Rostam hayupo, mbona shida ziko pale pale?

calmdowndear

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
605
273
Umeme hatuna

foleni za magari ziko pale pale

meli bado zimejaa kule baharini

internet speed bado ni ndogo

watu bado wanakufa mahospitalini

serikali haina pesa

CHADEMA bado wanaaandamana

traffic ya wanasiasa kwenda kutibiwa Apollo bado ni kubwa

TRA bado haikusanyi mapato

mashimo barabarani bado yamejazana

Ikulu bado haina website

Software ya BILIONI 2 ya BRELA bado haifanyikazi

Ombaomba bado wanajazana traffic lights za mnazi mmoja usiku

Simba bado wanaendelea kufungwa na Yanga

in short yaho ni baadhi ya mambo aliyokuwaanalalamikiwa Rostam Aziz kama chanzojapo kaachia ngazi kwenye kila eneo

sasa tatizo letu ni nini au mainstream media pamoja na JF waliamua kutufanya wajinga tuamini kuwa chanzo cha matatizo yetu ni Rostam?
unless kuna watu kwa kusudi wal
 
Shida alizoziacha Rostam haziwezi kwisha leo.

Kwanza nani kasema haendelei kutupa shida?

Kuachana na siasa uchwara haina maana ya kuacha ufisadi mkuu.

Connections bado yuko nazo tena usishangae kama bado ana pull strings!

Mtu ambaye serikali imempa mabilioni lakini na yeyey bado anaidai mabilioni.

Hiyo ni shida ya kuisha leo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani kesharudisha hela zote alizoiba? za Kagoda, Tantainers ni nyinginezo? na pia afute kutubana kuhusu malipo ya Doiwans.
 
Shida alizoziacha Rostam haziwezi kwisha leo.

Kwanza nani kasema haendelei kutupa shida?

Kuachana na siasa uchwara haina maana ya kuacha ufisadi mkuu.

Connections bado yuko nazo tena usishangae kama bado ana pull strings!

Mtu ambaye serikali imempa mabilioni lakini na yeyey bado anaidai mabilioni.

Hiyo ni shida ya kuisha leo?
mhasibu mkuu tanesco,afisa mahusiano,waziri wa umeme wote wamewahi kuwa waajiri wa ROSTAM kabla ya kwenda tanesco
 
Umeme hatuna

foleni za magari ziko pale pale

meli bado zimejaa kule baharini

internet speed bado ni ndogo

watu bado wanakufa mahospitalini

serikali haina pesa

CHADEMA bado wanaaandamana

traffic ya wanasiasa kwenda kutibiwa Apollo bado ni kubwa

TRA bado haikusanyi mapato

mashimo barabarani bado yamejazana

Ikulu bado haina website

Software ya BILIONI 2 ya BRELA bado haifanyikazi

Ombaomba bado wanajazana traffic lights za mnazi mmoja usiku

Simba bado wanaendelea kufungwa na Yanga

in short yaho ni baadhi ya mambo aliyokuwaanalalamikiwa Rostam Aziz kama chanzojapo kaachia ngazi kwenye kila eneo

sasa tatizo letu ni nini au mainstream media pamoja na JF waliamua kutufanya wajinga tuamini kuwa chanzo cha matatizo yetu ni Rostam?
unless kuna watu kwa kusudi wal
Ha ha ha ha ha ha ha ha ...... Mkuu hapo kwenye Red umeniacha hoi sana, yaani nimecheka sinambavu. Timu yenyewe inaongozwa na Mbunge wa Magamba tena alisaidiwa na JK kuupata huo ubunge baada ya kumtoa kifungoni. Lazima atoe shukrani kwa mfadhili wake. Simba ni wajinga sana, wataendelea kufungwa mpaka 2015. Te te te te te te te te te te ...... Mkuu kuhusu Rost Tamu huyo usiulize kwani sasa hivi anashughulikia kesi ya mdogo wake ya kusafirisha madawa ya kulevya yenye thamani ya shs Bilion 2. na ushee hivi huko Tanga Kunani.
 
Ebu nijulishe zaidi kuhusu hii kitu,hii nadhani itakuwa makusudi.

Kwani waliinunuwa wapi hiyo product ambayo haina warranty etc?

Nchi inaliwa,ni sawa na kula chakula cha watoto halafu unaondoka na kudai mbona bado wana njaa licha ya kwamba umeondoka.
 
Kipanya.jpg
 
nikweli ameng'atuka lakini mtandao wake ungeujua, mh......... hata wakuublock nao wamo unategemea nini, yule ni mmoja kati ya wale watatu, kazi bado ipo. hata TISS wamekula, hapo sasa.
 
Nchi imeoza! Tunatakiwa kuisafisha kuanzia kichwa mpk unyayo, na ni nguvu ya umma tu ndo inaweza hilo
 
Umeme hatuna

foleni za magari ziko pale pale

meli bado zimejaa kule baharini

internet speed bado ni ndogo

watu bado wanakufa mahospitalini

serikali haina pesa

CHADEMA bado wanaaandamana

traffic ya wanasiasa kwenda kutibiwa Apollo bado ni kubwa

TRA bado haikusanyi mapato

mashimo barabarani bado yamejazana

Ikulu bado haina website

Software ya BILIONI 2 ya BRELA bado haifanyikazi

Ombaomba bado wanajazana traffic lights za mnazi mmoja usiku

Simba bado wanaendelea kufungwa na Yanga

in short yaho ni baadhi ya mambo aliyokuwaanalalamikiwa Rostam Aziz kama chanzojapo kaachia ngazi kwenye kila eneo

sasa tatizo letu ni nini au mainstream media pamoja na JF waliamua kutufanya wajinga tuamini kuwa chanzo cha matatizo yetu ni Rostam?
unless kuna watu kwa kusudi wal
Kwani ni nani aliye kuambia kwamba aliyetufikisha hapa ni Rostam peke yake? Unataka kuniambia PAW akiondoka hapa JF patakuwa hapana Ban tena??
 
Miaka 2000 baada ya Yesu kufia dhambi msalabani bado tunaua, tunazini, tunafanya unafiki wa dini, tunaiba, tunasengenya, tunaua albino, tunachinja vikongwe ...... eh ... Hallo Rostam, Zitto anaendeleaje? Okay, msalimie.
 
Njia kuu za Uchumi hazijabadilisha Mkono; ni nguvu za siasa jimboni tu

Uchumi bado uko mikononi ya hao hao wachache hakutakuna na Unafuu kwa wale wasio na chochote walie tu... mpaka hapo nguvu za Uchumi zitakapokuwa Mikononi Mwa wananchi tena... kilio cha watu wa Mbeya - Wamachinga na kwingineko zitaisha...

Nyerere alitupa Jembe na Ardhi; CCM hii ya sasa Imechukua Ardhi na kuwapa hao wachache
 
Nafikiri bora tumfanye Dr Mwakembe awe rais ,Tanzania tutakuwa hatuna shida yeyote pamoja mbu na umaskini utaondoka.:poa
 
Shida alizoziacha Rostam haziwezi kwisha leo.Kwanza nani kasema haendelei kutupa shida?Kuachana na siasa uchwara haina maana ya kuacha ufisadi mkuu.Connections bado yuko nazo tena usishangae kama bado ana pull strings!Mtu ambaye serikali imempa mabilioni lakini na yeyey bado anaidai mabilioni.Hiyo ni shida ya kuisha leo?
You couldnt be more precise and right mzee!
 
Umeme hatuna

foleni za magari ziko pale pale

meli bado zimejaa kule baharini

internet speed bado ni ndogo

watu bado wanakufa mahospitalini

serikali haina pesa

CHADEMA bado wanaaandamana

traffic ya wanasiasa kwenda kutibiwa Apollo bado ni kubwa

TRA bado haikusanyi mapato

mashimo barabarani bado yamejazana

Ikulu bado haina website

Software ya BILIONI 2 ya BRELA bado haifanyikazi

Ombaomba bado wanajazana traffic lights za mnazi mmoja usiku

Simba bado wanaendelea kufungwa na Yanga

in short yaho ni baadhi ya mambo aliyokuwaanalalamikiwa Rostam Aziz kama chanzojapo kaachia ngazi kwenye kila eneo

sasa tatizo letu ni nini au mainstream media pamoja na JF waliamua kutufanya wajinga tuamini kuwa chanzo cha matatizo yetu ni Rostam?
unless kuna watu kwa kusudi wal

Siasa za rostam zilikuwa gear za angani tu, angekuwepo angekuwa yuko kamati kuu ya chadema, siunajua ile ni club ya mafisadi.
 
Back
Top Bottom