nyerere Mtwara-Dar, Songea-Dar, Tabora-Dar, KIA-Dar, Tabora-Mwanza-Dar ingekuwaje? Ndege siku hizi ni daladala tu, cha pekee ni kupitia metal detector kabla ya boarding.
 
kuna hoja gani ya msingi ya kujadiliwa hapa??

Umakini wa Rubani na tahadhari kubwa aliyo nayo kwa chombo anachokiendesha na kukiongoza na hali kadhalika dhamana ya uhai wa abiria ulio mikononi mwake wawapo ndani ya pipa.
 
candid scope uandishi wako wa habari unafurahisha sana. huwa unaandikia gazeti gani mkuu? nataka nianze kufuatilia habari unazotoa coz zinafurahisha na kutufunza pia.
 
Huyu Dogo/Mazee ni mshamba fulani hivi wa mambo ya ndege (Samahani kumuita hivyo, ila hakuna njia nyingine).

Ndege (birds) kwenye viwanja vya ndege ni hatari sanasana. Nilishaona program kibao wakionyesha jinsi wanavyofanya test kwa kurusha BIRD kwenye injini ya ndege inayotembea kwa speed kubwa sana na kuangalia nini kitatokea mara baada ya ndege huyo kuyafikia mapanga ya engine. Jana tu nilikuwa naangalia hiyo kitu na wakaonyesha jinsi ilivyo hatari pamoja na kuchukua hatua nyingi kuzuia hiyo hali.

Ukiacha hap BIRDS, kuna pia hatari ya Engine kuvuta vitu chini ya ardhi. Ndiyo maana wanauweka uwanja katika hali ya usafi. Na zaidi wakaonyesha jinsi ambavyo, chini ya ile midomo ya Engine, wameweka vitundu vinavyopuliza upopo chini ili kuzuia vitu vilivyopo chini visivutwe ndani ya Egine ya ndege.

Kwa sasa wameweza sana kuizuia hiyo hali ila ile ndege iliyoangukia mtoni, ni kuwa waligongana na kundi la ndege wengi na si mmoja na hiyo ikapelekea Egine kuzimika kabisa maana ingelikuwa zamani zingeliwaka moto ila sasa, zinakata mafuta na moto unazimwa palepale.

Pana wakati nilishapitia kazi na jamaa mmoja aliyekuwa amefanya Masters na nafikiri hadi leo ninayo somewhere kuhusu njia zinazotumia kuwaondoa hawa ndege pale uwanjani. Wengine wanatumia vyombo vinavyotoa sauti katika frequencies fulani ambazo ndege wanasumbuliwa nazo na kukimbia mbali sana. Wengine wanakuwa na mtu mwenye kufuga TAI (Eagle) ambaye kwa muda maalumu, wanasimamisha ndege kuruka na kupaa kwa dakika kadhaa na TAI huyo anaachiwa na hapo huanza kusaka ndege yeyote aliye karibu na kumuuwa. Uzuri wa Tai ni ukali wa jicho lake na kuweza kumuona ndege akiwa mbali sana. Hivyo, sehemu alipo TAI, BIRDS huwa wanakimbia kabisa.

F16 bird strike and eject - YouTube F16 inagonga Ndege, angalia kizaa zaa.

Mwisho: Pole kwa kupata tumbo moto. Tunashukuru umefika salama huko uendako. Ila tu kumbuka kuwa ndege ndiyo chombo pekee cha usafiri kilicho salama zaidi kuliko vyote duniani. Bahati mbaya siku zote zipo, hata F.C. Barcelona jana walikuwa na bahati mbaya nyingi tu.
Subiri utakaposikia ndege (birds) wameingia kwenye injini wakati ndege (airplane) inapaa ndipo uje kutuambia utetezi dhaifu. The pilot of the plane that ditched in the Hudson River is an American hero.
 
Last edited by a moderator:
Kuna dalili ndege za hawa jamaa ziko choka ile mbaya. Picha hizi dege lao moja liliposhindwa kuendelea na safari jijini New York na kuishia rubani kulitua ndani ya mkondo wa bahari unaounganishwa na mto Hudson.

crash1630.jpg

Nilimpenda Captain wa ndege hii.......mambo yalipoenda kombo alimpigia simu mkewe akimwambia ''Honey am ditching the bird now!''
 
Mkuu Safari, nafikiri ulimaanisha MKEWE maana Mkwewe amwite Honey? Imenichanganya kidogo.

Mwaka jana, Marubani waliotia fora duniani walikuwa wawli. Mmoja ni huyu aliyetua mtoni na mwingine ni yle aliyetua na Tumbo (Polish Air Line - LOT) baada ya matairi kugoma kushuka... Mungu bariki, ndege zote hakuna aliyemoteza maisha wala kuumia sana.

image-7-for-editorial-pics-02-11-2011-gallery-638524220.jpg

Nilimpenda Captain wa ndege hii.......mambo yalipoenda kombo alimpigia simu mkwewe akimwambia ''Honey am ditching the bird now!''
 
Mkuu Safari, nafikiri ulimaanisha MKEWE maana Mkwewe amwite Honey? Imenichanganya kidogo.

Mwaka jana, Marubani waliotia fora duniani walikuwa wawli. Mmoja ni huyu aliyetua mtoni na mwingine ni yle aliyetua na Tumbo (Polish Air Line - LOT) baada ya matairi kugoma kushuka... Mungu bariki, ndege zote hakuna aliyemoteza maisha wala kuumia sana.

Ha haa haa mkuu......Wakenya wanasema MAMA KWA SHERIA (MOTHER-IN-LAW)
 
Huyu Dogo/Mazee ni mshamba fulani hivi wa mambo ya ndege (Samahani kumuita hivyo, ila hakuna njia nyingine).

Ndege (birds) kwenye viwanja vya ndege ni hatari sanasana. Nilishaona program kibao wakionyesha jinsi wanavyofanya test kwa kurusha BIRD kwenye injini ya ndege inayotembea kwa speed kubwa sana na kuangalia nini kitatokea mara baada ya ndege huyo kuyafikia mapanga ya engine. Jana tu nilikuwa naangalia hiyo kitu na wakaonyesha jinsi ilivyo hatari pamoja na kuchukua hatua nyingi kuzuia hiyo hali.

Ukiacha hap BIRDS, kuna pia hatari ya Engine kuvuta vitu chini ya ardhi. Ndiyo maana wanauweka uwanja katika hali ya usafi. Na zaidi wakaonyesha jinsi ambavyo, chini ya ile midomo ya Engine, wameweka vitundu vinavyopuliza upopo chini ili kuzuia vitu vilivyopo chini visivutwe ndani ya Egine ya ndege.

Kwa sasa wameweza sana kuizuia hiyo hali ila ile ndege iliyoangukia mtoni, ni kuwa waligongana na kundi la ndege wengi na si mmoja na hiyo ikapelekea Egine kuzimika kabisa maana ingelikuwa zamani zingeliwaka moto ila sasa, zinakata mafuta na moto unazimwa palepale.

Pana wakati nilishapitia kazi na jamaa mmoja aliyekuwa amefanya Masters na nafikiri hadi leo ninayo somewhere kuhusu njia zinazotumia kuwaondoa hawa ndege pale uwanjani. Wengine wanatumia vyombo vinavyotoa sauti katika frequencies fulani ambazo ndege wanasumbuliwa nazo na kukimbia mbali sana. Wengine wanakuwa na mtu mwenye kufuga TAI (Eagle) ambaye kwa muda maalumu, wanasimamisha ndege kuruka na kupaa kwa dakika kadhaa na TAI huyo anaachiwa na hapo huanza kusaka ndege yeyote aliye karibu na kumuuwa. Uzuri wa Tai ni ukali wa jicho lake na kuweza kumuona ndege akiwa mbali sana. Hivyo, sehemu alipo TAI, BIRDS huwa wanakimbia kabisa.

F16 bird strike and eject - YouTube F16 inagonga Ndege, angalia kizaa zaa.

Mwisho: Pole kwa kupata tumbo moto. Tunashukuru umefika salama huko uendako. Ila tu kumbuka kuwa ndege ndiyo chombo pekee cha usafiri kilicho salama zaidi kuliko vyote duniani. Bahati mbaya siku zote zipo, hata F.C. Barcelona jana walikuwa na bahati mbaya nyingi tu.

Sikonge, nimeipenda hii, kiwango chako cha uelewa na kujadili jambo umepevuka. Hakuna binadamu mwenye uelewa wa kila jambo, ndio maana hapa tunajitahidi kuwaka mada za kuelimishana, kupashana habari na kutahadharisha, kwani kwa maoni mbalimbali kama yako uliyotoa yanatusaidia wengi kupanua zaidi wigo wa upeo wetu katima masuala ambayo hatujawa na uelewa mkubwa.

Sidhani hoja za mipasho zinaweza kutusaidia ila tu mradi mtu ameweka mstari ndani ya mada inayojadiliwa, haya ya uzoefu na upeo wa akina Sikonge ndiyo tunayotaka.

Thanks Sikonge.
 
Last edited by a moderator:
Nilimpenda Captain wa ndege hii.......mambo yalipoenda kombo alimpigia simu mkewe akimwambia ''Honey am ditching the bird now!''

Umenikumbusha, nilibahatika kuona live toka CNN, anastahili sifa, vinginevyo angeishia kwenye kuta za State Empire building.
 
Yes ndege hiyo ilitokea Zurich Airport kwenda Dulls Washington DC airport. Imekuwa mara yangu ya kwanza kuunganisha ndege Zurich, mara nyingi nimeunganisha Getwich - Heathrow (UK) na Amsterdam (Uholanzi - udachini).

Hapo "Getwich" South Africa nimewahi pita pia nilikuwa naenda Guatemala
 
Back
Top Bottom