Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, umekua mno Mwanasiasa, sio mkweli, mjanja mjanja.
Ukiulizwa Jambo lililotokea katika ofisi yako au Mkoa wako unatoa taarifa kinyume na kilivyo. Askari wa kike (WP Colleta) amepigwa vibaya mpaka akazimia na Mkuu wa Kikuto Msaidizi Ass.
Inspekta Enea, ndani ya Kituo cha Polisi cha Singida, eti kwa kuwa alimruhusu Juliana Nassary (mdogo wa Joshua Nassary) kumsalimia ndugu yao WP. Jackline aliyekuwa Lock up, hapo Kituoni. WP Colletta anapata matibabu Hospitali ya Mkoa wa Singida. Tatizo ni nini kwanini unapoulizwa unaficha habari?
Je huyu WP alopigwa akifariki utatoa taarifa zipi? Ustaaarabu.....................