Rostam kukutana na waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
- Ooooh! he is just spinning kwa ajili ya fisadi papa Rostam, wakati wananchi tuna uchungu na taifa letu? it is strange no?



William.

Bro ni kweli na inauma --- lakini kwenye vita kama hii sometimes we need a few vibaraka ili wawe wanatoa the other side [japo kichwa] ili u-test the salt

i believe Mengi is not fighting a losing battle because he is not alone and what has just started is the proper "POWER TO THE PEOPLE MOVEMENT" that will never be stopped hata kama Mengi hataona mwisho wake!!!!!!!!! Hata MLK Hakuona Obama being the president

WE DO THESE THINGS FOR OUR FUTURE GENERATIONS = UTAMU UTAKUJA PALE WAJUKUU WA MAFISADI WATAKAVYOSOMA VITABU VIPYA VYA HISTORY NA MAJINA YA WAZAZI WAO YAKIWA IN DARK PRINTS SHOWING THE DARKEST DAYS OF OUR HISTORY
 
kwa kweli huyu jamaa ni Mafia sio kidogo, ni kitendo cha ajabu jamaa kuwa na makampuni kibao lakini jina lake halimo popote, hebu tusubiri hiyo saa tano tuone ataongea nini
 
kwa kweli huyu jamaa ni Mafia sio kidogo, ni kitendo cha ajabu jamaa kuwa na makampuni kibao lakini jina lake halimo popote, hebu tusubiri hiyo saa tano tuone ataongea nini
Kama ilivyokuwa mwaka jana, mwandishi wetu tuliyemtuma pale Kempinski kagonga mwamba! Amekataliwa kuingia kwenye Press Conference hii. Ni kwa wenye mwaliko maalum...!

Tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunaweza kwenda nao live. Once done tutawafahamisha.
 
Mpaka sasa Rostam hajaanza Press Conference yake. Mwandishi wetu anajaribu namna ya kupenyeza kinasa sauti walau tupate audio version ya alichokiongea.
 
Kama ilivyokuwa mwaka jana, mwandishi wetu tuliyemtuma pale Kempinski kagonga mwamba! Amekataliwa kuingia kwenye Press Conference hii. Ni kwa wenye mwaliko maalum...!

Tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunaweza kwenda nao live. Once done tutawafahamisha.

Press conference by invitation only. Lord Have Mercy!

Amandla...........
 
Kama ilivyokuwa mwaka jana, mwandishi wetu tuliyemtuma pale Kempinski kagonga mwamba! Amekataliwa kuingia kwenye Press Conference hii. Ni kwa wenye mwaliko maalum...!

Tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunaweza kwenda nao live. Once done tutawafahamisha.
Mkuu tuko pamoja je unajua ni waandishi kutoka vyombo gani wamealikwa? au ni wahariri tu?
 
Umejuaje nimesoma chuo kikuu, na sekondari? Na hutakiwi kuamini nitakachokwambia. Nenda kafanye utafiti kuhusu mimi. Ukishindwa njoo tutafute muda muafaka kufanya usaili na mimi, na mada ya siku hiyo itakuwa mahsusi, wasifu wangu mimi Rostam Aziz, kama unataka kuandika biography. Swali lingine tafadhali.

Umiliki wa makampuni ya biashara, ukitakata kuongelea umiliki wa makampuni, unaweza kuanzia yanarekodiwa, BRELA. Huo ndio uandishi wa kichunguzi. Ukishindwa, again, nitakuwa na zaidi ya furaha kukaa na wewe unifanyie usaili kuongelea biashara zangu na yatokanayo. Nikupe upande wangu wa hadithi, nitakuwa na zaidi ya furaha kufanya hilo. Mwingine?

Gen. Adawi ana hisa ngapi wapi ilibidi umbane yeye siku hiyo hiyo akwambie ana ngapi wapi alipokiri kunifahamu.

