Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Mnajua tatizo letu waTanzania ni mabingwa sana wa kuongea lakini kufanya vitendo tumekuwa tukisuasua nani asiye jua CCM ndo imewalea mafisadi wote hawa? Tatizo tunashindwa au tunasita kuchukua hatua au kuinua tu mguu imekuwa shida jaribuni kubadilika waTanzania wenzangu vita hii si nzito kama wengin mnavyo fikiria kwa nini hawa watu hata 50 hawazidi wanatunyanyasa kiasi hicho?