Rostam - Kuisambaratisha Tanzania (?)

Nadhani hata Malaria Sugu ni raia wa Irani. Kama siyo basi ni kweli baadhi ya watanzania wenzetu ni hayawani/zumbukuku, kwani wanashindwa kujua nchi ikichafuka watakao dhurika ni wao na siyo RA:A S angry:

Kikwete na CCM wote wanamwogopa hiri rijamaa!! Makamba na kelele zooote unaufyata kwa huyu RA.
Yaani nchi ya watu milioni 40 tunamgwaya mtu mmoja? Tanzania tuna matatizo ya akili:lol:
 
Rostam ni tatizo linalojulikana, lakini lets be honest, he is not the only one playing this game! Udini, Ukabila, matatizo ya muungano etc. yanajitokeza kutokana na uongozi dhaifu wa Kikwete...
 
kwa sababu anatoka karatu na wachaga wanatoka kilimanjaro, basi wameshakuwa kundi moja?
Una maana kuwa mwandiga kwa zitto nako ni nothern tanzania?

Hungary (magyar) ni nchi iliyopo eastern europe na imezungukwa na majirani karibu wote ambao ni slovans. Ila cha ajabu, lugha yao iko karibu zaidi na finland na hawana uhusiano wowote na hao akina czech, slovakia, bulgaria etc. Kwa mtu kutoka karatu, hana uhusiano wowote na mchaga. Pia anayegombea hana uhusiano wowote na mtei ambaye ni mwanzilishi wa chama.

Dr. W slaa kafanya kazi nzito kupata umaarufu wake. Hakubebwa na akina lowassa au ra kufikishwa pale alipo. Wakati wengine wakimshangilia rais kikwete kuweka sahihi sheria ya uchaguzi kwa mbwembwe, mtu mmoja pekee alikuwa anakesha kuhakikisha kama kweli alichoweka rais sahihi ndiyo hicho na akakuta si hicho.
Ndiyo mtu pekee aliyeanza kufumua madudu ya kifisadi. Wengine tulidhani ni mzindakaya kumbe yule alikuwa anatumika pale marafiki wawili wanapogombana na mmoja anamshambulia mwenzake kwa kumwaga madudu via mzindakaya.

Ndiye mbunge pekee aliyedai "mishahara ya wabunge ni mikubwa" huku na yeye akiwa mbunge na kusema ipunguzwe.

Ndiye aliyefumua list ya mafisadi na rais wetu hadi leo akaikalia. Na aliweka hadi ushahidi lakini wapi.

Kuna mengi kayafanya hadi akajijengea jina. Huwezi kuja hapa kuanza kumchafua mtu na ukafikiri eti tutanunua. Na kama ni kweli vatican wangelihitaji kuweka mtu, basi wangeliweka muislaam. Wale jamaa wa vatican, hata wayahudi wanawaogopa. Uk, usa na russia wanafahamu kuwa ujasusi wa vatican ni mwisho wa matatizo. Usa walipigana na wakoministi (cold war) yakawashindwa. Walipoingia wazee wa kazi kwa kumtumia papa john paul ii, mkoministi akabwaga manyanga chini.
Kama ni kweli wanataka kufanya hilo, wangelikuja na njia nzuri zaidi na si kutumia mtu wao wa zamani ambaye mbali kabisa unamuona.

Mlimtukana malecela mwaka 2005. Mkamtukana sa sallim mwaka 2005. Safari hii tupo macho. Kumbukeni maneno ya dr. H. Mwakyembe kuwa "watanzania siyo mabwege tena". Kimewauma kuwa hadi mwisho hamkufahamu kama slaa atagombea. Hamkufanya matayarisho mazuri kummaliza. Sasa mnaanza kurusha mawe bila kufahamu adui yuko wapi. Kumbukeni kwenye biblia imeandikwa "achezaye kwa upanga, hufa kwa upanga". Msijifanye watakatifu sana maana watu wakianza kumwaga siri zenu, mhhhhhhhh patakuwa hapatoshi.

Mwisho wa siku wote tutabaki kuwa watanzania. Tugombane kisiasa huku tukikumbuka kesho. Ona sasa mmeshampoteza sas, malecela sijui kama ataendelea kuwasaidia. Fisadi mkapa anajificha na kutokea kanisani kujisafisha. Ra na el dawa yao inakuja mwakani wakati slaa atakapokuwa rais. Mafisadi wote anzeni kunyowa......

uko na slaa au uko na mafisadi.
mwalimu nyererealisema wakati ule hawezi kwenda butiama kulala na kuicha nchi yake ichukuliwe na dogs...hakumtaja ni nani dogs...lakini alimpigia kampeni kali mkapa dhidi ya wengine....bado angekuwepo angetamka maneno hayo hayo....kwani huwa anaona mbali.....
Na pia aliwahi kusema kaburu ni kaburu hata awe mweusi......sas hizi cuki zenu kwa rostam mnasumbuliwa tu na tabia ya ukaburu...always mnajiona bora kuliko wengine....sasa sijui hii ndio sera ya chadema....?
Ubaguzi hauna nafasi nchi hii...kama una ushahidi fungueni kesi dhidi rostam...mpelekeeni ushahidi manumbe...wekeni hadharani alichofanya sio kupuga vuvuzelatu....uchoyo wa maendeleo ya watu ....mkepewa nchi si mtataka mupate nyoe tu???????
 
RACIST! hukawii kuwagawa wa tanzania kutokana na dini , mwisho kwenye ukabila, watu kama nyiynyi hamfai kabisa
 
Nadhani hata Malaria Sugu ni raia wa Irani. Kama siyo basi ni kweli baadhi ya watanzania wenzetu ni hayawani/zumbukuku, kwani wanashindwa kujua nchi ikichafuka watakao dhurika ni wao na siyo RA:A S angry:

kaaazi kwelikweli:confused2:
 
Rostam ni mtu hatari kwani alianza na kununua wanasiasa wa Tanzania na nakumbuka miaka ya 1995 - 2000 hivi alikuwa na sehemu maalumu pale Royal Palm kwa ajili ya kukutana na wanasiasa wengi CCM na hata wa upinzani wanaenda pale kukutana nae wakipewa misaada mingi tu.
Na mtu aliyemkaribisha kwenye siasa ni Mkapa na kuna mtu mwingine anaitwa Habib yuko pale Caspian ni share holder mwenzake. Huyu jamaa na yeye ni mu-iran alipewa uraia wa nchi hii ndani ya miezi sita.
Nadhani hata CCM hawajui ukweli kuhusu Rostam alipotokea mpaka akafika hapo alipo. Na wakati baba wa taifa akiwa mzima huyu Rostam hakudhubutu kujitokeza hadharani kuwa na nguvu hizo alizonazo, kwani Mzee hakuwa na historia yake na asingeweza kufanya aliyoyafanya wakati wa uhai wa baba wa taifa.
 
"Kwa ugonjwa huu; nitakufa.. Watanzania wale watalia sana.., nitawaombea kwa Mungu"
Ndugu wanaJF nimeona nianze kwa kunukuu sehemu ya maneno ya Baba wa taifa katika siku zake za mwisho pale St Thomas...

Rostam Aziz, wote tunamfaham kama mbunge wa Igunga na kada wa CCM na mfanya 'biashara' maarufu. Lakini naomba nimzungumzie Rostam tofauti kidogo. Nimzungumzie Rostam kama kiongozi mtendaji wa 'syndicate' ya wahaini wa kimataifa wanao-control chumi na siasa za mataifa kadhaa duniani hadi sasa, yeye akiwa anatekeleza majukumu yake hapa Tanzania.

Mtakumbuka ni kiasi gani hawa jamaa kuputia kwa RA waliwekeza hadi kuhakikisha wamechukua uongozi wa nchi kwa kuweka raisi waliyemtaka wao kwa matumizi yao. Baada ya kushika nafasi hiyo mnaona jinsi walivyofanikiwa kuuweka uchumi na raslimali za Tz mikononi mwao.

Wamefanya kazi kubwa sana kuhakikisha wanawafitinisha watanzania kwa misingi ya ukabila ili kuhakikisha hakuna kundi tofauti na wao wanaochukua madaraka. Kwa sasa wameingia katika kipengele cha udini bila kujali madhara yake kwa waTz. Mtakumbuka hivi majuzi gazeti moja la RA liliandika ...Dr Slaa kugombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA.. 'ategemea udini wa wakatoliki kushinda'...

Haihitaji kuwaza sana kugundua madhara ya kauli kama hii kwa kizazi cha sasa na cha baadae...

Nadhani kazi kubwa tuliyonayo waTZ kwa sasa wala sio kupambana na umaskini wala nn.. Ni kupambana na wahaini hawa...

Yaani hayo maneno na hizo thanks ulizopata mkuu ingekuwa na oct 31 hali ndio hiyo basi nchi mnayo! au ingekuwa JF ndio wanaomchagua Rais basi bila shaka mngeshamwapisha nasikitika sio hivyo na ninawaonea sana huruma mnakaza sana msuli wakati vipaja vyenu vidogo ila msijali mtapata pata majimbo ya ubunge halafu Slaa atakosa Urais na kwakua hata kuwa mbunge atapotea kwa miaka mitano akija kurudi watu wameshamsahau si mnakumbuka ya Mrema?

Take note*

Haki haiji yenyewe...haki inatafutwa hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii itikieni basi!

Mkate wenyewe unatafutwa ijekuwa haki! Tafakari, Chukua hatua
 
"Kwa ugonjwa huu; nitakufa.. Watanzania wale watalia sana.., nitawaombea kwa Mungu"
Ndugu wanaJF nimeona nianze kwa kunukuu sehemu ya maneno ya Baba wa taifa katika siku zake za mwisho pale St Thomas...

Rostam Aziz, wote tunamfaham kama mbunge wa Igunga na kada wa CCM na mfanya 'biashara' maarufu. Lakini naomba nimzungumzie Rostam tofauti kidogo. Nimzungumzie Rostam kama kiongozi mtendaji wa 'syndicate' ya wahaini wa kimataifa wanao-control chumi na siasa za mataifa kadhaa duniani hadi sasa, yeye akiwa anatekeleza majukumu yake hapa Tanzania.

Mtakumbuka ni kiasi gani hawa jamaa kuputia kwa RA waliwekeza hadi kuhakikisha wamechukua uongozi wa nchi kwa kuweka raisi waliyemtaka wao kwa matumizi yao. Baada ya kushika nafasi hiyo mnaona jinsi walivyofanikiwa kuuweka uchumi na raslimali za Tz mikononi mwao.

Wamefanya kazi kubwa sana kuhakikisha wanawafitinisha watanzania kwa misingi ya ukabila ili kuhakikisha hakuna kundi tofauti na wao wanaochukua madaraka. Kwa sasa wameingia katika kipengele cha udini bila kujali madhara yake kwa waTz. Mtakumbuka hivi majuzi gazeti moja la RA liliandika ...Dr Slaa kugombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA.. 'ategemea udini wa wakatoliki kushinda'...

Haihitaji kuwaza sana kugundua madhara ya kauli kama hii kwa kizazi cha sasa na cha baadae...

Nadhani kazi kubwa tuliyonayo waTZ kwa sasa wala sio kupambana na umaskini wala nn.. Ni kupambana na wahaini hawa...

Je ana uhusiano na FREEMASON? Naomba mnieleweshe juu ya hili pia kama kuna habari zozote za watu wa kundi hili naomba mnijuze!
 
Mhe. Douglass Sallu, hata kama Rostam alizaliwa Tanzania, baba yake alikuwa raia wa Iran (Uajemi). Sheria ya Uraia wa Tanzania inamtaka mtoto aliyezaliwa na Non-citizen, kuukana uraia wa wazazi wake atakapokuwa na umri wa miaka 18 au zaidi. Kama Rostam Aziz hakutamka hivyo, na hakuna document kuthibitisha hilo, basi yeye si Raia wa Tz. na ubunge wake ni batili.
 
Kipi kifanyike mzee??? Mahakama zetu hazina ubavu kumtia hatiani huyu mtu. In fact, he is above all the laws in this country. AU tumpeleke UN tukamshitaki huko??? Si mnakumbuka issue ya kagoda...
 
Mhe. Douglass Sallu, hata kama Rostam alizaliwa Tanzania, baba yake alikuwa raia wa Iran (Uajemi). Sheria ya Uraia wa Tanzania inamtaka mtoto aliyezaliwa na Non-citizen, kuukana uraia wa wazazi wake atakapokuwa na umri wa miaka 18 au zaidi. Kama Rostam Aziz hakutamka hivyo, na hakuna document kuthibitisha hilo, basi yeye si Raia wa Tz. na ubunge wake ni batili.

Mzee Mtei haya yanawezekana akikosana na watawala au akija kiongozi asiyemfahamu kama ilivyokuwa kwa Yusufu wa Biblia. La sivyo atapeta tu.
 
Back
Top Bottom