Rostam - CCCM, Bunge na Tume ya Uchaguzi nini kinaendelea.

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Wanaigunga ni watanzania wenye haki ya kikatiba kuwa na muwakilishi bungeni anayefikisha kero zao na taifa kwa ujumla serikalini,

Watendeeni haki watanzania wenzenu.
 
  1. Bado magamba wanatafakari namna ya kupindisha taratibu ili kumwomba aseme alishinikizwa hivyo a-withdraw uamuzi wake wa kujiuzulu. Tukumbuke CCM ilitumia pesa nyingi na mbinu chafu nyingi sana ili kupata ushindi; sasa itakuwaje ikiwa mfadhili mkuu ameondoka?
  2. Hii ndo staili ya kufanya kazi ya CCM - kupotezea kwanza huku ukiangalia reaction ya wananchi. Mfano mzuri suala la Jairo. Hivi, PM alishindwa nini kumsimamisha kazi akisubiri uamuzi wa aliyemwajiri? Serikali haifanyi kazi kwa kufuata kanuni za kazi; ila kwa kufuata utashi wa mtu.
 
Back
Top Bottom