ROSTAM: Dowans ndiyo Richmond

Usanii, Usaniii, usaniii. Jamani mwanye Dowans huna dini, humuabudu Mungu? Hebu jisafishe, utaikosa pepo shauriyako
 
....kama ukweli umejulikana na wanaotakiwa kuchkua hatua wamekula bati we unataka nin sasa. TULIA UNYOLEWE NA WANAOJUA UTAMU WA NCHI HII! Na kwa tarifa ako unailipa Dowans mpaka sasa...kupitia gas, petroli, umeme, na bidhaa za daily kuptia ongezeko la kodi kubwa wanazokatwa waingizaji/wazalishaji. KALAGABAO...TAISHIA KULALAMIKA TU. Kulipa ndo unalipa, alaaah!
 
hii ndiyo habari ya kubadili majia ya kampuni leo Mobitel,kesho Buzz keshokutwa TIGO au CELTEL - ZAIN - AIRTEL kumbe kampuni ni ileile,

Mkuu unaelewa kweli unachokielezea hapo kwenye hizo kampuni za simu au umependa tu na wewe utoe referensi uonekanae unafahamu?

Mobite, Buzz na Tigo hizi ni trade names tu mkuu kampuni yenyewe inaitwa MIC TANZANIA LIMITED najua utakuwa unashangaa nadhani unaijua kampuni inaitwa cow bell au chai jaba! wengi wanajua hivyo lakini ukweli kampuni inayotengeneza bidhaa za cow bell na chai jaba ambazo ni brand names inaitwa Promasidor.

Celtel ilibadilishwa jina tu na wabunge wakaambiwa kuwa wamebadili jina na hanuna madhara kwani haikuwa imeuzwa ikaitwa Zain ila sasa hivi Zain imeuzwa kwa wahindi wa Airtelna mifano hii sidhani kama inakidhi haja kwenye issue ya Richmond na Dowans!
 
hahahahahahaahahahahaha...acha nimtafute jery mie maana c muone ...hii thread changieni wenyewe..maana..wengine wanachanganya brand name na kampuni...wengine...mmiliki wa real madrid..haya....ila yote kwa yote....DOWANS na MALIPO yake
 
[Rais kawa mkweli,hajui dowans ila anamjua mbunge wake RA nini huelewi hapo?



QUOTE=DOUGLAS SALLU;1598429]Hivi jamani kweli Kikwete hafahamiani na Rostam Aziz?Maana juzi kauongopea uma wa watanzania kuwa hawajui dowans na wala wao dowans hawamjui yeye.NI AJABU NA KWELI LAKINI IMETOKEA HAPA TANZANIA, RAIS WA NCHI KUWAONGOPEA RAIA WAKE WAPATAO MILION 40 MCHANA KWEUPE[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom