Rotavirus: Ugonjwa unaotishia maisha ya watoto!!!!

marejesho

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
6,636
3,655
Kuna message nimetumiwa muda si mrefu,nimeona nilete hapa JF Doctor angalau mwenye kujua zaidi atupatie somo!!

SMS

Kuna ugonjwa wa tumbo umeingia kwa watoto age between 1 to 5yrs and even to 10 yrs na hospital zote hapa hawaujui.

Watoto wawili wa kike waliokua wanasoma na mwanangu wamekufa,Mmoja kafa wiki mbili zilizopita at the age of 4 na Isabella kafa jana saa 8 mchana at the age of 5.

Finaly nimefanikiwa kujua ni nini,unaitwa Rotavirus,nenda kwa google usome. Please fwd to all mums and dads.

Mwisho wa SMS
 
Asante sana kwa habari nimeusoma nime compare na wa kwangu kila akikojoa lazima itoke na haja kubwa hospital wanasema eti mchafuko tu wa tumbo na kuna mida huwa analalamika tumbo linamuuma. Kesho tena nitampeleka hospital basi hospital zetu wazembe kumbe kitu kinafahamika world wide
 
Pole sana,ila jitahidi kuhakikisha mtoto anapata huduma ipasayo haraka!!

Doctors mpo wapi?please say something!!
 
wewe umesema mahospitali yote hawajui sasa madokta wa nini?shusha hayo mashule ya google tufaidike.
 
Rotavirus sio ugonjwa ila ni aina ya kirusi kinachosababisha ugonjwa wa kuhara (severe diarrhoea)....huu ugonjwa sio mpya kama alivyodai mtuma msg, pia ni moja kati ya magonjwa ambayo ni common hasa kwa watoto walio under 5yrs, kwa hiyo nashindwa kuamini kama hospitali zote haziutambui huu ugonjwa wa kuhara, pia nashindwa kuamini kama madaktari hawajui therapeutic principles za ugonjwa huo....mtoa mada labda ungeulizia zaidi kwa huyo jamaa aliekutumia msg, nahisi kuna mengi yameachwa, kama yeye ameugundua kama anavyodai na anadhani bado hospitali kubwa hawajui hilo tatizo, basi inabidi atupe maelezo kiundani kwa nini anahisi hivyo!..............ningependa pia kutoa pole kwa wafiwa, Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi, amin
 
Asante sana kwa habari nimeusoma nime compare na wa kwangu kila akikojoa lazima itoke na haja kubwa hospital wanasema eti mchafuko tu wa tumbo na kuna mida huwa analalamika tumbo linamuuma. Kesho tena nitampeleka hospital basi hospital zetu wazembe kumbe kitu kinafahamika world wide

hapo ndipo watu wengi mnakosea....mgonjwa mmoja akiwa ana dalili zinazofanana na mwingine haimaanishi kuwa wana ugonjwa unaofanana (japo pia hutokea)......hizo dalili ulizotaja sio kigezo cha kudhani hospitali wamekosea ila huyu uliemsikia ndio yupo sahihi...kuna magonjwa mengi sana, hata tukiyataja utachoka, yote hayo yana dalili hizo hizo kama za mwanao......kwa hiyo nakushauri badala ya kurusha lawama kwa hospitali hiyo uliyoenda kabla, nenda hospitali ya uhakika na fuata maelekezo yao coz wao hawatabiri bali kuna vipimo wanafanya then wanachanganya na taaluma yao ndio wanapata majibu unaumwa nini.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom