Rostam Aziz Vs. Ridhiwani Kikwete; Ridhiwani Anamiliki Malori 100 Ya Mizigo

Status
Not open for further replies.
Baada ya rostam kusalitiwa na JK, jamaa alimwaga mpunga kidogo kuhusiana na ushirika wake na Ridhiwani Kikwete katika mambo ya kibiashara hadi JK alipomuomba msamaha ambao aliukubali kwa shingo pande.

Kati ya mengi aliyoyamwaga ni Umiliki wa malori 100. Ridhiwani anamiliki malori 100 aina ya Freightliner aliyonunua marekani. Haya magari yanasimamiwa na kampuni inayoitwa Delina inayomilikiwa na David Mosha ambaye Mfanya biashara wa mafuta wa hapa mjini. Dr. slaa alipoyasema haya, ulisema ni muongo ukatishia kumshataki. sasa ndani ya CCM pia tunayasema na ushahidi tunao.

Ridhiwani tunaomba ukanushe au uthibitishe kwani unamiliki pia vituo vingi sana vya mafuta. Ukikataa, basi yale magari hayana mwenyewe.

Siku ya Kihama nakuja kuvichukua vyote hasa kwenye serikali ya Mzee mzima ULIYETAMBA KWAMBA HAWEZI KUPATA URAIS AMBAYE KWA TAARIFA YAKO NDIYE ANAYEIENDESHA HII SERIKALI NA TAARIFA ZA KILA KITU TUNAZO RIZ1.. Unafahamu namaanisha nini?

David mosha na Riz wapi na wapi?kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,mosha ya magari amekopa na hatralipa kwa kuwa hana uwezo huo,ni ujanja tu ametumia ndio maana u naona hajayasajili kwenye kampuni zake zinazoeleweka ambazo anazimiliki yeye na mkewe,muwe mnauliza watu wa mjini kabla ya kuja ku post pumba humu,ndio zile story kipindi mwinyi rais maghorofa yote mjini watu wa nccr kipindi kile walikua wakivumisha ni ya mkewe mama sitti mwinyi,wabongo tuachane na politics of character assassination tujikite kwenye politics of issues
 
Baada ya rostam kusalitiwa na JK, jamaa alimwaga mpunga kidogo kuhusiana na ushirika wake na Ridhiwani Kikwete katika mambo ya kibiashara hadi JK alipomuomba msamaha ambao aliukubali kwa shingo pande.

Kati ya mengi aliyoyamwaga ni Umiliki wa malori 100. Ridhiwani anamiliki malori 100 aina ya Freightliner aliyonunua marekani. Haya magari yanasimamiwa na kampuni inayoitwa Delina inayomilikiwa na David Mosha ambaye Mfanya biashara wa mafuta wa hapa mjini. Dr. slaa alipoyasema haya, ulisema ni muongo ukatishia kumshataki. sasa ndani ya CCM pia tunayasema na ushahidi tunao.

Ridhiwani tunaomba ukanushe au uthibitishe kwani unamiliki pia vituo vingi sana vya mafuta. Ukikataa, basi yale magari hayana mwenyewe.

Siku ya Kihama nakuja kuvichukua vyote hasa kwenye serikali ya Mzee mzima ULIYETAMBA KWAMBA HAWEZI KUPATA URAIS AMBAYE KWA TAARIFA YAKO NDIYE ANAYEIENDESHA HII SERIKALI NA TAARIFA ZA KILA KITU TUNAZO RIZ1.. Unafahamu namaanisha nini?
mambo haya yote mmeyataka wenyewe CCM na watoto wenu. Mlitumia muda mwingi karibia miaka 30 tangia tupate uhuru kuchukia matajiri . Leo hii watoto wenu wanapata utajiri na kujikuta wanapata yale yale mliyomfanyia Lonho na mashamba yake ya chai.
 
gADAFI.jpg
tamaa mbele mauti nyuma
 
Baada ya rostam kusalitiwa na JK, jamaa alimwaga mpunga kidogo kuhusiana na ushirika wake na Ridhiwani Kikwete katika mambo ya kibiashara hadi JK alipomuomba msamaha ambao aliukubali kwa shingo pande.

Kati ya mengi aliyoyamwaga ni Umiliki wa malori 100. Ridhiwani anamiliki malori 100 aina ya Freightliner aliyonunua marekani. Haya magari yanasimamiwa na kampuni inayoitwa Delina inayomilikiwa na David Mosha ambaye Mfanya biashara wa mafuta wa hapa mjini. Dr. slaa alipoyasema haya, ulisema ni muongo ukatishia kumshataki. sasa ndani ya CCM pia tunayasema na ushahidi tunao.

Ridhiwani tunaomba ukanushe au uthibitishe kwani unamiliki pia vituo vingi sana vya mafuta. Ukikataa, basi yale magari hayana mwenyewe.

Siku ya Kihama nakuja kuvichukua vyote hasa kwenye serikali ya Mzee mzima ULIYETAMBA KWAMBA HAWEZI KUPATA URAIS AMBAYE KWA TAARIFA YAKO NDIYE ANAYEIENDESHA HII SERIKALI NA TAARIFA ZA KILA KITU TUNAZO RIZ1.. Unafahamu namaanisha nini?
hivi huyu Rostam Bado yupo? kweli jamani tushukuru mungu marekani kuuwa ukomunisti na binamu yake ujamaa na kujitegemea. Huyu Rostam alikwisha teka nchi yote na kuiweka mikononi. Freedom of press na kukuwa kwa demokrasi tanzania kumemkimbiza chamani .
 
Jaman mwenye Evidence amwage hapa JF kwa sababu mpaka mikoan ghoropa zuri linalojengwa au linalokaribia kukamilika watu wanasema huyu ni Rithiwan , hebu mwenye data kamili alete tujue, tusiendelee kujadili vitu kwa hisia

JF muwe waungwana na wakweli ktk mwezi mtukufu, dhana mbaya mwenye ushahidi aweke hadharani. Huyo mt1 petro station yeye,maghorofa yeye,magari yeye!! jamani majungu hayafai....!!tutumie muda wetu kufikiri na kutafuta maisha sio kutafuta habari za majungu
 
Mambo ya kijinga tunaweka humu wanajf unadhani huyu dogo akiwa na mali au asipokua nazo wewe utanufaika tuandike namna ya sissi kuoondokana na umasikini hamasisha nae baba na mama yako wajitume katka kazi na wewe mwenyewe jitume siyo kuanza kukagua maisha ya watu always masikini ndiyo mchawi
 
porojo tu, kama ushahidi unao mbona hauchukui hatua???
Mpigie simu mwenyewe umuulize.
 
JF muwe waungwana na wakweli ktk mwezi mtukufu, dhana mbaya mwenye ushahidi aweke hadharani. Huyo mt1 petro station yeye,maghorofa yeye,magari yeye!! jamani majungu hayafai....!!tutumie muda wetu kufikiri na kutafuta maisha sio kutafuta habari za majungu
mwezi mtukufu kwako wewe na si kwa kila mtu, ujue kila mtu anaimani yake
 
- Nasikia anamiliki na KIA Airport nayo ni yake, kudadadeki walahi wenzetu wanatengeneza IPad sisi tunatengeneza majungu tu!! ha! ha! ha!

Es!!
 
Jamani tutakuwa tumekuja kupiga unbearable HF kama mnaofaham haya hamtarupa vithibitisho na picha za hayo magari!
 
Jaman mwenye Evidence amwage hapa JF kwa sababu mpaka mikoan ghoropa zuri linalojengwa au linalokaribia kukamilika watu wanasema huyu ni Rithiwan , hebu mwenye data kamili alete tujue, tusiendelee kujadili vitu kwa hisia

Na kama siyo la Ridhiwani basi ni la Freemasons
 
Mkuu Riz1 siyo kwamba ana miliki malori 100, bali aliagiza malori 100 kwa mara moja kutoka marekani. Hivyo ana zaidi ya Malori 100.
Tanzania ni mali ya familia moja mkuu haitakiwi uhoji. ukiendelea kusumbua tutakuhoji uraia wako!

Kwa mchezo wa hii familia sizani kama kuna nia ya dhati ya kufufua shirika la reli ama usafiri wa majini.Inashangaza kuona mitambo inasafirishwa kutoka Dar kwa malori kwenda Mwanza na mikoa ya kati ili hali kuna reli.Hizo fedha wanzaotenga kila mwaka kukarabati barabara kwa uharibifu unaofanywa na haya malori sisingekuwa na ulazima ,zingepelekwa kwenye sector nyingine.Ama kusafirisha bidhaa/mitambo kwa barabara kutoka Dar kwenda mikoa ya Lindi na Mtwara ili hali kuna uwezekano wa kusafirisha kwa njia ya meli.Hii familia ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi
 
Mtabaki majungu tu wenzenu wanaendelea na umri wako unazidi kwenda huna chochote katika maisha yako..kalaga bao.. Watz sahizi tumebaki majungu na fitina za kichadema huku wenzenu wa kenya wanashika soko lenu la Tz..mtabaki watumwa nchini mwenu... Umbea ndo umetujaa ...

Soma ulichoandika kwanza. Ni kushindwa kujiamin (infiriority compex) kuhusisha nchi au wanachi kwenye tukio. Hao unaowataja wanamatatizo yao. Tatizo lako la infiriority litafutie dawa na sio kuunganisha wengine.
 
Juzi kati Riz1 amenunua ekari zaidi ya 600 wilayani Kiteto mkoani Manyara. Wamaasai kaeni mkao wa kula maana soon mtakosa maeneo ya malisho, kalaghabaho!
 
dr.slaa alishawah kusema uyo dogo riz1 anautajir wa kutisha! yan degree1,malori100,haingii akilini kabisaa huu ni....,.
Hata hiyo degree hajaifanyia kazi maana jamaa ni kilaza mbaya kichwan kama unabisha uliza waliosoma nae
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom