Rubani wa Air Zahra ashushwa ndani ya ndege na TCAA

Abiria wa kibongo huwa ni chanzo cha ajari kwani huwa wanajifanya wanawahi. Nimewahi shuhudia trafiki anasimamisha basi makambako abiria wana-shout. Safi sana TCAA. Ndege sio basi.
 
Back
Top Bottom