Rostam: Mbunge mwenye rekodi ya kipekee Tanzania

Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
130
Rekodi za bunge zinaonyesha kuwa hadi kuanza kwa mkutano wa sasa, Rostam ndiye mbunge pekee kati ya wabunge 322 aliyefanikiwa kuweka rekodi ya kuuliza maswali ya msingi 0, ya nyongeza 0, na kutoa michango 0.

Anyway, wether negative or positive, lakini ni rekodi ya aina yake....
 
Mkuu huenda matatizo ya constituent yake anayamaliza mwenyewe ahitaji msaada wa serikali. Barabara zote za Igunga anajenga yeye, hospitali anazihudumia yeye, ajira kwa wananchi wa Igunga anatoa yeye sasa maswali ya nini?.
 
A Mr. Zero is always a zero, no matter how much money he may have in his pocket.
 
Rekodi za bunge zinaonyesha kuwa hadi kuanza kwa mkutano wa sasa, Rostam ndiye mbunge pekee kati ya wabunge 322 aliyefanikiwa kuweka rekodi ya kuuliza maswali ya msingi 0, ya nyongeza 0, na kutoa michango 0.

Anyway, wether negative or positive, lakini ni rekodi ya aina yake....

Sasa yuko Bungeni kufanya nini kama hii ndiyo rekodi yake? Wacha Bunge letu liwe hovyo kabisa na si ajabu Wabunge wenye rekodi kama hii kule Bungeni wako wengi tu. Na mwaka huu atapita tena jimboni kwake kuomba KULA na wananchi bila kinyongo watampitisha tena!
 
jamaa yupo bungeni kulinda maslahi yake binafsi,
na naamini hata kiswahili hajui vema, nashangaa wananchi kila kukicha mnamchagua huyu fisadi
 
Mkuu huenda matatizo ya constituent yake anayamaliza mwenyewe ahitaji msaada wa serikali. Barabara zote za Igunga anajenga yeye, hospitali anazihudumia yeye, ajira kwa wananchi wa Igunga anatoa yeye sasa maswali ya nini?.

Angeweza kufanya yote hayo (kama kweli anayafanya) bila ya kuwa Mbunge.
 
Wakubwa naomba msaada tutani. Hata kama hakuna swali ina maana hakuwa na mchango wowote hata wa kuboresha sheria,yaani kila kitu ni ok hata kama mswada wa kuuzwa jimbo lake kwa wawekezaji ungekuwepo.
Pili, hivi mimi ninaweza kugombea ubunge India, Iran,China au japan nikakubaliwa au kubalika!! Kama yupo mwenye data kuhusu mtu mweusi kuwepo ndani ya mabunge ya nchi hizo animwagie ili nifunguke macho
 
Back
Top Bottom