RPC Geita, jipime mwenyewe kwenye hicho kiti

Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
5,120
8,140
Foreigner mchina (tena possibly ni mhamiaji haramu) anampiga na kumtesa kinyama RAIA MZAWA! Mtanzania mwenzetu huyo pamoja na kipigo chote alichopewa, still akapelekwa gerezani na kutupwa lock-up! Mchina karateka hakuguswa, 'vyombo vya dola' vyote mkoa mzima vikashindwa kabisa kumshughulikia mchina huyo.

RPC yupo! OCS yupo! OCD yupo! CID yupo! Mkuu wa Wilaya yupo! Mkuu wa Mkoa yupo! wote hawa wanakula mishahara kwa kodi za wananchi lakini walikuwa vipofu kabisa juu ya suala hili.

Eti mpaka Waziri anasafiri to Geita kwa ajili ya suala hilo ndipo HAKI inaonekana kuanza kutendeka. Najiuliza... je kama Waziri asingekwenda huko Geita, kwahiyo hili suala ndo lingefunikwa na kupita?!!!

Mgeni mhamiaji (tena si ajabu ukute hana hata vibali vya Uhamiaji) anamnyanyasa RAIA mzawa na hachukuliwi hatua yoyote wala kuadabishwa. Only in Tanzania! Nchi hii ngumu sana walahi.

Huwa najiuliza, hivi hapa duniani, kuna nchi nyingine yenye maajabu kama Tanzania?

Heko kwako Mh Waziri husika, ndugu Mwigulu Nchemba kwa kuinuka offisini na kwenda kulinda haki na utu wa huyo mtanzania mwenzetu. Endelea hivyo hivyo mkuu. simamia na himiza criminal justice ndani ya nchi yetu.

TAKUKURU pia chunguzeni hili suala, inaonekana kuna element za rushwa kubwa !

RPC jipime mwenyewe kabla hujatumbuliwa.

-Kaveli-
 
Kavel brother hii kitu imenium sana nadhani the same to you.. Hii ni reflection ya viongozi wetu jinsi wanavyoithamini nchi yao dhidi ya wageni. Nchi ni watu na watu ni rasilimali. Huu ni mfano mdogo sana.
Mungu ambariki sana Mwigulu, hakika mwigulu you deserve
 
Kaka Ivuga, hili tukio limeniuma sana. Mtu anakuwa tortured cruelly kwa kipigo, na bado anafanyiwa figisu na wazawa wenzake anatupwa lock-up! Inauma sana hii, huwa najaribu kuvaa viatu vya mtendewa na kujiuliza kuwa possibly ipo siku hata mimi yakanikuta ya hivyo.

Mkuu, nchi hii tumezidi upole na kuwachekea hawa viongozi wasioweza kutimiza majukumu yao kwa maslahi ya wananchi wao.

Sasa imagine, mpaka Waziri anatumia gharama kusafiri kwenda kusimamia haki na utu wa mwananchi, wakati uongozi wa mkoa upo! shame.

Bravoo kwa comrade Mwigulu. Amefanya uungwana, utu, uzalendo, na katimiza jukumu lake kama kiongozi mwenye dhamana ya usalama wa RAIA na mali zao.

-Kaveli-
 
huyo mkuu aliyetoa amri kwa huyo mtanzania aliyenyanyaswa inabidi atumbuliwe.

ina maana CID walishindwa kujua chanzo cha huyo mtz kujeruhiwa?
huyo mchina mwekezaji uchwara atakuwa alitoa rushwa...

RUSHWA kitu kibaya sana Mkuu.

Possibly kabisa rushwa ilitembea hapo, then 'vyombo vya dola' vikapata upofu.

-Kaveli-
 
Unajua kuna kitu cjaelewa, kunyanyaswa kanyanyaswa sasa ilikuwaje tena na gerezani kapelekwa yeye kwa kosa gani?
Mkuu hyo ni rushwa kabisa yani kitendo cha huyo mchina kinakasirisha sana yani anakutesa kwenye nchi yako ka mtumwa hata hao walio muweka lockeup wachunguzwe vizuri uonevu mubaya kabisa uu hafu watendaji wanaukumbatia kisa mchina
 
NAULIZA JE KAMA WALITAKA KUFANYA HIVO WAKAONA WAMSUBIRI WAZIRI ILI WAONEKANE NAE KWENYE MEDIA?

Mkuu, kwenye hili tukio inaonekana ni RUSHWA tu ndo ilipofusha uongozi wote wa wilaya/mkoa.

Tukio la aibu sana hili kwa uongozi wa Mkoa Geita.

-Kaveli-
 
Mkuu hyo ni rushwa kabisa yani kitendo cha huyo mchina kinakasirisha sana yani anakutesa kwenye nchi yako ka mtumwa hata hao walio muweka lockeup wachunguzwe vizuri uonevu mubaya kabisa uu hafu watendaji wanaukumbatia kisa mchina

RUSHWA kitu kibaya sana. Mzawa unanyanyaswa/unateswa na 'wakuja' kisa anamiliki mgodi na ni ngozi nyeupe! big shame kwa police Geita.

Hili tukio lazima liondoke na mtu. Mh Magufuli ndo huwa hapendi upuuzi kama huo.

-Kaveli-
 
Wametia aibu nchi yetu, shame on them.

Mkuu, wametuaibisha sana. Watanzania tunajidharaulisha wenyewe kwenye international community.

'Wakuja' ananyanyasa RAIA mzawa na hachukuliwi hatua, eti kisa ana mgodi na kaununua uongozi wote wa wilaya na mkoa! big shame.

Tusipolinda utu wa watu wetu, lazima wageni watudharau tu.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom