Rostam azizi mchimba madini adhimu (almasi-mwadui) Tanzania.

Kiranja

JF-Expert Member
May 19, 2007
751
336
Nimekumbana na Nyaraka zinazotoka kwa mtu anayeitwa Habib Mahlouji ambaye ni CEO WA CASPIAN ,nyaraka hizi zimenistuia sana kwani sikujua kuwa kumbe Rostam amekodishiwa kuchimba alimas ya Mwadui/au ameuziwa kazi hiyo ya kuchimba Almas tangu mwaka 2007 na mmiliki wa Williamson Diamond chini ya kampuni inayoitwa "CASPIAN MINING DIVISION" na kauli mbniu ya kampuni hiyo ni "We never Forget Who We Are Working For".

katika ushahidi wa nyaraka hizo inaonekana wazi kuwa CASPIAN LIMITED wana vitengo vifuatavyo;

1.CASPIAN CONSTRUCTION
2.CASPIAN AGRICULTURE
3.CASPIAN MINING.

Sehemu ambazo wanachimba madini ni pamoja na zifuatazo,
  1. Caspian Mining -golden pride Nzega
  2. Caspian Mining-Buzwagi Kahama
  3. Caspian Mining-wazo Hill Dar Es Salaam
  4. Caspian Mining -Tulawaka
  5. Caspian Mining-Mwadui.
kwa upande wa Caspian Mining Mwadui inaonyesha kuwa kampuni imesajiliwa ISO 9001:2000. NA ofisi zipo 168 Capri point, Mwanza .Tanzania

Yafaa sasa tukawafuatilia watu wafuatao kwani ndio kiungo muhimu cha Rostam Azizi ,
  • Habib Mahlouji
  • Henry Surtees
  • Michael Minja
Mengine ntawaletea hapop baadae , kwani huyu jamaa kumbe hata maandamano ya Kigwangala inawezekana anahusika kuyazima kupitia kwa mfanyakazi wake wa zamani Willium ngeleja.

na inawezekana Kigwangalla anajua jambo hili ndio maana anataka waqnanchi wa Nzega waandamane kufunga mgodi.
 
Sounds good to listen, subiri narudi baada ya muda nadhani nitakukuta umekuja tena. Mpaka watukome
 
Huku Shinyanga umeme umekatika na hivyo nitawaeleza zaidi pindi ukirudi kwani pc ninayotumia haina uwezo wa kuhifadhi umeme wa kutumia muda mrefu.
 
Mungu wangu !!!!
Huyu fisadi Rostam amekuwa kama magugu kwenye uchumi wa tanzania. Kila mahali yupo ! Yaani CCM imeuza nchi yetu siyo tena kwa wezi wa usiku - wengi sasa wanatuibia mchana kweupe kabisaaaaaa na sisi tuna shangaa shangaa tu !!! Watanzania amkeni ndugu zangu, mali zetu zinaliwa na wezi wachache wanaotudanganya ati wanadumisha "amani"

Je, kuna amani bila haki ?? Rostam+CCM cum Kikwete must Go !!
 
Nimekumbana na Nyaraka zinazotoka kwa mtu anayeitwa Habib Mahlouji ambaye ni CEO WA CASPIAN ,nyaraka hizi zimenistuia sana kwani sikujua kuwa kumbe Rostam amekodishiwa kuchimba alimas ya Mwadui/au ameuziwa kazi hiyo ya kuchimba Almas tangu mwaka 2007 na mmiliki wa Williamson Diamond chini ya kampuni inayoitwa "CASPIAN MINING DIVISION" na kauli mbniu ya kampuni hiyo ni "We never Forget Who We Are Working For".

katika ushahidi wa nyaraka hizo inaonekana wazi kuwa CASPIAN LIMITED wana vitengo vifuatavyo;

1.CASPIAN CONSTRUCTION
2.CASPIAN AGRICULTURE
3.CASPIAN MINING.

Sehemu ambazo wanachimba madini ni pamoja na zifuatazo,

  1. Caspian Mining -golden pride Nzega
  2. Caspian Mining-Buzwagi Kahama
  3. Caspian Mining-wazo Hill Dar Es Salaam
  4. Caspian Mining -Tulawaka
  5. Caspian Mining-Mwadui.
kwa upande wa Caspian Mining Mwadui inaonyesha kuwa kampuni imesajiliwa ISO 9001:2000. NA ofisi zipo 168 Capri point, Mwanza .Tanzania

Yafaa sasa tukawafuatilia watu wafuatao kwani ndio kiungo muhimu cha Rostam Azizi ,

  • Habib Mahlouji
  • Henry Surtees
  • Michael Minja
Mengine ntawaletea hapop baadae , kwani huyu jamaa kumbe hata maandamano ya Kigwangala inawezekana anahusika kuyazima kupitia kwa mfanyakazi wake wa zamani Willium ngeleja.

na inawezekana Kigwangalla anajua jambo hili ndio maana anataka waqnanchi wa Nzega waandamane kufunga mgodi.

Hivi ulikuw hujuwi hayo? ajabu kubwa sana. Sasa wewe hujasikia RA akisema hizo billion 94 zinazodai Dowans kwake ni mapato ya ya siku kidogo tuu?

Hivi hujuwi kama RA ni mmoja katika watu matajiri sana si Tanzania tu, ana miradi kibao nje ya Tanzania. Na hizo zimetajwa ni Caspian tu, kwa kukujuza ni share holder wa Vodacom pia na makampuni mengi mengine ana hisa zake.

Sijuwi huu uzi wako una tueleza nini? utajiri wa RA au una udaku mwingine?
 
Jamani musiongee sana hayo
Mimi nitazimia!:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
 
Lakini Tanzania mbona ubaguzi umerudi.Hivi mijizi yote Tanzania tupo kumzungumzia RA.Hivi watu wengine waliopora mabilioni kama kina Mkapa na kundi lake na kuiuza Tanzania kwa makaburu.Inaonekana kama watu wamemuandama RA.Sasa kama RA mwizi kwa nini hatumpeleki mahakamani?Unajua viongozi wote TZ ni kina Mr 10%...etc.Tuangalie wote hao viongozi,kila mmoja ana majumba na magari ya kifahari,ambapo ukiangalia mishahara ya hata wakifanya kazi miaka 1000 hawawezi kuwa na utajiri huo.Tuangalie hawa matajiri wapya utajiri wao waliupata wapi?Viongozi kama hao wanapigania haki ya Watanzania,kina Dr Slaa,Mwakyembe,Anna kilango,na hali kadhalika --,wachunguzwe namna wanavoishi,pesa wanapata wapi?:smash:Acheni porojo zenu zisizokuwa na maana.Kama RA ameiba,apelekwe mahakamani.Kama hamna ushahidi tufunge midomo yetu Watanzania..ebo.......:lol:
 
Hivi ulikuw hujuwi hayo? ajabu kubwa sana. Sasa wewe hujasikia RA akisema hizo billion 94 zinazodai Dowans kwake ni mapato ya ya siku kidogo tuu?

Hivi hujuwi kama RA ni mmoja katika watu matajiri sana si Tanzania tu, ana miradi kibao nje ya Tanzania. Na hizo zimetajwa ni Caspian tu, kwa kukujuza ni share holder wa Vodacom pia na makampuni mengi mengine ana hisa zake.

Sijuwi huu uzi wako una tueleza nini? utajiri wa RA au una udaku mwingine?

Suala sio utajiri wake bali ni wizi wa rasilimali za nchi yetu (Maana yeye sio nchi yake hii bali Iran) kupitia mikataba feki
 
kila chenye mwanzo kina mwisho, kujua tu wivi wao its the beginning of their ending

Haitoshi tu hivyo mkuu inabidi kupambana Rostam ana nguvu ya pesa tukisema tukisema tu huu ni mwanzo wa mwisho wao wana uwezo wa kutumia hela zao na kuendelea kubaki madarakani. We need to act now rather airing words!!
 
Hiyo habari ya zamani sana. Angalia hapo mwadui pia anachimba mwarabu anaitwa fantom ktk kampuni ya pamoja na mkwere. Pia wamejenga international school. Hawa jamaa wanajuana, na kilichoharibu ni mkwere miaka ya nyuma kua waziri wa madini. Alifumbuka macho. Unayakumbuka ya kahama mine? Tanzania tajiri bwana, sema ina watu mbumbumbu na wenye akili ni rahisi kurubuniwa kwa vijisenti.
 
Mimi naona hizo ni roho mbaya tu, RA ni mfanya biashara kama walivyo wafanya biashara wengine.

Cha kushangaza, kila mtu ana fursa na haki ya kufanya biashara Tanzania lakini watu hilo hawaliobi wala hawalijuwi.

Wanachotazama RA, hivi huyu RA mnakisa nae kipi? Au chuki tu?

RA Mbunge, tena anapendwa sana jimboni kwake, kwa hiyo kafuzu kwenye siasa.

RA mfanya biashara, tena mzuri sana, utajiri wake unaonesha hilo.

RA hana upuuzi wa kusesema hovyo, ukimya wake unadhihirisha hilo.

Hivi huyu RA kawakosa nini?

Jiulizeni mtu kama Mbowe, ambae hana asili ya biashara, babake alikuwa mtumishi wa serikali, mali ya kumrithisha mwanawe aliitowa wapi? Kwa kuuza biya pale Mbowe? Halafu muulizeni mbowe, anadaiwa na NSSF kiasi gani?

Mkimaliza hapo muulize RA, karithi, kafanya kazi serikalini, ana madeni NSSF au kwingine?

Utakuta, kwanza karithi, kasoma, kaendeleza, na sasa anatanuwa.

Influence anayo, siasa anaijuwa, wala hakurupuki. Fedha anayo, nyingi tu. Na hayo yote si makosa, ni jitihada binafsi na "business mind" na bahati ya Allah.

Hii leo, huwezi kujiuliza mambo ya maana ya kujiendelea, nyie mmekalia RA, Kikwete, Lowasa.

Ndio mtachukuwa nchi namana hiyo? Ng'oo hatuwapi kura zetu.
 
Lakini Tanzania mbona ubaguzi umerudi.Hivi mijizi yote Tanzania tupo kumzungumzia RA.Hivi watu wengine waliopora mabilioni kama kina Mkapa na kundi lake na kuiuza Tanzania kwa makaburu.Inaonekana kama watu wamemuandama RA.Sasa kama RA mwizi kwa nini hatumpeleki mahakamani?Unajua viongozi wote TZ ni kina Mr 10%...etc.Tuangalie wote hao viongozi,kila mmoja ana majumba na magari ya kifahari,ambapo ukiangalia mishahara ya hata wakifanya kazi miaka 1000 hawawezi kuwa na utajiri huo.Tuangalie hawa matajiri wapya utajiri wao waliupata wapi?Viongozi kama hao wanapigania haki ya Watanzania,kina Dr Slaa,Mwakyembe,Anna kilango,na hali kadhalika --,wachunguzwe namna wanavoishi,pesa wanapata wapi?:smash:Acheni porojo zenu zisizokuwa na maana.Kama RA ameiba,apelekwe mahakamani.Kama hamna ushahidi tufunge midomo yetu Watanzania..ebo.......:lol:

we mwanakulaniwa umelogwa na nani? Wewe unamatatizo.Hivi huyo Rostam utamshitaki mahakama gani? uitaje kama unaijua? Hujui Rostam=Mahakama=Bunge=serikali.UTAMSHITAKI WAPI? CHENGE TU TUMEMSHINDWA Sembuse Ra uwena akili
 
katika ushahidi wa nyaraka hizo inaonekana wazi kuwa CASPIAN LIMITED wana vitengo vifuatavyo;

1.CASPIAN CONSTRUCTION
2.CASPIAN AGRICULTURE
3.CASPIAN MINING.

Sehemu ambazo wanachimba madini ni pamoja na zifuatazo,

1. Caspian Mining -golden pride Nzega
2. Caspian Mining-Buzwagi Kahama
3. Caspian Mining-wazo Hill Dar Es Salaam
4. Caspian Mining -Tulawaka
5. Caspian Mining-Mwadui.
Mimi sioni ubaya wa RA kuwa na makampuni haya yote au kuwa na hisa kwenye makampuni yanayofanya kazi hapa Tanzania. Inawezekana kabisa haya makampuni hayafanyi kitu chochote kibaya. Kama yanafanya kitu chochote kibaya basi ushahidi wa hicho kitu kibaya yanachofanya utolewe. Naamini mtoa hoja atatuletea kile kitu kibaya kinachofanywa na haya makampuni ya RA.
Kuhusu Mwadui tusipandishe ghazba bure. Huo mgodi ulitaifishwa enzi za Nyerere na ukaendelea kudidimia hadi tulipokwenda kuwapigia tena magoti De Beers. Kampuni ya De Beers ndiyo iliufufua na sasa wameuuza kwani ni mgodi mdogo sana ukilinganisha na migodi mikubwa wanayoendesha Botswana na South Africa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom