Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.

RA kama kafanya makubwa naomba kujulishwa yafuatayo: Igunga inashika nafasi ya ngapi kiuchumi TZ, je pato la mwana Igunga ni shi ngapi kwa mwaka?, kuna barabara ngapi za lami Igunga? kuna huduma gani za maana za jamii zinazotokana na RA?
 
Huyo Rostamu si alishasema kaachana na siasa uchwara za CCM? halafu hawa jamaa wa ajabu sana serikali yao imeshindwa kabisa kuongoza lakini bado wanang'ang'ania tu bado uongozi mbo hatari hii
 
Ngoja tusubiri huu mchanyato wa magamba!

Wapinzani wakae chonjo, ccm inakwenda kuwanunua watu kwa gharama yoyote. Nadhani mngeanza kujipanga kukabiliana na hao wafanyabiashara na hizo fedha za Jairo ambazo anagawa mwigulu michembe.

Nadhani ikibidi hata kumwaga mboga kwa wagombea wengine wa upinzani kukubali kujitoa na kumuanga mkono mmoja atakayekuwa na nguvu. Lengo liwe kuadhibu ccm hatakama atapewa mgombea wa chama cha DOVUTWA.
 
CCM walisema kuwa wanajivua gamba (la kifisadi) ili waweze kukubalika kuendelea kuongoza! .... hapa walikuwa na maana ya kupata nafasi ya kuongoza . Lakini kama mafisadi wa Igunga akiwemo Rostam wanaweza kuwasaidia ili waendelee kuongoza jimbo hilo, CCM hawana taabu na Mafisadi wala hawana sababu ya kuvua hayo magamba.

CCM kwa unafiki na uongo ni chanda na pete!
 
Kama watafanya hivyo basi watakuwa amejifunga goli wenyewe, inadhihirisha kuwa kujivua gamba ni usanii.
 
Rostam alishamaliza kampeni za Igunga, bado kuapisha mbunge mpya tu wa upinzani. Ninavyomjua Rostam hawezi kulamba matapishi yake Atacheza mamluki mchana CCM usiku Ukombozi.
 
The King Maker, anahakikisha anamrithisha amtakae yeye. Magwanda mlie tu.
Kumbe mngekubali kwamba Rostam ni king maker eeeh??? kumbe JK pia alitengenezwa eeeh?? Kubenea akiwambia magamba mmemuangukia Rostam mnabisha, kumbe mnakubali kula matapishi yenu..shame up on you magambaaaaaazzzz...mlie tu maana Nape sasa anaonekana kituko tu, maana Rostam yupo juu ya yake..
 
Wanamuonea na kumwaibisha Mzee Mkapa, chama mfu ndo anashauriwa akipigie kampeni?

Wanamuonea vp wakati ni chama chake na ni fisadi mwenzao?..unapoongea kashfa ya rada, EPA, meremeta, Tangold, Kiwira mine and so many more, mkapa anahusika moja kwa moja. So dont sound like unataka kumfanya mkapa ana tofauti na na viongozi wengine wa CCM.
 
To be against ccm ni lazima uwe umekomboka kifikra.wananchi wengi wa igunga njaa kali,wanaona bora wapewe kofia,khanga,elfu 10000,nk waichague ccm.
 
Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.

Faizafoxy, acha kufikiria kwa kutumia Masaburi aka makario. kama CCM wanamtuhumu kuwa ni fisadi, bila shaka atakuwa ametumia fedha hizo hizo (just a very very very small percentage ya hizo) kuwapa watu wa Igunga. unachukua Tsh 100 na unatoa sh. 1 ili kujijenga. hii ndo tanzania tuitakayo ya fisadi kutoa fedha aliyotuibia kuendeleza kitu fulani huku sisi tukimpigia makofi.
 
Wanamuonea na kumwaibisha Mzee Mkapa, chama mfu ndo anashauriwa akipigie kampeni?
<br />
<br />

Natamani kusikia ataongea nini safari hii, nitashangaa kama atabeza tena nguvu ya vyama vya upinzani hasa cdm
 
Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.
Nakubaliana na wewe, lakini je ni kweli Rostam anaipenda CCM kwasasa mpaka kuipigia kampeni? hiyo ndo ilikuwa concern ya jamaa.
 
ni fursa nzuri kwa wapinzani kuanika uozo wote wa mkapa,rostam,chenge na vigogo wote wanaotuhumiwa kuifilisi nchi, wananchi waelezwe mchezo wa kuigiza wa kuvuana gamba, na pia wamuaibishe huyu mtu aliesema amechoshwa na siasa uchwara anarudi kwao tena kumkapeni mwenzake ni sawa na kuwatukana wananchi wa Igunga, nadhani wananchi wameshaamka na wanaelewa kinachoendelea kama wataamua kuwa watumwa wa CMM tena basi ntawaona hawana upeo wa kufikiri naamini kama magamba hawataiba kura CCM watakiona cha mtema kuni.
 
Wewe unayeapa CCM itaqshinda umeingia kwenye nyoyo za wana Igunga?Subiri kampeni kabambe zianze utaona upepo unakoelekea kwani ukweli utajitenga na uongo.
 
[h=6]SIASA PEMBENI KIDOGO GREATTHINKERS, LET VOTE:::: Mount Kilimanjaro is about to make to the list of New 7 wonders of the world.
Pls go to new7wonders.com and vote for our Kili. Watch the trend first, them vote for Kilimanjaro and the other six, make sure they are
at no. 20s to give Kilimanjaro a good trend, as of yesterday KILI was at No. 10 out of 28 finalists. New7Wonders of Nature[/h]
 
Back
Top Bottom