Isitoshe, ndugu mwandishi, umiliki wa Dowans na yote yatokanayo yalichunguzwa na Bunge, na Tukukuru, yameongelewa magazetini, na mitandaoni na mabarazani. Unatakiwa ndugu mwandishi, kuwa na msingi wa yaliyosemwa na wachunguzi binafsi kwanza, kabla ya kuja kuniuliza mimi. Huanzii kwangu. Swali lingine?

Kuhusu ya Dowans, nitakachokisema nimekisema.

Ndugu mwandishi, inabidi uzatiti hisia yako, substantiate the presumption, the premise, of your question, kwamba nilimsaidia, halafu ndio uulize nilimsaidia kiasa gani. Vinginevyo swali lako ni la kufikirika, hypothetical. Si busara kujibu ya kufikirika, hypotheticals. Swali linatofuata tafadhali.

Tuko kwenye press conference ya shutuma za Mzee Mengi, wewe unaongelea nitawaambia nini wananchi kuhusu kampeni za Kikwete. Watu wa Igunga wamesha move forward kutoka katika campaign mode na sasa wanatathmini uongozi, na sio kampeni, uongozi wa Kikwete. Ninapima the pulse of the voter, hicho sio kilio cha watu wa Igunga. Nina ulukuki, a laundry list, ya kero za wa Igunga. Kampeni za 2005 halimo. Next.

Ndugu mwandishi umesema "mfuko binafsi"? Ya mfuko binafsi yanawahusu watu binafsi, kutokana na watu binafsi, kwa ajili ya watu binafsi. Maongezi ya binafsi tutafutane kwa kahawa, kwa faragha. Umesema mwenyewe "mfuko binafsi," huulizi ya binafsi, ndugu mwandishi, huulizi ya binafsi kwenye mdahalo wa umma. Mwingine mwenye swali tafadhali.

Kuhusu ya kampeni ya Kikwete, nitakachokisema nimekisema.

Sina ruhusa ya Yusuph Manji au yeyote yule niliye na mahusiano nae kuongelea mahusiano yetu hadharani. Baadhi ya mahusiana ya kibiashara huwa ni trade secrets anyway. Swali lingine.

Ndio wafikishwe, ndugu mwandishi, naamini siku zote kwamba anaeshukiwa kuvunja sheria anatakiwa apelekwe mbele ya vyombo vya sheria. Ahsanteni sana.

Ndugu wananchi, sasa tunawarudisha studio zetu kujiunga na Professor Jay akisema:
Piga makofi, Piga Makofi, Piga Makofi tafadhali...
Piga makofi, Piga Makofi, Piga Makofi tafadhali...

Kwa hoja hizi za Dilunga tunapaswa kufikiri kwa makini sana,la sivyo samaki aliyeko ndoanoni "atatuponyoka"
 
Wandungu,

Punguzeni munkari katika masuala ya kitaaluma. Majibu ya DILUNGA ni kukosoa strategy ya Mheshimiwa Sana Mpambanaji Asiyechoka Mwanakijiji.

ROSTAM ni fisadi lakini kama alivyoweza kutumia kipaji cha akili alichopewa na mungu katika kuasisi, kusimami, kulinda na kufaidika na ufisadi ni wazi atatumia kipaji kichohicho kujiandaa kwa Press Conference hii. Ni wazi tayari ameshajiandaa na majibu ya maswali yote hayo. Sio tu katika kujinasua/kujisafisha lakini hata pia kuset ajenda katika mapamabano haya ambayo siku hizi za karibuni nimekuwa nikihoji kama kwa kweli ni mapambano dhidi ya ufisadi ama mapambano kati ya MAFISADI wa ARI MPYA na MAFISADI WAZOEFU na WALINZI WA MFUMO FISADI.

Haitokuwa ajabu kama maswali hayo yakaulizwa na haohao mnaowaita makuwadi wa ROSTAM (Kwangu mimi ni makuwadi wa unyng'au) na ROSTAM akatoa majawabu waliyokubaliana kabla ya kuja hapo.

Tupunguze jazba na propaganda hovyohovyo katika jukumu la kuikomboa tanzania yetu kwenye MFUMO FISADI na maajenti wake.

omarilyas
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom