Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

MWAFRIKA WA KIKE swahiba mwenye akili, nakuuliza suala njaa imekukabili, nusu ya mwezi hujala likaja kombe la wali, ukawekewa mahala hula ndipo ukanawa, au hunawa kisha ukala

Swahiba wangu SHY,

Nitatumia kijiko (si unajua tena kama ulisoma public school na unaishi shule kuna mambo ya kuwa na kijiko au folk all the time)

hhi hih hihi hihih siwezi kusubiri kunawa... nitatoa kijiko changu na kuanza makamuzi.
 
CHADEMA watahitaji watanzania wengi zaidi ya Mnyika ila wewe sio one of them maana katika moja ya postings zako huko nyuma kabla hujabadili jina hapa JF ulieleza kuwa unamission ya kummaliza mzee mwanakijiji. For now bora Mnyika kuliko wewe maaana angalau mnyika ataongea mambo ya nchi na sio kumaliza watanzania wenzake personally.

KUMALIZA MWANAKIJIJI KWA NJIA GANI ? KIHOJA AU NJE YA HOJA ? KAMA NJE YA HOJA BASI WATU WAWE MAKINI NA TUPEANE HABARI ZAIDI ILI TULINDANE NA KUPEANA HABARI ZA HAPA NA PALE KUHUSU NJAMA HIZI

POLE MWANAKIJIJI LAKINI KUNA KITU HUJAJUA BADO JARIBU KUTAFAKARI
 
..hiyo post yako at #60 imenikumbusha graca machel-mandela!

..ingekuwa enzi ya upigania uhuru makomradi wangekua na furahaa wewe kuwa mmoja wao!

..keep the spirit up!
 
BWANA GAME

HABARI ZA JIONI

NAKUNGA MKONO ASILIMIA 100 ZA ZAIDI KUHUSU MNYIKA KUTOKUPEWA NAFASI HUYU KIJANA NI DHAIFU MIMI NIMEMWONA MARA NYINGI HAPA UBUNGO MIMI NI MKAZI WA KIMARA KWAHIYO UBUNGO NI KWANGU PIA NIMEKUA NAMUULIZA MASWALI MARA NYINGI HAPA JAMBO HAJIBU , NIKAMPIGIA SIMU HAJIBU MPAKA SIKU NILIMWALIKA KATIKA DEBATE PALE UDSM AJE TUMUULIZE MASWALI MACHACHE YOTE HAYA HAJAJA KWAHIYO HUYU NDIO KIONGOZI GANI NA ALIKUA ANATAKA UBUNGO YETU ?

BORA KEENJA TUNAYEMJUA ANALALA BUNGENI NA HANA MPANGO WOWOTE NA UBUNGO

CHADEMA au CUF ni zaidi ya viongozi au watu binafsi. Utashangaa kuwa CCM wanapondea vyama vya upinzani lakini nilipohudhuria moja ya mikutano ya JK na timu yake walivyokuja kutalii oooppps kutafuta wawekezaji kiwanja..... moja ya statements zilizosemwa sana ni namna Tanzania ilivyo na demokrasia huku mmoja wa wajumbe akitaja CUF na CHADEMA kama mfano...

Hoja ya thread hii ni kuhusu Spin ya mkoloni na mwizi Rostam Aziz na sio kuhusu anti-CHADEMA thread..
 
MWAFRIKA WA KIKE

KUNA NJIA MBADALA YA KUPIGANA NA HAWA WALA NCHI YETU NAYENYEWE NI KWA NJIA YA MTANDAO , NIMEONA KATIKA MAJUKWAA YA FORUMS KAMA HIZI WENGINE WANACHANGANYA MADA KWA MAKUSUDI AU WENGINE NI MASHABIKI WA CHAMA KWAHIYO HAWAPENDI KUONA JAMAA ZAO WANAKOSOLEWA UKIKOSOA TU AU UKISEMA KITU SENSITIVE BASI ATATAFUTA NJIA YA KUJUANA NA WEWE , UKO WAPI JINA LAKO HALAFU ANAPELEKA KWA MHUSIKA HIYO NI MBAYA

SASA NJIA NZURI NI KUANZISHA BLOGU KWA MAJINA TOFAUTI AU KUFUNGUA FEED ZA EMAILS KWA MAJINA TOFAUTI KULE UNAWEKA EMAIL ZA WATANZANIA KIBAO UNAWATUMIA HABARI ZAKO NA BILA KUKUJUA WEWE NI NANI

KWA SASA NINA CONTACT ZA WATANZANIA KARIBU 3000 WALIO SEHEMU MBALI MBALI KWAHIYO NIKITUMA EMAIL YOYOTE NAKUA KAMA NIMEIAMBIA WILAYA MOJA YA TANZANIA KWAHIYO HUYU RASTAM NJIA YA KUMMLIZA NDIO HIYO KUTENGENEZA EMAILS NA KAMPENI KABAMBE

AHSANTE

Kazi nzuri SHY,

Nilisoma ile post uliyotoa kuhusu hii issue na niliipenda idea yako.
 
CHADEMA au CUF ni zaidi ya viongozi au watu binafsi. Utashangaa kuwa CCM wanapondea vyama vya upinzani lakini nilipohudhuria moja ya mikutano ya JK na timu yake walivyokuja kutalii oooppps kutafuta wawekezaji kiwanja..... moja ya statements zilizosemwa sana ni namna Tanzania ilivyo na demokrasia huku mmoja wa wajumbe akitaja CUF na CHADEMA kama mfano...

Hoja ya thread hii ni kuhusu Spin ya mkoloni na mwizi Rostam Aziz na sio kuhusu anti-CHADEMA thread..

HABARI ZA JIONI MWAFRIKA

SAMAHANI NIMELAZIMIKA KUJIBU KUTOKANA NA KIJANA WETU WA KWANZA KUANZA KUULIZIA SUALA HILI KWA KUA MIMI NI MWENYEJI WA UBONGO HATA SASA NIKO UBUNGO KWAHIYO NIMEONA NIJIBU BILA KUCHELEWA KUTOKANA NA EXPERIANCE YANGU SAMAHANI LAKINI

MWAFRIKA WA KIKE UNAJUA SEHEMU INAYOITWA MINERAL CENTRE HAPA DAR ? NITAKUPA HABARI ZAKE SOON
 
Kazi nzuri SHY,

Nilisoma ile post uliyotoa kuhusu hii issue na niliipenda idea yako.

KAMA KUNA WAKO TAYARI WANAPENDA KUSHIRIKIANA NA MIMI KATIKA KUSAMBAZA UJUMBE NA KUIAMBIA TANZANIA UKWELI MIMI NIKO TAYARI WANIPE EMAIL ZAO NA NITAWAPA MAELEZO YA ZAIDA KWA SABABU NIMESHAANDAA MTANDAO MAALUMU JINSI YA KUANDIKA HIZI BARUA , KUTAFUTA EMAILS , NAMBA ZA SIMU NA TAARIFA ZINGINE KWA NJIA YA MTANDAO ( DATA MINING ( NA KUZITUMIA IPASAVYO

LAKINI TUSIPATIANE MAJINA YA KWELI NA TUSIONANE TUHESHIMU UAMUZI HUU MANAKE MHH
 
..hiyo post yako at #60 imenikumbusha graca machel-mandela!

..ingekuwa enzi ya upigania uhuru makomradi wangekua na furahaa wewe kuwa mmoja wao!

..keep the spirit up!

Thanks,

Najua Siwezi hata kidogo kujilinganisha na Graca. Hata hivyo nashukuru for you kind words.
 
Mwaka 1996 Nikiwa Darasa La 6 Mtu Mmoja Alipenda Sana Kuimba Na Kuiga Mambo Kama Tupac , Siku Moja Mwalimu Akamwita Na Kumuuliza Unapenda Kua Kama Nani Akajibu Tupac .

Mwalimu Akamwambia Kila Mtu Hapa Duniani Ni Tofauti Huwezi Kua Kama Yeye , Lakini Unaweza Kuwa Na Vitu Vinavyoshabihiana Kutokana Na Ushabiki Wako Kwake Au Jinsi Wewe Watu Wanavyokuona Na Kukufananisha

Bali Unaweza Kua Zaidi Yake Ukabidilika Kidogo Kutokana Na Mazingira Uliyopo

Ndio Nakuja Katika Point Ya Da Si Lamu Kwa Mwafrika Wa Kike , Ndio Huwezi Kua Kama Mandela Lakini Unaweza Kua Zaidi Yake Kutokana Na Mazingira Unayoishi Na Changamoto Unazokutana Nazo Katika Harakati Zako Bila Kusahau Support Kutoka Kwa Wale Wanaokuunga Mkono Kama Mimi
 
representative on the Vodacom Tanzania board is businessman-politician Rostam Aziz, a close associate of President Jakaya Kikwete. At the time Vodacom entered Tanzania, neither man was quite as powerful as now -- Kikwete was foreign minister and Aziz had yet to occupy a formal position in national politics.

But they proved a good bet: In 2005 Kikwete, supported and funded by Aziz as his campaign manager, succeeded Benjamin Mkapa as president, and Aziz was elected to Parliament. Last year, when Kikwete also took over the chair of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), from Mkapa, Aziz became the party's treasurer.

Vodacom Tanzania had, however, spread its political bets. The CCM's Pius Msekwa was both Vodacom Tanzania's non-executive chair and Speaker of Parliament between 2003 and 2005. When Vodacom hosted a "VIP gala dinner" to bid farewell to outgoing president Mkapa in December 2005, Msekwa attended, presumably in both capacities.

Vodacom Group said in a statement this week that Aziz's participation in Vodacom Tanzania was "lawful", but added that "governance risks have to be carefully managed, particularly if they increase over time as a business partner, shareholder representative or director takes on an increasingly active role in politics".

About Msekwa, it said that the appointment of Vodacom Tanzania's chair was the prerogative of Vodacom's Tanzanian partners, but conceded: "It is correct to note that having a Speaker of Parliament as a chairman presents a significant degree of governance risk, and Vodacom would very likely counsel or decide against such an appointment in future."

soma zaidi hapa http://www.mg.co.za/articlePage.aspx?articleid=304613&area=/insight/insight__national/
 
Tatizo la nchi na mikataba isiyo wazi huwezi kuliangalia katika mtizamo wa kuuza magazeti.... Akili yako na elimu yako vinatosha kukufanya uchunguze na ueleze vitu kwenye picha kubwa sio swala la kuuza magazet..... Britney Spears naye anauza sana magazeti hapa kiwanja kama ilivyo kwa Hilary Clinton, je kuna connection yoyote kati ya hawa wamama wawili?

Actually inategemea ni magazeti ya namna gani unayoongelea. Kama ni broadsheet then kama uko States then nadhani unajua kuwa issue inayouza magazeti wa wiki hiyo iliyopita ni ugomvi wa Karl Rove na Hilary Clinton, Bush kulinganisha Vietnam na Iraq while in UK ni issue ya Rhys Jones na UK troops widhrawal from Basra...na zote zinauza....Umetoa mfanowa Britney lakini Britney hauzi sana kwa kuwa katika front page za magazines since atoke kwenye rehab, sasa hivi LILO au Lindsley Lohan na Ammy Winehouse wanauza sana hizo magazines so check your data on best selling stories on both sides of the Atalantic
Una maana gani unaposema kuwa Zito anafanya populist gimick?unaweza kuita hiyo statement kejeli au hoja?
rejea speech ya ya spika wakati anamsimamisha

Usianze kulia sasa kama mtoto mdogo!
Another cheap shot, nilikuambia toka awali siko hapa kutupiana matusi lakini looks like mwenzangu hilo ni muhimu kwako. I am not sure far are you willing to go na hili

Prove otherwise kama wewe sio CCM

nilikuuliza wewe kuwa nionyeshe wapi nimesema kuwa mimi ni CCM?
At one point unashauri watu kusoma recommended books za media na wewe mwenyewe hujui moja ya mbinu kubwa watu wa kwenye media wanatumia kupata info...


Nionyeshe wapi nimesema najua mbinu za watu wa kwenye media?

Nilipretend kuwa nafanya research lakini nilimtumia researcher maarufu sana hapa kiwanja. Jibu la serikali lilikuwa ni kwamba hiyo mikataba ya madini haiwezi kuwekwa public na wakasisitiza kuwa hata baadhi ya wabunge hawaruhusiwi kuiona.Wewe endelea tu kutumia talking points za RA bila kufanya research yako mwenyewe....
Huoni kama ni aibu mtu mwenye hadhi yako kudanganya? kama una nia nzuri huna haja ya kupretend. Hukuwa na haja ya kupretend in the first place. na unaonyesha ni msomi hivyo ulishindwa vipi kuuliza kuwa wanalitumia kipengele gani kujustify kuwa mikataba haiwezi kuonyeshwa? Huoni kama mmlikuwa waongo ndio maana mkashindwa kupata jibu sahihi?

Unataka kulia sasa? CHADEMA wakisema kitu unadai kuwa hawako informed well.... na on the other side unataka watoe statement kwa kila kinachoendelea nchini... unachotaka hapa ni nini?
Nionyeshe wapi nimesema CHADEMA hawako well informed

Of course Rostam ni mkoloni na mwizi wa mali za nchi yetu... siku ukitoka kwenye payroll yake utarealize hili.
Nimeomba uprove hizi allegations lakini naona hujanipa majibu
Nani alikufundisha kuwa jambo baya linakuwa justified kwa tendo lingine baya? ......
Ni wapi nimetoa hiyo justification?
 
CHADEMA watahitaji watanzania wengi zaidi ya Mnyika ila wewe sio one of them maana katika moja ya postings zako huko nyuma kabla hujabadili jina hapa JF ulieleza kuwa unamission ya kummaliza mzee mwanakijiji.


Unaendelea kuongopa hebu lete hiyo quote ambayo unadai nilisema kuwa nina mission ya Kuumaliza Mwanakijiji na kama ukishdwa then naomba uondoe hayo matamshi yako hapo juu
 
KUMBA HUYU ROSTAM YUKO MPAKA MWANANCHI COMMUNICATIONS? WATOAJI WA MAGAZETI YA MWANANCHI NA THE CITISEN? TAZAMA

The conclusion of the deal follows last Saturday's partnership agreement signed between NMG Chief Executive Officer Wilfred Kiboro and Ambassador Ferdinand Ruhinda and Mr Rostam Aziz of Mwananchi Communications Ltd (MCL).

KISHA http://ismaili.net/timeline/2002/20021213dn.html HUYU JAMAA NI KIBOKO BASI NTAKUA SIPELEKI TENA MAKALA MWANANCHI COMMUNICATIONS
 
Thanks,

Najua Siwezi hata kidogo kujilinganisha na Graca. Hata hivyo nashukuru for you kind words.

..wakati mwingine ni posts kama hiyo zinazotufanya tuwe na imani kuwa tanzania hata ikipotea uelekeo itawekwa sawa tu!

..nadhani,inachangamsha sana pale watu wanapotumia hoja kujadili mambo na si kumtetea mtu au watu!

..halafu hata kama watu wamekosea kitu waelekezwe kukifanya vizuri sio kupewa maneno ya mipasho ya kiufundi hivi!

..naamini kuwa katika vyama tulivyonavyo hamna hata kimoja afadhali kuzidi kingine,bali viongozi na nia yao juu ya maendeleo ya hii nchi ndo wanatofautiana!

..kuna wale[viongozi]wanaoonyesha nia halisi ya kuona nchi inaendelea na kuna wale ambao wanakula bila kunawa na kufikiri kuwa watoto walio na njaa dawa yao ni kuwapa peremende watanyamaza njaa!kumbe alas!hizo peremende hazisaidii kitu baada ya muda watalia njaa tena vibaya sana itakuwa aibu!

....so bibie, thank you!
 
Actually inategemea ni magazeti ya namna gani unayoongelea. Kama ni broadsheet then kama uko States then nadhani unajua kuwa issue inayouza magazeti wa wiki hiyo iliyopita ni ugomvi wa Karl Rove na Hilary Clinton, Bush kulinganisha Vietnam na Iraq while in UK ni issue ya Rhys Jones na UK troops widhrawal from Basra...na zote zinauza....Umetoa mfanowa Britney lakini Britney hauzi sana kwa kuwa katika front page za magazines since atoke kwenye rehab, sasa hivi LILO au Lindsley Lohan na Ammy Winehouse wanauza sana hizo magazines so check your data on best selling stories on both sides of the Atalantic

Unataka kuanzisha ubishi kuwa Britney hauzi magazeti.... Issue kubwa ni kuangalia madai yako kuwa swala la Zito kuquestion mikataba ya madini ya Tanzania kwenye context ya kuuza magazeti. Ukitaka nikupe data za nani anauza magazeti sana hebu anzisha thread hiyo na wala usitumie hii ambayo ni kwa ajili ya mkoloni na mwizi Rostam Aziz.

rejea speech ya ya spika wakati anamsimamisha

Mbona hukusema kuwa unamquote spika? Hata hivyo kusema kuwa Zito anafanya populist gimmics regardless of who the hell amesema ni hoja au ni kejeli?

Another cheap shot, nilikuambia toka awali siko hapa kutupiana matusi lakini looks like mwenzangu hilo ni muhimu kwako. I am not sure far are you willing to go na hili

Dont cry like a baby..... hakuna aliyekutukana matusi ila kama unayataka anzisha thread nyingine kwani hii ni kwa ajili ya mwizi na mkoloni Rostam Aziz

Nilikuuliza wewe kuwa nionyeshe wapi nimesema kuwa mimi ni CCM? Nionyeshe wapi nimesema najua mbinu za watu wa kwenye media?

Kasome tena thread zako ambazo umefanyia editing na ambazo bado hujafanyia editing. Kasome zote hata zile uliandika kabla ya kubadili id yako hapa.... this is your homework for today.

Huoni kama ni aibu mtu mwenye hadhi yako kudanganya? kama una nia nzuri huna haja ya kupretend. Hukuwa na haja ya kupretend in the first place. na unaonyesha ni msomi hivyo ulishindwa vipi kuuliza kuwa wanalitumia kipengele gani kujustify kuwa mikataba haiwezi kuonyeshwa? Huoni kama mmlikuwa waongo ndio maana mkashindwa kupata jibu sahihi?

Unaweza kuita kudanganya au whatever but ukweli kuwa hii ni mbinu inayotumika sana katika media na research activities. Kwa sasa kuna shoo moja maarufu inayoitwa how to catch a predator ambayo NBC wanatumia watu wanao-pretend kuwa ni watoto kwa nia ya kushika predators wa kwenye intanet. Huu ni mfano tu na unaweza kuwaita NBC waongo ila hiyo ni njia wanatumia kupata stori na info zao.

Serikali ilikataa kutoa info yoyote kuhusu mikataba ya madini (in my case) kwa kisingizio kuwa hiyo mikataba public hairuhusiwi kuiona. Kafanye research yako uprove hili kabla ya kugeuza thread inamhusu mkoloni na mwizi Rostam Aziz kuwa anti- CHADEMA

Nionyeshe wapi nimesema CHADEMA hawako well informed

Soma thread zako

Nimeomba uprove hizi allegations lakini naona hujanipa majibu ...Ni wapi nimetoa hiyo justification?

Hivi sasa hivi wewe ndio msemaji mkuu wa mwizi na mkoloni Rostam Aziz? Mwambie bosi wako aje kujitetea mwenyewe hapa kwani labda yeye atajieleza vyema kuliko wewe
 
Mwaka 1996 Nikiwa Darasa La 6 Mtu Mmoja Alipenda Sana Kuimba Na Kuiga Mambo Kama Tupac , Siku Moja Mwalimu Akamwita Na Kumuuliza Unapenda Kua Kama Nani Akajibu Tupac .

Mwalimu Akamwambia Kila Mtu Hapa Duniani Ni Tofauti Huwezi Kua Kama Yeye , Lakini Unaweza Kuwa Na Vitu Vinavyoshabihiana Kutokana Na Ushabiki Wako Kwake Au Jinsi Wewe Watu Wanavyokuona Na Kukufananisha

Bali Unaweza Kua Zaidi Yake Ukabidilika Kidogo Kutokana Na Mazingira Uliyopo

Ndio Nakuja Katika Point Ya Da Si Lamu Kwa Mwafrika Wa Kike , Ndio Huwezi Kua Kama Mandela Lakini Unaweza Kua Zaidi Yake Kutokana Na Mazingira Unayoishi Na Changamoto Unazokutana Nazo Katika Harakati Zako Bila Kusahau Support Kutoka Kwa Wale Wanaokuunga Mkono Kama Mimi

Thanks for your kind words....

Kofia ya Graca ni kubwa sana ndio maana niliogopa kuivaa ingawa nilimwelewa Dar Si Lamu alichomaanisha.
 
Unaendelea kuongopa hebu lete hiyo quote ambayo unadai nilisema kuwa nina mission ya Kuumaliza Mwanakijiji na kama ukishdwa then naomba uondoe hayo matamshi yako hapo juu

Kwanza waambie memba hapa ambao bado hawajui jina ulokuwa unatumia kabla hujabadili na kuanza kujiita game theory na kisha usome postings ulizoweka kwa kutumia jina lako la zamani ili ujikumbushe ulivyosema kuhusu kummaliza mwanakijiji.
 
No siijui ila nitashukuru ukinipa habari zake

UNATAKA RAMANI ZOZOTE ZA TANZANIA SEHEMU ZA MADILI NA VIWANJA VYA MADINI ? KULE SHINYANGA NA SEHEMU ZINGINE KWA BEI CHEE ?

NENDA SEHEMU INAITWA MINERAL CENTRE HII IKO CHINI YA WIZARA YA MADINI NA NISHATI UKIFIKA PALE RAMANI AMBAYO UTAIPATA KWA DOLA KARIBU 7000 PALE UNAIPATA KWA ALFU 50 KUNA VIJANA PALE WATAKUPATIA NA HATI MILIKI ZOTE UTAPATA

NA NDIO WENGI WAMESHASHITUKA WANANUNU APALE WANAKUJA KATIKA MITANDAO KUUZA KWA BEI GHALI KWA WASOMI NA WATU WENGINE

WEWE HUJAJUA TU MWAFRIKA WA KIKE ? NENDA PALE MWAMBIE HUYO JAMAA WA RESEARCH APITE PALE ATAPATA KILA KITU LAKINI KWA KUANZIA ANZA KUANGALIA

www.google.com/earth kwanza tumia programu hiyo kupata viwanja unavyotaka na taarifa zingine na vipimo kabla hujatembelea hao wauza nchi
 
Tatizo kubwa tulilonalo TZ na Africa kwa ujumla ni kwamba the so called wasomi, wengi wenu mnabwekea nje ya geti (ughaibuni) na hamko well informed na maisha ya wananchi wa kawaida wanao hangaikia mlo wa siku. Wengi wenu humu, mi nadhani its high time, muombe likizo muendee Kigoma, Buzirayombo, Shelui, Mpanda,Misungwi au Kasulu muone watu wanavyoishi na muache kutegemea internet na media za kitapeli za bongo. Njoo uone tunavyoishi huku na sio kutumia data za google kuangalia maisha ya watu ambao hawana uhakika wa aspirini. Huwezi pata picha sahihi kwa mtaji huo.

Jamaa hapo juu ameelezea safi kabisa, leo ni mwaka 2007 sio enzi za chama kushika hatamu, tatizo la wengi humu ni kuamini kwamba watanzania but tuko guided na sera za unyonge na ujamaa ndo maana wengi hamuishi kumnukuu Nyerere. Jmani fikra zinabadilika.

Mi personally nilimpigia kura JK, ila leo ukiniambia nikapige kura, I swear JK hawezi pata kura yangu na si mimi pekee yangu ni wengi humu kijijini kwetu! Kwa hiyo jua watu tunaamka taratibu. Kauli ya Mbowe, ingawa mimi si Chadema ila nakubaliana nayo Heri mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi. Mi naamini aliyeko nje, anajitafutia Riziki kama mwana Adamu yeyote yule. Ila, tufike point tujue mageuzi ni jukumu LETU SOTE, Tanzania si ya Chadema wala CCM! Kwa nini inapokuja swala la kuilaumu CCM tuko pamoja, lakini likija swala la kutafuta njia mbadala ya haya matatizo, wote tunaelekeza shutuma kwa Chadema na CUF? huu ni ufinyu wa akili. Mara Zitto hana data, Slaa hana hiki, Seif hana hili, we jiulize we umefanya nini? atleast wao mchango wao umeonekana, wewe umefanya nini zaidi ya kukosoa tuu, tena kwenye internet ambayo mamilioni ya wapiga kura hawafiki? Kwa lugha nyingine mtu kama huyu ni irrelevant kwa harakati za kuikomboa Tanzania kwenye lindi la umaskini, maana huna link na walengwa.

Watu mnatoa hoja kwamba watu wanaendekeza njaa ndo maana hawatoki CCM, lakini mnasahau kwamba wenyewe mko ughaibuni, mnaogopa kurudi home kwa sababu mazingira yalipo hayawapi nafasi ya kuendeleza maslahi binafsi! What hypocricy?

Yaani watanzania tuichukulie TZ kama kampuni ambayo wote hapa ni shareholders not by any reason but by birth! Kwa hiyo kila mtu anajukumu la kutetea maslahi ya kampuni kwa sababu ni mwanahisa wa kudumu na hawezi kunyang`anywa hisa zake na mtu yeyote, kwa sababu alipata hizo hisa kwa sababu yeye ni mwanachama wa kampuni kwa kuzaliwa. I will be the last person to criticize Zitto au yeyote anayefanya kitu (hata kama kina mapungufu). Kila mtu aiulize nafsi yake. AMEFANYA NINI????

Nasema tena, nimekuwa MPIGA KURA wa CCM mda mrefu, ila nimegundua tunachezewa shere hapa. na hasira zangu nitazipeleka kwenye sanduku la kura 2010. Inshallah.

Masanja, I hear you loud and clear my brother. We will overcome one day, no doubt about that.

No amount of 'upotezaji wa lengo' will remove our focus from the covetted prize - our god given utajiri for our own good, not for the new colonil masters through their local agents. With or without the likes of Kabwes, Slaas,; we will sweep them away.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom