Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Kalamu na wananchi wenzangu, mi nadhani from now onwords, tuanze kufikiria si tuu kuwaidentify hawa wanaotuhujumu. Tuanze kustrategize kipi tunaweza kufanya katika hizi harakati. Kila mtu akitimiza wajibu wake. Hakika, mambo yatabadilika. Maana hawa mafisadi wameshakula vya kutosha mno. we cant afford any other minute of waiting. Tupeane mawazo katika hili.

Kazi ya kwanza, kama habari alivyotuletea mzalendo mwenzetu TazaniaNjema ni mhimu sana.
Kaziya pili ni kuwashambulia kwa kila njia hao wala peremende,akina Dr. nani huyo Shoo na mwenzake - hao ni saizi yetu kwa haraka haraka. Hao mafisadi wenyewe ndio shida kubwa kwani wana kinga ya wakubwa waliowaweka mifukoni mwao.
Hebu tukunevichwa, sisi kama wanaJF, tunaweza kufanya nini zaidi ya kuwapigia kelele na kuwaanika wananchi wawaone uchi?

Lakini ninakubali sana mawazo yako: tu-strategize, ni kipi tunachoweza kukifanya kuwakomesha hawa maadui wa nchi yetu?
 
Tukae na kufikiri kwa kina juu ya hatua madhubuti za kufaa kuchukuliwa dhidi yao kwani hawa jamaa sasa wanakotaka kutupeleka siko.

Nasikia pia huyu jamaa ametofautiana na jk na ndio maana magazeti yake siku hizi yameanza kuchomoza na makala za kumsifi a mkapa na mara kusma ooh mabilioni ya mkapa yanakuja n.k.

Huyu jamaa ndio mwiba mkubwa kwa kushuka kwa uchumi wa taifa hili na hili ni tatizo ,tutafute njia ya kuondoa kiini cha tatizo hili na sio vinginevyo.
 
JK anahitaji kulindwa na uchu na unyama wa hawa jamaa. Na ngome yake kuu ni hii imani inayotetereka ya watanzania walalahoi na walalahai wachache. Akiendelea kupoteza umaarufu atakuwa anajiweka katika makucha yao. Mungu tuepushie mbali....

Tanzanianjema
 
Tanzania njema,

How far are we sure kuwa Muungwana is not part of the game? yaani ambacho kila wakati ninachokiona ni kwamba umma unamuona JK ni mtakatifu sana, lakini kumbuka kuna msemo "samaki huoza kuanzia kichwani". Yaani kama kweli JK ni mwadilifu how comes he appointed a pack of "watu wenye uchu na unyama" can it really be a coincidence? lazima kuna kitu hapo wazee. Wakati wa mchakato wa urais, umma wa WaTz tulidanganywa na spinning ambazo zilimpamba sana Muungwana na kuficha what was behind that so called handsome face. Kazi kubwa ipo, uchumi ndio huo unayoyoma kwenda shimoni.
 
mTz Jk is not clean at all and is part of this dirty game. Ushahidi upo mwingi na wa kila aina . Mfano ni kwamba juzi kaenda Buzwagi huku nyuma ofisi yake inasema alijua juu ya Karamagi na move zote leo utasema JK anaponzwa ? Wale alio waweka pale ndiyo genge lake hasa . If he is serious mwambie amwajibishe mmoja wapo uone ngoma itakavyo mgeukia .
 
Jamani niliwahi kusema kuhusu RA, EL na Karamagi. Uzito ambao Zitto na sisi sote tunaangalia ni mapambano dhid ya hili kundi linaloitwa UTATU mtakatifu, RA,EL na Karamagi. EL alikua akiishi nyumba moja na RA, nyumba ambayo sasa anaishi Karamagin na RA... RA anamiliki Habari Corporation na ndio maana siku ambayo Zitto aliwasilisha hoja na kufungiwa, gazeti la Mtanzania liliandika habari kubwa ya kumponda Zitto, tofauti kabisa na magazeti mengine, habari yenyewe ikiwa imeandikwa na Mwandishi maalumu.. Kwa kawaida Mwandishi Maalumu huandikwa ikiwa mwandishi wa habari wa Rais, Waziri Mkuu ama wa Chama anapoandika habari na hivyo hapendi jina lake litokee.. Habari ile iliandikwa ikiwa na maelezo ya KAMARAGI pekee bila hata kuhusisha habari ya Zitto alichowasilisha na mutikio wa umma. Kwa kifupi Zitto amefungua ukurasa mpya kwa mapambano dhidi ya UFISADI na kwa hakika lazima tuhakikishe tunaweka wazi kuhusu uovu wa RA... Niliwahi kuweka haoa kuhusu makala za Kama ningekua Rais zinazotoja Kila Jumatano katika gazeti la Tanzania Daima.. Katika makala hizo, kuna mtu anaitwa CHOTAMALI, ambaye anatajwa kama mfanyabishara anayeongoza nchi ya UREMBO anavyotaka. hebu muangalieni sana munaposoma hizo makala kwani naona anafanana sana na RA kitabia.

Juzi RA ameanza kusambaza SMS inayotaka kumchafua Zitto lakini badala yake SMS hiyo inaoneyakana pia kummaliza Karamagi.. SMS hiyo ambayo RA anasambaza, inadai kwamba eti Zitto na Kamaragi walikuwa wakigombea mwanamke... Sasa Zitto hajaoa, Karamagi kaoa, kama rafiki yake mpenzi anasema hivyo, kwanza amepoteza mwelekeo kuingiza hoja za KIJINGA katika hoja nzito yenye kugusa maslahi ya Nchi, lakini pia anaonyesha kwamba yeye na rafiki yake masuala hayo ndio MWISHO wa upeo wa FIKRA zao... Ni aibu watu wa aina hiyo kukwepa hoja muhimu kwa kutumia hoja za KITOTO..

Jambo la msingi WATANZANIA TUWAFAHAMU NA TUSEME KWA NGUVU ZETU ZOTE BILA KUCHOKA KWANI HAO WANASEMA WATATAWALA HADI 2025.
 
Tanzania njema,

How far are we sure kuwa Muungwana is not part of the game? yaani ambacho kila wakati ninachokiona ni kwamba umma unamuona JK ni mtakatifu sana, lakini kumbuka kuna msemo "samaki huoza kuanzia kichwani". Yaani kama kweli JK ni mwadilifu how comes he appointed a pack of "watu wenye uchu na unyama" can it really be a coincidence? lazima kuna kitu hapo wazee. Wakati wa mchakato wa urais, umma wa WaTz tulidanganywa na spinning ambazo zilimpamba sana Muungwana na kuficha what was behind that so called handsome face. Kazi kubwa ipo, uchumi ndio huo unayoyoma kwenda shimoni.

Its called POWER POLITICS. Presidency is one thing lakini power ni kitu kingine kwa hiyo usishangae yuko nao hawa manyang'au wapya na hata wale wengine wazoefu waliokuwa kwa Mzee Ben. Kumubuka wengine walimdanda miaka kumi kabla. Usisahau kuwa moja ya makubaliano ya kuokoa jahazi la CCM pale Chimwaga ilikuwa ni kuasure Consistency ambayo alilazimika kuiongelea siku ile alipokabidhiwa kile zamani tungelisema Jembe na Nyundo.

Kaka Urais ni shughuli na sio lelemama, mojawapo ya shughuli ni kuwa tayari kuply containment strategy na manyang'au. Actually wakati mwengine inaweza kuserve maslahi ya wananchi endapo haitakuwa stretegy ya kudumu.

Sio kuwa namtetea lakini ndio muono wangu na ni kutokana na ufuatiliaji wangu wa mambo. Yawezekana najidanganya hivyo niko tayari kuelimika zaidi..

Ndiyo muono wako lakini wenye utetezi. Hayo yangekubalika kama JK na RA, JK na EL, JK na NK na wengine wasingekuwa marafiki. Kundi lililomweka yeye madarakani ni chafu, yeye hawezi kuwa safi, wala msidhani kwamba waliomtangulia ni wachafu kuliko yeye. Ugumu wa urais tunaujua kweli lakini huyu ameyataka mwenyewe kwa maana haw andio waliomuandaa kwa miaka 10. Alikosa watu wa maana wa kushirikiana nao? Naye ni mwizi tu kama wao.

Hii nayo imetuthibitishia kwamba hauna rais mwema kuanzia sasa atakayetokana na CCM maana wanapenda kuendeleza mnyororo wao na kulindana. Bora hata wewe Tanzanianjema unaweza kuwa rais bora kuliko wahuni hawa! Shit!
 
Jamani,

Nimejaribu kuangalia resume ya RA kwenye tovuti ya bunge, lakini hakuna habari ya kutosha kuhusu huyu muiran. Tovuti ya Bunge haionyeshi shule hata moja aliyoenda zaidi ya shahada ya uchumi.

Tukijua particular zake itakuwa rahisi zaidi kummaliza huyu mlowezi. Kwahiyo, wana JF mwenye data za huyu mlowezi/muiran naomba anielimishe tafadhali.
 
Rostam Azizi ni mbegu chafu. Inatumia pesa kufanya lolote, hata kuua. Lakini nayo inaweza kung'olewa na kunyauka kama maua tu! Ipo siku!
 
CHADEMA nao wanaweza kuunda kamati au kuweka mtu wa kufanya kazi ya ROSTAM, after all naona kwenye INTERNET tayari CHADEMA wnaongoza kwa mbali sana tuuu

sioni cha ajabu alichokifanya Rostama ambacho Chadema hawawezi
 
Huyo sijui RA!
Sijui Rositamu Asisi!
Sijui Bwana Fweza wa SISIEMU!
Anaumwa Malaria ya Kichwa.

Hivi anadhani hivyo vijisenti vyake Haramu vinaweza kuwarubuni Watanzania wote.
Sikatai,Atapata wa kuwanunua, kwani kuna watu Lundo Dizaini ya Dr Shoo walizaliwa na pingu kwenye akili zao.

Wanaweza kukana hata wazazi wao wakiona ile Mshindi Ya Loho. Hii!

RA akumbuke kwamba uongo siku zote haufanani.
Uongo hauchangamani ni maji na mafuta "Coefficient of immicibility is so high."
Uongo ni sumu.
Uongo hauna kwao hukaa popote ukkaribishwapo.

Watakosea stepu wataandika habari zinazo pingana juu ya jambo moja na kujimaliza wenyewe bila kazi ya mikono ya wananchi.

Huu moto wamewasha CCM wenyewe, hata hivyo hawjawasha kwa kupenda.
Moto huu umetokana na cheche zilizosababishwa na misuguano mikali na sugu ya Uvunda unaomilikiwa na CCM.
Ni moto ambao sisi waungwana tuliutarajia siku nyingi.

Moto ulioanzishwa kwa misuguano ya uvunda wa KiCCM utazimwa kwa kuusafisha uvunda ndani ya nyumba ya CCM si vinginevyo.

Hata RA akihonga Waandishi Fedha yake yote na ya CCM na pia yeye mwenyewe na Kamti kuu ya CCM kutoa uhai wao ili kulinda Uoza wa CCM, Moto huu hauwezi zima.

MH RA unahangaika tu.

"La kuvunda Halina Ubani"
 
Tanzania njema,

How far are we sure kuwa Muungwana is not part of the game? yaani ambacho kila wakati ninachokiona ni kwamba umma unamuona JK ni mtakatifu sana, lakini kumbuka kuna msemo "samaki huoza kuanzia kichwani". Yaani kama kweli JK ni mwadilifu how comes he appointed a pack of "watu wenye uchu na unyama" can it really be a coincidence? lazima kuna kitu hapo wazee. Wakati wa mchakato wa urais, umma wa WaTz tulidanganywa na spinning ambazo zilimpamba sana Muungwana na kuficha what was behind that so called handsome face. Kazi kubwa ipo, uchumi ndio huo unayoyoma kwenda shimoni.
kaka mbona mimi naona kitu kinacho mpa kigugumizi muungwana ni plan zake za kuchukua nnchi tena. kumbukeni kina ROSTITAMU ndo waliotoa T-shirt,vitenge,kofia wali na TAKRIMA zingine ili kuwasahaulisha watanzania Walalahoi wampe kura muungwana. we unafikiri yale mabango yenye picha,na vibwagizo vya kumpamba muungwana kaweka nani?ni kina KALABANGI wenye hela za kununulia wapiga kura.kwa nini wasilindwe ili watoe support kubwa zaidi 2010 kuwapoza walalahoi wasikumbuke ahadi zisizo tekelezeka walizopewa 2005? kwa nini wasilindwe ili kurudisha mtaji wao walio wekeza kwenye mradi wa UCHAGUZI MKUU? RA sio mjinga amesha ona mbali kuwa wasipo nunua vyombo vya habari leo watapata wakati mgumu kwenye uwekezaji wao( UCHAGUZI).huu ni mradi ambao hawako tayari kuuachia kwa sasa maana kipindi cha mwisho ndo muhimu sana. ndo wakati muafaka wakula na kurundikaka mali ya watanzania kadiri uwezavyo,hata waosha vivywa waseme nini!zitakuwa kelele za chura......... wao ni kula tu!si ndo kipindi cha mwisho? haujali kukosa kura so you just eat as much as you could. BW MKAAPA amewaachia mfano mzuri.unafungua makampuni yako kwenye awamu yako ya pili!si ndio alivyo fanya yeye au nyie mnadhani muungwana anamlinda bure? anajua na yeye kipindi cha mwisho ndo cha kuwekeza waziwazi kwani nani atahoji kuwa alisema atakuwa mkulima. ndo watanzania tulivyo!tunasahau haraka
 
kwanini CHADEMA wasiunde dept ya ku counter haya? wanashindwa nini?

Ni vizuri CHADEMA wakifanya hivyo kama chama, lakini sina uhakika kama CHADEMA ni muathirika pekee. Sisi kama waathirika tunaweza tuka retaliate kwa kukataa uzushi unaoendelea na kuelimisha jamii.
 
Ni vizuri CHADEMA wakifanya hivyo kama chama, lakini sina uhakika kama CHADEMA ni muathirika pekee. Sisi kama waathirika tunaweza tuka retaliate kwa kukataa uzushi unaoendelea na kuelimisha jamii.

Hapa umenena kaka. Hili suala la kuwatupia wengine mzigo wa ukombozi tukisubiri muda uwadie kudanda uroda tuachane nalo. Kuwa sehemu ya Tanzania unayoitaka....

Tanzanianjema
 
Back
Top Bottom