rostam ni nani?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
naombeni msaada wa kumjua kwa undani huyu mtu,kuna mtu alikuwa ananidokeza kuwa karibu nusu ya serikali ya kikwete walikuwa kama si wafanya kazi wa rosta basi ni marafiki katika biashara.

sasailinimwelewe vizuri naomba mniwekee kila mtu aliyefanya kazi kwa rostam na yupo kwenye serikali au mashirika uma ili ikiwezekana uchaguzi ujao tuwakwepe kama ukoma.
 
Ni fisadi na ni gamba kama chama chake ccm walivyodai na kumwamuru ajiuzulu
 
nasikia hawa ni baadhi ya wafanyakazi wake badra masudi,idrisa rashid,salva rweyemamu,ngeleja,malima,january makamba,dada yake,kama kuna mwenye kujua wengine aendeleze.
 
nasikia hawa ni baadhi ya wafanyakazi wake badra masudi,idrisa rashid,salva rweyemamu,ngeleja,malima,january makamba,dada yake,kama kuna mwenye kujua wengine aendeleze.

Kikwete, aliyewaajiri wengine wooote, kwa hiyo huna haja ya kuhangaika, kila umjuae serikalini na taasisi zake ni wafanyakazi wake. Jee, wewe sio wafanya kazi wako?
 
Kikwete, aliyewaajiri wengine wooote, kwa hiyo huna haja ya kuhangaika, kila umjuae serikalini na taasisi zake ni wafanyakazi wake. Jee, wewe sio wafanya kazi wako?

Ni Gamba kuu! Akimwona Nape anakimbia kama Mwanamke anayekimbia Kubakwa. Ni Mmoja kati ya Watu ambao hawatakiwi na nape Ndani ya CCM.
 
Ni mburushi, anayejituma kwa kujitafutia maisha Mungu amempa uwezo wa kubuni njia za kupata pesa kwa biashara za ndani na kimataifa. Ni mtanzania mwenzetu ambao wä2 wenye wivu wamekuwa wakimchonga sana ili wao hawana hata uwezo wa kuchangia pato la taifa na kuongeza ajira. Tuige mfano kwake.
 
Mfano gani wakuwaibia watanzania?
 
Mfano gani wakuwaibia watanzania?

Ninani aliyemwema tanzania híi? Huyu jamaa anapiga kazi hasa na ktk nchi amechangia kwa kiasi fulani uchumi wetu kwa ajira, kodi na mambo mengine, mnamuonea wivu tuu. Fanyeni kazi kuweni na mbinu za kujiendeleza jamaa ndio anapeta hvy hata mbele za mungu atajibu alivyotumia utu wake na kwa manufaa ya wengine.
 
Ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya aliyekubuhu,ni msafirishaji wa uranium na madini mengine nyeti kwenda Iran kutoka Congo DRC na pia ni Freemason wa ngazi ya juu.Inasemekana ni 32 degree freemason na ni sleeper agent wa hawa jamaa.Taarifa za kwenye mtandao zinatonya kwamba ana shahada ya juu ya sabotage ya uchumi na siasa na ana uzoefu mkubwa sana katika fani hiyo chafu.
Ni mburushi, anayejituma kwa kujitafutia maisha Mungu amempa uwezo wa kubuni njia za kupata pesa kwa biashara za ndani na kimataifa. Ni mtanzania mwenzetu ambao wä2 wenye wivu wamekuwa wakimchonga sana ili wao hawana hata uwezo wa kuchangia pato la taifa na kuongeza ajira. Tuige mfano kwake.
 
sina uhakika kama ni mhindi au mwarabu ila nina uhakika kila asubuhi jk anampigia simu na kusema"shikamoo boss"
 
ni mwarabu mwenye uraia wa iran na vilevile ana uraia wa canada'mkianza kuchijana hapa atatoweka bila wenyewe kujua
 
Back
Top Bottom