Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ruaha University College, (RUCO) waanza kutoa PhD ya sheria 2011/2012

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kabila01, Jan 6, 2011.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 1,611
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 63
  Kuna tetesi nimezipata jana hapa mkoani Iringa kutoka kwa wadau wa jirani kabisa wa chuo kikuu cha Ruaha kilichopo mkoani Iringa ambacho ni branch ya SAUT. Inasemekana kua katika mwaka ujao wa masomo 2011/2012 wanaanzisha Phd ya Sheria. Hapo wadau tunaonaje.
  Nakaribisha michango yenu
   
 2. C

  Cassian A. New Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chuo bado ni kidogo mno.Watu wa PHD kitawaweka wapi na hali mpaka sasa almost ni overpopulated. Waache kuchakachua mambo! Wakimudu population iliyopo ndipo wafikilie kutoa PHD
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 10,790
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 113
  Hapa napta tu.
   
 4. K

  Kipilime JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hizo sio tetesi bali ni habari za kweli. Na wamekwishaanza tangu mwaka jana I think this is the second round. It was made public through adverts and their website. Hii inaenda sambamba na SAUT main cumpus where the same PhD programme is offered. SAUT is also the only University offering PhD in Mass Communication there at DSM campus. I believe they have undergone all necessary scrutiny from the appropriate authorities like TCU and approval has been granted for them to do so.
   
Loading...
Similar Threads - Ruaha University College Forum Date
First year Ruaha Catholic University 2015 -2016 tufahamiane Jukwaa la Elimu (Education Forum) Oct 27, 2015
Ruaha university(rucu) selection majina haya hapa 2015/2016 Jukwaa la Elimu (Education Forum) Sep 30, 2015
Ruaha Catholic University (wametoa Majina) Jukwaa la Elimu (Education Forum) Sep 20, 2015
Mgomo Ruaha Catholic University Jukwaa la Elimu (Education Forum) Feb 5, 2015
Waliosoma na wanaosoma ruaha university Jukwaa la Elimu (Education Forum) Feb 11, 2014

Share This Page