Rubani wa airzahra afoji miaka ya kuzaliwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,907
22,057
Habarini wana ndugu.....,
habari zilizotufikia hivi punde lile sakata la kushushwa rubani wa airzahra
Kushushwa na mamlaka ya TCAA sasa limepata ufumbuzi..pamoja n kuomba AIRZAHARA waje kutueleza ukweli ilibidi tufwatilie wenyewe na haya ndio majibu halisi wenye muda mnakaribishw a tcaa
Rubani wa Ndege ya Air zahra Capt makinda Amefungiwa maisha kursha ndege baada ya kukutwa na forging ya miaka yake kwenye licence.akiongea kwa msikitiko mmoja wa maofisa wa TCAA amesema Bw makinda alipata License ya NAIROBI baada ya kuonyesha cheti cha kuzaliwa cha mwaka 1949...na hivyo kuwa within time of flying...lakini ukweli halisi unaonyesha Capt huyo huyo Makinda amezaliwa mwaka 1943 katika license yake ya tanzanzia aliochukulia TCAA...na hiki ndicho kilichofanya asimpe license yake ya Nbo akijua itatatofautiana na License ya tanzania....anyway haswa zaidi rubani aruhusiwi kuruka zaidi ya miaka 65 na katika mahesabu huy bwana amepita miaka 65 na hivyo aruhusiwi kurusha ndege ....kana kwamba hilo alitoshi amehukumiwa kwa kosa lla kutoheshimu mamlaka ya TCAA kwa kutokabidhi licence yake huku sheria zikisema inspector akionyesha akija kwenye ndege anatakiwa kuonyesha kitambulisho chake na baada ya hapo hana kipingamizi.....pole sana Cap makinda yote ni kutafuta maisha ila safety ya watanzania ni muhimu zaidi
Natumaini hili litaendelea kwa wafanyakazi wote na si wanaoruka tu ...kuna wafanyakazi wengi wa mashirika ya ndege wameingia kwa kufoji miaka yao ya kuzaliwa na hii inafanya hata ukimwona amechoka kwenye kazi lakini muda wa kumstaafisha bado....haya mazingira yanaitaji kufwatiliwa maana risk yake ni kubwa zaidi......
 
sasa baada ya kumfungia what next? Kwanini asifunguliwe mashitaka ya kughushi? ili kukomesha tarbia hizo.
 
sasa baada ya kumfungia what next? Kwanini asifunguliwe mashitaka ya kughushi? ili kukomesha tarbia hizo.


kaka tutafunga wengi kwa style yako maana karibu nusu ya watu maofisini wana vyeti feki na ndio wanapiga mzigo kinoma sasa si tutamaliza uchumi wanchi,,,wacha wamemkamta asiruke inatosha
 
Huyu anatakiwa kufunguliwa mashtaka na upelelezi uendele kama lyumba...infact kila kesi ya lyumba awe anamsaidia mpakaa mwisho...imagine angeruhusiwa kuendelea huko juu angeua abiria tcaa wote mngeonekana bogas...anyway..hii iwe kwa kila airline...lingine kwa tcaa muangalie na ubora wa hizi ndege tunazopanda jamanimtatuua kuna ndege nyingine wajawazito wanashuka wakiwa on ground hali ya hewa ilivyo je inaruhusiwa ama ndio ten per ikishapita kila mtu na lwake...mi nawajua sana tcaa wako mbele kwa pesa hata hako kababu na uhakika maskini hakakujitayarisha...makinda hii iwe fundisho kwa wengine marubani hata mkitoka nyumba ndogo kumbukeni kuweka hata 20.000-40,000 kwa ajili ya waheshimiwa kama hawa msiuze magzeti ovyo
 
Huyu rubani nae ana matatizo, ina maana hakuwa na hata 20,000 ampe huyo ofisa wa TCAA? Ona livyoumbuka sasa!!
 
kaka tutafunga wengi kwa style yako maana karibu nusu ya watu maofisini wana vyeti feki na ndio wanapiga mzigo kinoma sasa si tutamaliza uchumi wanchi,,,wacha wamemkamta asiruke inatosha
Mbona vijani ndo inasemekana ni nguzo ya taifa. hii ya wazee vipi tena
 
sasa baada ya kumfungia what next? Kwanini asifunguliwe mashitaka ya kughushi? ili kukomesha tarbia hizo.

ngoja kwanza wale wabunge na mawaziri walioonyesha njia ya kufoji vyetu wafunguliwe mashtaka halafu ndio huyu, first things first!!!
 
Back
Top Bottom