Elections 2010 Rostam mpya azaliwa arusha

nenda kagombee wewe, kwani walipokua wanatangaza mpango wa kura za maoni wewe ulikua wapi?
 
Ila mkuu nakataa matumizi ya 'mzalendo' kwani wapo watanzania wneye asili ya ki-asia (yaani wahindi) ambao ni wazalendo na wapiganaji mmoja ni Rakesh Rajani - mkurgenzi wa zamani wa HakiElimu. NI jasiri na mpaka leo anaendelea mapigano yake kupita NGO nyingine nimeisahau jina. Rakesh ni mtanzania halisi na hana makuu na anaongea Kiswahili kama sisi tu bila lafudhi. Tuache ubaguzi jamani.
Ila tukirudi kwa hao mafisadi nakubaliana na wewe kuwa wafanyabiashara (waafrika na waasia) wanaogombea kupitia CCM wako hapo kwa ajili ya kusaidia biashara zao na kufuja mali za umma. Ingetakiwa iwekwe wazi kuwa mfanya biashara pindi anapoingia siasa anajiuzulu katika biashara zake... hapo utajua wazalendo kama wapo. Hehehe!

Nakuabliana na wewe kuhusu Rakesh wa HakiElimu, wengine ambaye ninamkumbuka kwa karibu ni Prof Shifji, tatizo la wahamiaji wengi kutoka India na Pakstani ni kuwa wanawaangusha wahiaji wazalendo kama Rakesh na Shifji. Kama kweli nyuma yake hana dalili za ubabaishaji na ufisadi basi aungwe mkono lakini kama naye ni miongoni mwa wale wengi basi apingwe kwa nguvu zote
 
Mimi sielewi dini ya wahindi ni ipi? wako wahindi wanaosali makanisani, wapo wahindi wanaoswali misikitini, wapo wahindi wanasali katika mahekalu, dini ya wahindi ni ipi jaman? kuoa ni makubaliano ya muoaji na muolewaji, kwani hakuna wasiokuwa wahindi ambao wameoa wahindi na vice versa? basi chuki zisitufikishe huko jamani,,:mad2::mad2::mad2::mad2:
Nawashangaa ndugu zangu wa Babati kwa wahindi kwa asili hawapendi kushirikiana na watu wasio wahindi, sijui walimpitishaje awe mgombea wao? Wahindi tunawafahamu sana, hawachangamani na jamii; hata dini yao hawapendi ujiunge nayo, kumwoa muhindi ni vigumu sana,

Babati mnakosea sana;
 
tehe.tehe...tehe.......te....te........teeeee....mafisadi wamenunua wengi sana hapa nchini.....wamenunua mpaka ubongo na akili
nenda kagombee wewe, kwani walipokua wanatangaza mpango wa kura za maoni wewe ulikua wapi?
 
hilo ni swala lingine............tukiwa na weusi mia kati ya sisi watu zaidi ya 40mil. tutaweza kuwadhibiti kuliko kuwa na akina rostam watatu tu
vipi kuhusu weusi wasio wazalendo?
 
kuna umuhimu wa kufika huko...........
Mimi sielewi dini ya wahindi ni ipi? wako wahindi wanaosali makanisani, wapo wahindi wanaoswali misikitini, wapo wahindi wanasali katika mahekalu, dini ya wahindi ni ipi jaman? kuoa ni makubaliano ya muoaji na muolewaji, kwani hakuna wasiokuwa wahindi ambao wameoa wahindi na vice versa? basi chuki zisitufikishe huko jamani,,:mad2::mad2::mad2::mad2:
 
kwa nini hawagombei kwao...............mara nyingi wanapita kwa kurubuni watz........kwa nini bado hatujafikia hatua ya kuamini kuwa twaweza kujitawala?
Nakuabliana na wewe kuhusu Rakesh wa HakiElimu, wengine ambaye ninamkumbuka kwa karibu ni Prof Shifji, tatizo la wahamiaji wengi kutoka India na Pakstani ni kuwa wanawaangusha wahiaji wazalendo kama Rakesh na Shifji. Kama kweli nyuma yake hana dalili za ubabaishaji na ufisadi basi aungwe mkono lakini kama naye ni miongoni mwa wale wengi basi apingwe kwa nguvu zote
 
Mkuu hebu nijuze kidogo huyu jamaa nadhani anaishi karibu na wahindi wa Krishna Seed, Babati vijijini. I will tell you something kama ndo mwenyewe
 
nitashukuru mkuu,kuna haja ya kuwajua hawa jamaa in and out lasivyo tutavuna mabua
Mkuu hebu nijuze kidogo huyu jamaa nadhani anaishi karibu na wahindi wa Krishna Seed, Babati vijijini. I will tell you something kama ndo mwenyewe
 
90% ya uchumi wa tz unamilikiwa na wageni (asia na ulaya).....siamini ni lini tutakuja kumiliki uchumi wetu sisi wenyewe
 
Back
Top Bottom